Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
This section gives the notice its short title as the Notice of Intention to Publish Mandatory Standards of 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Notice
- Citation
- Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the notice its short title as the Notice of Intention to Publish Mandatory Standards of 2024. Viwango vilivyo kwenye Jedwali la Notisi hii vinapendekezwa kuwa vya lazima kwa kila bidhaa iliyoainishwa kwenye Jedwali hilo. A person with an objection about the standards in the Table may submit the objection in writing to the Office of the Tanzania Bureau of Standards within 60 days from the date this Notice is published. This notice says the listed standards are intended to be declared compulsory. Section 39 lists several product standards and marks many of them as mandatory (Lazima).
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
Showing 12 of 12
- 1 Verify source ↗
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kusudio la
AI-assisted research summary: This section gives the notice its short title as the Notice of Intention to Publish Mandatory Standards of 2024.
1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024. Kutangazwa kwa viwango Sura ya 130 Pingamizi - 2 Verify source ↗
Viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Notisi
AI-assisted research summary: Viwango vilivyo kwenye Jedwali la Notisi hii vinapendekezwa kuwa vya lazima kwa kila bidhaa iliyoainishwa kwenye Jedwali hilo.
2. Viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Notisi hii vinapendekezwa kuwa viwango vya lazima kwa kila bidhaa iliyoainishwa katika Jedwali hilo kwa madhumuni ya Sheria ya Viwango. - 3 Verify source ↗
Mtu yeyote mwenye pingamizi lolote kuhusiana na
AI-assisted research summary: A person with an objection about the standards in the Table may submit the objection in writing to the Office of the Tanzania Bureau of Standards within 60 days from the date this Notice is published.
3. Mtu yeyote mwenye pingamizi lolote kuhusiana na viwango vilivyoainishwa kwenye Jedwali anaweza kuwasilisha pingamizi hilo kwa maandishi katika Ofisi ya Shirika la Viwango Tanzania ndani ya siku sitini kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii. 1 Tangazo la serikali Na.994 (Linaendelea.) Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima _______ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) VIWANGO VYA LAZIMA VINAVYOPENDEKEZWA S/N NAMBA YA KIWANGO JINA LA KIWANGO KWA KISWAHILI AINA YA KIWANGO
Part
JEDWALI
- 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: This notice says the listed standards are intended to be declared compulsory.
17. TZS 1778-2/EAS 127- 2:2023 TZS 1649/EAS 788:2023 TZS 1779/EAS 812: 2023 TZS 1782/EAS 816:2023 TZS 1781/EAS 815:2023 TZS 1783/EAS 817:2023 TZS 881/EAS 335:2023 Poda za sabuni za sintetiki - Uainishaji Sehemu ya 2: Kufua kwa mashine Pesti ya sabuni ya kufulia - Uainishaji Lazima Lazima Sintetiki na mchanganyiko (sabuni na sintetiki) sabuni ya maji ya kunawa mikono - Uainishaji Sabuni ya kufulia kimiminika ya sintetiki - Uainishaji Lazima Lazima Sabuni za nudo/chipsi - Uainishaji Lazima Kiondoa madoa kwa vifaa vya meza - Uainishaji Cologne, haidrosoli na maji ya choo - Uainishaji TZS 882/EAS 339:2013 TZS 840-2/EAS 425- 2:2023 Krimu ya nywele, losheni na jeli - Uainishaji Poda za ngozi - Uainishaji - Sehemu ya 2: Poda ya mtoto Vipimio vya kipozeo cha injini. TZS 2079/EAS 1102:2023 TZS 673/EAS 1104:2023 TZS 573/EAS 13:2023 Maji ya madini yaliyofungashwa - Vipimio vya mafuta mazito TZS 4055/EAS 1086:2023 TZS 4056/EAS 1085:2023 TZS 4057/EAS 1084:2023 TZS 1095/EAS 1083:2023 TZS 1877-2/EAS 1081:2023 Uainishaji Plastiki-Nambari za kitambulisho cha resini kwenye bidhaa za plastiki Squeegee (vipimio vya kibandiko cha mpira) Vipimio vya kipangusa utando Vipimio vya Ufagio wa kufagia (brashi ya kusukuma) Vipimio vya Beseni za plastiki 2 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Tangazo la serikali Na.994 (Linaendelea.) Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima - 39 Verify source ↗
Section 39
AI-assisted research summary: Section 39 lists several product standards and marks many of them as mandatory (Lazima).
