Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2024
This section gives the short title of the by-law: the Dar es Salaam City Council Cultural Activities Permits By-Law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law: the Dar es Salaam City Council Cultural Activities Permits By-Law, 2024. This bylaw applies across the entire area of the Dar es Salaam City Council. This provision defines key terms used in the by-law, including “fee,” “Authorized Officer,” “Council,” “Director,” and “cultural activities.” Anyone carrying out a cultural activity in the council area must have a written permit from the council. Anayetaka kufanya shughuli ya kiutamaduni katika eneo la Halmashauri lazima aombe kibali; maombi hulipiwa ada, yanaweza kukataliwa kwa maandishi na sababu zikatolewa, na nakala ya kibali huwasilishwa kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya pamoja na stakabadhi ya ada.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2024
Showing 24 of 24
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law: the Dar es Salaam City Council Cultural Activities Permits By-Law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies across the entire area of the Dar es Salaam City Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This provision defines key terms used in the by-law, including “fee,” “Authorized Officer,” “Council,” “Director,” and “cultural activities.”
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha unahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya kibali; lengo “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “shughuli za kiutamaduni” maana yake ni shughuli yoyote halali yenye lengo la kuleta furaha ikijumuisha sherehe, michezo na muziki isipokuwa kusanyiko la misiba. 1 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) Wajibu wa kuwa na kibali Utaratibu wa kuomba kibali Wajibu wa mmiliki wa ukumbi Sura ya 191 - 4 Verify source ↗
Mtu yeyote
AI-assisted research summary: Anyone carrying out a cultural activity in the council area must have a written permit from the council.
4. Mtu yeyote shughuli ya kiutamaduni katika eneo la Halmashauri atapaswa kuwa na kibali cha maandishi kutoka kwa Halmashauri. anayefanya - 5 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayekusudia kufanya shughuli
AI-assisted research summary: Anayetaka kufanya shughuli ya kiutamaduni katika eneo la Halmashauri lazima aombe kibali; maombi hulipiwa ada, yanaweza kukataliwa kwa maandishi na sababu zikatolewa, na nakala ya kibali huwasilishwa kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya pamoja na stakabadhi ya ada.
5.-(1) Mtu yeyote anayekusudia kufanya shughuli ya kiutamaduni katika eneo la Halmashauri anapaswa kutuma maombi ya kibali kwa Mkurugenzi kupitia kwa Afisa Mtendaji wa Mtaa husika kwa kujaza fomu maalum kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Maombi ya kibali yatalipiwa ada kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. (3) Endapo maombi ya kibali yatakataliwa, Halmashauri itamuarifu mwombaji kwa maandishi na kutoa sababu za kukataa kutoa kibali hicho. (4) Endapo kibali kimetolewa na Halmashauri ikabaini kuwa kuna sababu za msingi za kuzuiliwa kwa shughuli ya kiutamaduni kabla au baada ya kuanza kwa shughuli hiyo, Halmashauri itamuarifu mwombaji kwa maandishi na kutoa sababu za kuzuiliwa kwa kibali kilichotolewa. (5) Nakala ya kibali cha kufanya shughuli za kiutamaduni itawasilishwa kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ikiwa imeambatishwa na stakabadhi ya malipo ya ada. - 6 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa ukumbi wa muziki,
AI-assisted research summary: Owners of music, entertainment, or bar venues must follow the stated duties, including keeping sound within allowed limits and preventing students or anyone under 18 from entering.
6.-(1) Kila mmiliki wa ukumbi wa muziki, burudani au baa atakuwa na wajibu ufuatao: (a) kupiga muziki kwa kiwango cha sauti kilichoruhusiwa na kanuni za udhibiti wa kelele na mitetemo katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira.; (b) kuhakikisha kuwa mwanafunzi au mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na nane haingii katika ukumbi; (c) kuonesha picha mjongeo au sinema kwa kiwango cha sauti kilichoruhusiwa na kanuni za udhibiti wa kelele na mitetemo katika Sheria ya Mazingira. 2 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) Vigezo vya utoaji kibali - 7 Verify source ↗
Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoa kibali kwa shughuli ya kiutamaduni ikiwa itaridhika kuwa masharti manne yametimizwa.