39. TZS 1096/EAS 1082:2023 TZS 1877-1/EAS 1080:2023 TZS 4058/EAS 1103:2023 TZS 1276/EAS 738:2023 TZS 4054/EAS 771:2023 TZS 2315/EAS 778:2023 TZS 2316/EAS 780:2023 TZS 481/EAS 803:2023 TZS 482/EAS 804:2023 TZS 550/EAS 805:2023 TZS 3017/EAS 1093:2023 TZS 4053/EAS 1097:2023 TZS 2045/EAS 1095:2023 TZS 2047/EAS 1094:2023 Vipimio vya Brashi za choo Lazima Vipimio vya ndoo za plastiki Lazima Vipimio vya Mafuta ya Msingi Lazima Ubainishaji wa mzizi wa muhogo mtamu (Toleo la Pili) Ubainishaji wa viazi vitamu (Toleo la Pili) Ubainishaji wa mzizi wa muhogo mchungu (Toleo la Pili) Lazima Lazima Lazima Ubainishaji wa kisamvu (Toleo la Pili) Lazima Lebo za lishe - Mahitaji Madai - Mahitaji ya Ujumla Matumizi ya madai ya lishe na afya - Mahitaji Chakula cha farasi kilichochanganywa – Uainishaji Operesheni za malisho ya ng'ombe - Uainishaji Chakula cha ng'ombe wa maziwa premix - Uainishaji Mchanganyiko wa chakula cha kuku – Uainishaji TZS 251/EAS 69:2023 Maziwa safi ya kunywa - Uainishaji TZS 306/EAS 70:2023 Aiskrimu ya maziwa - Uainishaji TZS 398/EAS 27:2023 Maziwa ya UHT - Uainishaji TZS 571/EAS 915:2023 TZS 2207/EAS 49:2023 TZS 626/EAS 67:2023 Maziwa mabichi ya ng'ombe - Poda ya maziwa na poda ya krimu - Uainishaji Jibini – Vipimo Uainishaji Chingamu - Uainishaji: Marekebisho ya majivu ya asidi isiyoyeyuka TZS 1801/EAS 352:2018, Amendment No.1:2023. TZS 102/EAS 43:2023 Mkate - Uanishaji Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima - 41 Verify source ↗
Section 41
AI-assisted research summary: This section appears to relate to a notice of intention to declare mandatory national standards for leather lining measurements.
41. TZS 4070 Mwongozo wa Uandaaji wa viwango vya Kitaifa Vipimo vya bitana vya ngozi Lazima Lazima 3 Tangazo la serikali Na.994 (Linaendelea.) Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima - 58 Verify source ↗
Section 58
AI-assisted research summary: This section lists several TZS/ISO standards.
58. TZS 4094/ISO 641:1975 TZS 4095/ISO 4785:1997 TZS 4096-1/ISO 4796- 1 :2016 TZS 4096-2/ISO 4796- 2:2000 TZS 4096-3/ISO 4796- 3:2000 TZS 4098/ISO 4800:1998 TZS 4100/ISO 4797:2015 TZS 4101/ISO 6556:2012 TZS 4102/ISO 24450:2005 - 59 Verify source ↗
Section 59
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango na mada za vipimo na matakwa ya ubora kwa bidhaa mbalimbali.
59. TZS 4110:2024 Vipimo vya ngozi ya kutengenezea kifuniko cha mafuta Vipimo vya mpira wa ngozi wa wavu Vipimo vya viatu vya usalama vya ngozi Paleti la kisanduku — Matakwa muhimu na njia za upimaji Paleti - shiti ngumu kwa matumizi ya kupanga mizigo Vijiti vya mwanzi kwa ajili ya upishi na matumizi yanayohusiana Matakwa ya vichupa aina ya Polyethylene Terephthalate (PET) Vipimio vya Mafuta ya gia Nje ya Barabara Vyombo vya vioo vya maabara - Viungo vya duara vinavyoweza kubadilishwa Vyombo vya vioo vya maabara - Vizuizi vya glasi vilivyobeba moja kwa moja kwa madhumuni ya jumla Vyombo vya vioo vya maabara- Chupa - Sehemu ya 1 Chupa za shingo ya skru Vyombo vya vioo vya maabara - Sehemu ya 2: Chupa za shingo ya umbo la pia Vyombo vya vioo vya maabara - Chupa - Sehemu ya 3: Chupa za Aspireta Vyombo vya vioo vya maabara - Faneli ya Kutenganisha na faneli ya kuangusha Vyombo vya vioo vya maabara – Flaski za kuchemsha yenye viungo vya umbo la pia Vyombo vya vioo vya maabara – Flaski za kuchujia Vyombo vya vioo vya maabara - Flaski za kuchemshia zenye shingo pana Matakwa ya ubora wa siagi ya lozi
Part
Sehemu ya 2: Chupa za shingo ya
- 60 Verify source ↗
Section 60
AI-assisted research summary: This section gives notice of an intention to declare standards as mandatory.
60. TZS 2221-10- 1:2024/IEC 60839-10- 1:1995 Mifumo ya kengele za tahadhari - Sehemu ya 10: Mifumo ya kengele za Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima 4 Tangazo la serikali Na.994 (Linaendelea.) Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima
Part
Sehemu ya 10: Mifumo ya kengele za
- 62 Verify source ↗
Section 62
AI-assisted research summary: This section lists several standards and includes the word “must” twice, but it does not clearly state who must do what.
62. TZS 448-2- 28:2024/IEC 60335-2- 28:2021 TZS 4120-2:2024/IEC 60252- 2:2010+AMD1:2013 tahadhari ya magari – Sehemu ya 1: Magari ya Abiria Vifaa vya umeme kwa matumizi ya nyumbani – Usalama –Sehemu ya 2- 28 Mahitaji maalumu kwa mashine za kushonea Kapasita za mota za mkondo geu – Sehemu ya 2: Kapasita za kuanzishia mota. Lazima Lazima
Part
Sehemu ya 2: Kapasita za kuanzishia
- 69 Verify source ↗
Section 69
AI-assisted research summary: This section lists several standards and marks them as mandatory.
69. TZS 3599-2- 6:2024/IEC 60745-2- 6:2003+AMD1:2006 +AMD2:2008 TZS 4121:2024/IEC 60900:2018 TZS 4122:2024/IEC 60903:2014 TZS 3599-2- 11:2024/IEC 60745- 2- 11:2003+AMD1:200 8 TZS 1911- 2:2024/IEC 61427- 2:2015 TZS 2743- 1:2024/IEC 62040- 1:2017 TZS 4115- 2:2024/IEC 62196- 2:2022 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Nyenzo zenye mota zitumikazo kwa kushika mkononi: Usalama – Sehemu ya 2-6: Mahitaji maalumu kwa ajili ya nyundo Ufanyaji kazi kwenye umeme – Nyenzo za mikono kwa ajili ya volt 1000 za mkondo geu na volt 1500 za mkondo mnyoofu Ufanyaji kazi kwenye umeme – glovu za kiumeme Nyenzo zenye mota zitumikazo kwa kushika mkononi: Usalama – Sehemu ya 2-11: Mahitaji maalumu ya misumeno ya kurudisha nyuma Seli za pili na betri za hifadhi ya nishati mbadala - Mahitaji ya jumla na mbinu za majaribio - Sehemu ya 2: Programu za kwenye gridi ya taifa Mifumo ya nishati isiyoweza kukatizwa (UPS) - Sehemu ya 1: Mahitaji ya usalama Plagi, Soketi, viunganishi vya gari na uchaji wa miingilio-Uchaji endeshaji wa Magari ya umeme- Sehemu ya 2: Mahitaji ya uoanifu wa vipimo vya pini za AC na vifuasi vya bomba la mawasiliano 5 Tangazo la serikali Na.994 (Linaendelea.) Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima
Part
Sehemu ya 2: Mahitaji ya uoanifu
- 75 Verify source ↗
Section 75
AI-assisted research summary: The listed standards are mandatory.
75. TZS 4115- 1:2024/IEC 62196- 1:2022 TZS 4116:2024/IEC 60809 TZS 4117- 1:2024/IEC 62893- 1:2020 TZS 4118- 1:2024/IEC 61851- 1:2017 TZS 4119- 1:2024/IEC 60598- 1:2020 TZS 4115- 3:2024/IEC 62196- 3:2022 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Plagi, soketi, viunganishi vya gari na viingilio vya gari-Uchaji endeshaji wa magari ya umeme Sehemu ya 1: Mahitaji ya jumla Taa na vyanzo vya mwanga kwa magari ya barabarani - Matakwa ya vipimo, umeme na mwanga Nyaya za kuchajia magari ya umeme kwa volti zilizokadiriwa hadi na kujumuisha 0,6/1 kV - Sehemu ya 1: Mahitaji ya jumla Mfumo wa kuchaji wa gari la umeme - Sehemu ya 1: Mahitaji ya jumla Mwangaza - Sehemu ya 1: Mahitaji ya jumla na vipimo Plagi, soketi, viungio vya magari na viingilio vya magari - Uchaji endeshaji wa magari ya umeme - Sehemu ya 3: Mahitaji ya uoanifu wa vipimo vya pini za DC na AC/DC na viambatanishi vya magari vya bomba la mawasiliano. Dar es salaam, ASHURA A. KATUNZI Mkurugenzi Mkuu ………2024 6
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in