7.-Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na mambo yafuatayo: (a) shughuli ya kiutamaduni inayoombewa kibali haitasababisha uvunjifu wa amani; (b) eneo litakalotumika kwa ajili ya shughuli ya shughuli linaruhusiwa kwa kiutamaduni inayoombewa kibali; Marufuku Sura ya 13 (c) kumbi za kiutamaduni zina usalama wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa vifaa vya kuzimia moto, madirisha makubwa yanayoruhusu hewa kupita na milango inayofunguka kwa urahisi wakati wa dharura; na (d) shughuli ya kiutamaduni haitakiuka maadili ya Mtanzania. - 8 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni marufuku kwa
AI-assisted research summary: Wamiliki wa baadhi ya kumbi na mtu mwenye kibali hawaruhusiwi kuwaingiza au kuwaacha watoto na watu walio chini ya miaka 18 katika maeneo au shughuli zilizopigwa marufuku, na kumbi za burudani hazipaswi kuonyesha picha au filamu zisizo na maadili.
8.-(1) Itakuwa ni marufuku kwa- (a) mmiliki wa ukumbi wa muziki, burudani au baa kumruhusu mtoto, mwanafunzi au mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na nane kuingia kwenye ukumbi wa muziki, burudani au baa kama ilivyozuiliwa katika Sheria ya Mtoto; (b) mtu mwenye kibali kumruhusu mtoto, mwanafunzi au mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na nane kuingia au kuendelea kuwepo katika shughuli ya kiutamaduni baada ya muda ulioruhusiwa kuisha; (c) mmiliki wa ukumbi wa burudani kuonesha picha mjongeo na sinema au kutumia sehemu yoyote kuonesha picha ambazo hazina maadili. (2) Muda wa kuonesha picha mjongeo au sinema utaanza saa kumi kamili jioni hadi saa sita kamili usiku kwa siku za kazi, isipokuwa jumamosi, jumapili na siku za sikukuu itakuwa kuanza saa saba kamili mchana hadi saa sita kamili usiku. Mamlaka ya kufanya ukaguzi - 9 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana mamlaka ya kuingia na kukagua mahali panapofanyika shughuli ya kiutamaduni ili kuangalia kibali au ufuataji wa masharti, na anaweza kutoa maelekezo ikiwemo kusitisha shughuli hiyo.
9.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kuingia mahala panapofanyika shughuli ya kiutamaduni 3 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) Mkusanyiko wa watoto au anapoamini kuna shughuli ya kiutamaduni inafanyika kwa lengo la kukagua iwapo shughuli hiyo ina kibali au inafanywa kwa kuzingatia masharti ya kibali kulingana na Sheria Ndogo hii. (2) Katika kutekeleza mamlaka yake chini ya kanuni ndogo ya (1), Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kutoa maelekezo yoyote ikiwa ni pamoja na kusitisha shughuli ya kiutamaduni kulingana na hali itakayobainika baada ya ukaguzi kufanyika. - 10 Verify source ↗
(1) Ni marufuku kwa mtu yeyote kukusanya
AI-assisted research summary: It is forbidden for anyone to gather children for any cultural activity within the Council without the Council’s written permission.
10.-(1) Ni marufuku kwa mtu yeyote kukusanya watoto kwa ajili ya shughuli yoyote ya kiutamaduni ndani ya Halmashauri bila kibali cha maandishi cha Halmashauri. (2) Mkusanyiko wowote wa watoto uliopata kibali cha Halmashauri kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (1) utafanyika siku za mapumziko kuanzia saa nne kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (3) Mtu yeyote aliyepata kibali cha mkusanyiko wa watoto atakuwa na wajibu wa kuhakikisha usalama wao kipindi chote cha mkusanyiko na kuhakikisha wanatawanyika kwa usalama kutoka katika eneo la mkusanyiko. (4) Mzazi, mlezi au mtu yeyote mwenye mamlaka juu ya mtoto atakuwa ametenda kosa endapo atamruhusu mtoto kuhudhuria mkusanyiko usio na kibali cha Halmashauri. Vibali visivyotozwa ada - 11 Verify source ↗
(1) Mikusanyiko ifuatayo itaombewa vibali
AI-assisted research summary: Some gatherings may be applied for without paying a fee.
11.-(1) Mikusanyiko ifuatayo itaombewa vibali bila kulipa ada- (a) mikusanyiko ya kidini; (b) misiba na mazishi; (c) michezo ya watoto isiyotozwa; na (d) mikusanyiko ya kisiasa. Usafi wa mazingira - 12 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakayeendesha shughuli za
AI-assisted research summary: Mtu anayeendesha shughuli za kiutamaduni ndani ya mamlaka ya Halmashauri lazima asafishe eneo lililotumika na aondoe uchafu wote uliosababishwa na shughuli hiyo.
12.-(1) Mtu yeyote atakayeendesha shughuli za kiutamaduni ndani ya mamlaka ya Halmashauri atalazimika kufanya usafi ndani au nje ya eneo lililotumika katika shughuli ya kiutamaduni kwa kuondoa uchafu wote uliosababishwa na shughuli ya kiutamaduni. 4 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) Muziki unaoleta kero Ukamataji wa vifaa Makosa na adhabu (2) Mtu yeyote atakayeshindwa kutekeleza masharti ya kanuni ndogo ya (1) atalipa gharama ya uchafuzi wa mazingira kadri zitakavyokadiriwa na Halmashauri na gharama zingine ambazo Halmashauri itatumia katika kuondoa uchafu huo. - 13 Verify source ↗
Mtu yeyote mwenye leseni ya biashara au
AI-assisted research summary: Holders of a business licence or a cultural activities permit must play music only at the volume allowed by the noise and vibration control rules in the Environmental Management law, in their business area or permitted area.
13. Mtu yeyote mwenye leseni ya biashara au aliyepata kibali cha shughuli za kiutamaduni atatakiwa kupiga muziki kwa kiwango cha sauti kilichoruhusiwa na kanuni za udhibiti wa kelele na mitetemo katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira kwenye eneo lake la biashara au aliloombea kibali. - 14 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukamata vifaa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukamata vifaa vinavyopatikana katika shughuli ya kiutamaduni isiyo na kibali au isiyofuata masharti ya kibali.
14.-(1) Halmashauri inaweza kukamata vifaa vitakavyokutwa katika shughuli ya kiutamaduni ambayo haina kibali au inaendeshwa bila kuzingatia masharti ya kibali. (2) Vifaa vitakavyokamatwa chini ya kanuni ndogo ya (1) vitachukuliwa na kuhifadhiwa katika ofisi za Halmashauri au eneo litakaloamuliwa na Halmashauri. lolote (3) Vifaa vilivyokamatwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii vitatakiwa kukombolewa ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya kukamatwa baada ya hapo, Halmashauri inaweza kuuza vifaa hivyo kwa mnada baada ya kuomba na kupata idhini ya Mahakama. (4) Mtu yeyote anayetaka kurejeshewa vifaa vilivyokamatwa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa gharama za ukamataji, usafirishaji na utunzaji wa vifa hivyo. - 15 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who breaches the bylaw commits an offence and may be fined, imprisoned, or both.
15. Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote kwa pamoja. Kufifilisha kosa - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mkosaji kiasi kisichozidi shilingi laki mbili ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalumu.
16. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria 5 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalumu kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. - 17 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli
AI-assisted research summary: This section repeals the 2019 Ilala Municipal Council bylaw on fees and permits for cultural activities.
17. Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala ya Mwaka 2019 inafutwa. Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS Na. 532 la 2019 6 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) _______________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5(1)) MAOMBI YA KIBALI CHA SHUGHULI YA KIUTAMADUNI
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Jina kamili la mwombaji ………………………………………………
AI-assisted research summary: This section refers to the applicant’s full name.
1. Jina kamili la mwombaji ………………………………………………. - 2 Verify source ↗
Anwani/ Namba ya simu ya mwombaji ……………………………
AI-assisted research summary: Hii ni kipengele cha fomu kinachoomba anwani au namba ya simu ya mwombaji.
2. Anwani/ Namba ya simu ya mwombaji …………………………….. - 3 Verify source ↗
Eneo ambalo tukio litafanyika : Mtaa…………………… Kata…………
AI-assisted research summary: This section asks for the place where the event will happen, including the street and ward.
3. Eneo ambalo tukio litafanyika : Mtaa…………………… Kata…………. - 4 Verify source ↗
Taja mahali ambapo shughuli
AI-assisted research summary: Hii inaomba uonyeshe mahali ambapo shughuli itafanyika, kama ukumbini, nyumbani, au eneo la wazi.
4. Taja mahali ambapo shughuli ……………………………….………………………………………. itafanyika (Ukumbini au Nyumbani au Eneo la wazi): - 5 Verify source ↗
Aina ya Shughuli ya Kiutamaduni (Mfano: Harusi, ngoma, Tamasha au Matangazo au Promosheni au
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha aina za shughuli za kiutamaduni, kama harusi, ngoma, tamasha, matangazo, promosheni, kupiga picha na Maulidi.
5. Aina ya Shughuli ya Kiutamaduni (Mfano: Harusi, ngoma, Tamasha au Matangazo au Promosheni au kupiga picha, Maulidi) - 6 Verify source ↗
Saini ya Mwombaji ………………………………………..………………
AI-assisted research summary: Applicant signature line.
6. Saini ya Mwombaji ………………………………………..……………… - 7 Verify source ↗
Tarehe ya tukio/shughuli……………………………..……………………
AI-assisted research summary: This section shows the permit form and fee schedule for cultural activities, and says the authorized officer may approve or reject an application.
7. Tarehe ya tukio/shughuli……………………………..…………………… KWA MATUMIZI YA OFISI TU MAONI YA MTENDAJI WA MTAA ATAKAPOFANYIA SHUGHULI YA KIUTAMADUNI …………………………………………………………………………… ...................................................................................................................... Tarehe ………………………………..Muhuri…………….………………… Jina la Mtendaji wa Mtaa ……………………… Saini………………….…. MAONI YA AFISA MTENDAJI WA KATA ATAKAPOFANYIA SHUGHULI YA KIUTAMADUNI ……………………………………………………………………………… ........................................................................................................................ Tarehe ………………………………Muhuri…………….………………… Jina la Afisa Mtendaji wa Kata ……………………… Saini………………….…. MAAMUZI YA AFISA MWIDHINIWA Maombi ya Kibali yamekubaliwa au yamekataliwa kwa sababu ....................................................................................................................... ……………………………………………………………………………… Unaruhusiwa kufanya shughuli ya kiutamaduni kuanzia saa …………. hadi saa ……….. Tarehe …………………………….. Muhuri …………….…………… Jina la Afisa Mwidhiniwa ………………………Saini………………….…. MHASIBU Kiasi: …………………………………. Tarehe:…………………….. Muhuri Risiti Na: ……………… Sahihi:………………..….. 7 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) ______________ JEDWALI LA PILI ___________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 5(2)) ADA YA KIBALI CHA SHUGHULI YA KIUTAMADUNI Namba Aina ya Shughuli ya Kiutamaduni 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 Matumizi ya uwanja wa mpira kwa ajili kwa wageni kutoka nje ya nchi kwa Watanzania Tamasha la muziki Onesho la michezo ya kuigiza Muziki wa disko Muziki wa taarabu Sherehe za mashirika na taasisi mbalimbali Onesho la sinema (Isipokuwa maonesho ya kidini) Sherehe nyinginezo Upigaji picha jongefu Upigaji picha mnato Tamasha la ngoma za asili Maonesho ya Sanaa au vichekesho (a) (b) Mchezo wa mezani (pool table) unaochezeshwa kibiashara Bahati nasibu Korokoro au tombola au fete (i) ya mashindano (ii) Matumizi ya uwanja wa mpira kwa ajili ya burudani au mazoezi ya taasisi, mashirika au kampuni Betting Bahati nasibu ya sanduku Studio ya kurekodi sanaa Sanaa za ufundi Mashindano ya urembo ndani ya wilaya (Isipokuwa kwa mashindano yanayolenga kuibua vipaji na siyo kuingiza kipato) Mashindano ya urembo kitaifa (isipokuwa kwa mashindano yanayolenga kuibua vipaji na siyo kuingiza kipato) Matangazo mitaani kwa kutumia spika Majengo ya biashara yanayoonesha picha mjongeo au picha jongefu mitaani (i) au sherehe (a) (b) (c) (d) Mapambo Chakula Muziki Mshehereshaji Huduma za kumbi za starehe au burudani 8 Ada kwa kila Onesho au Tukio (shilingi) 100,000/= kwa siku 30,000/=kwa siku 30,000/=kwa siku 30,000/=kwa siku 50,000/=kwa siku 50,000/=kwa siku 30,000/=kwa siku 30,000/=kwa mkanda 20,000/=kwa siku 20,000/=kwa siku 100,000/= kwa siku 20,000/= kwa siku 50,000/= kwa mwaka 30,000/= kwa mwezi 30,000/= kwa mwezi 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa mwezi 100,000/= kwa mwezi 100,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa mwezi 50,000/= kwa tukio 100,000/= kwa tukio 50,000/= kwa siku 20,000/= kwa mwezi 30,000/= kwa tukio 30,000/= kwa tukio 30,000/= kwa tukio 30,000/= kwa tukio Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) 25 shughuli Huduma za Kumbi kwa Mapambo Chakula Muziki Mshehereshaji (ii) nyinginezo (a) (b) (c) (d) Ada ya usajili (i) michezo (ii) Ada ya Usajili wa kampuni ya ukuzaji michezo na mawakala wa ukuzaji michezo (sports promotion) Ada ya Usajili wa Vilabu na vyama vya 30,000/= kwa tukio 30,000/= kwa tukio 30,000/= kwa tukio 30,000/= kwa tukio 20,000/= kwa mwaka 30,000/=kwa mwaka 9 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) _______________ JEDWALI LA TATU ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 16) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA ........................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MIMI Mimi MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwamba tarehe ..........ya mwezi .................. Mwaka................ nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya ……..ya Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, NAKUBALI kulipa kiasi cha shilingi ..................... ya ada ninayodaiwa pamoja na faini ya kufifilisha kosa ya shilingi ........................ NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo hii tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka ….....… Jina: ..................................................... Saini: ................................................. MBELE YA MKURUGENZI: Jina……................................................... Saini: ........................................................ Tarehe: .................................................... 10 Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli Za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji La Dar Es Salaam Tangazo la Serikali Na.1006 (Linaendelea.) Lakiri ya Jiji la Dar es Salaam imegongwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio lililopitishwa katika Mkutao wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam uliofanyika tarehe 6/3/2023 na kushuhudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- JOMAARY MRISHO SATURA, Mkurugenzi wa Jiji, Halmashauri ya jiji, Dar es salaam MHE. OMARY KUMBILAMOTO, Msahiki meya, Halmashauri ya jiji, Dar es salaam L.S NAKUBALI, Dodoma, 29 Agosti, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi OR-Tamisemi 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Vibali vya Shughuli za Kiutamaduni ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in