Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
This section says the by-law is to be known as the Kilwa District Council Health, Sanitation and Environmental Management By-law, 2024.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-law is to be known as the Kilwa District Council Health, Sanitation and Environmental Management By-law, 2024. This bylaw applies within the area of Kilwa District Council. This section defines key terms used in the by-law, including authorized officer, protected area, the Council, wastewater, environment, resident, Director, and agent. Kila mkazi anatakiwa kutunza usafi wa makazi na eneo la biashara, kuwa na choo na chombo cha taka chenye mfuniko, kusafisha eneo lisiloendelezwa analomiliki, na kushiriki usafi wa pamoja wakati uliowekwa na sheria au miongozo ya Serikali. Watu, groups, or institutions organizing meetings, ceremonies, or gatherings must provide temporary toilets if the area has none, follow health and sanitation rules, and the municipal health officer must inspect compliance.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
Showing 33 of 33
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section says the by-law is to be known as the Kilwa District Council Health, Sanitation and Environmental Management By-law, 2024.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024 Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la
AI-assisted research summary: This bylaw applies within the area of Kilwa District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including authorized officer, protected area, the Council, wastewater, environment, resident, Director, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “afisa mwidhiniwa” maana yake ni afisa aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “eneo la hifadhi” maana yake ni eneo la mlima, eneo la chanzo cha maji, hifadhi ya misitu, miteremko na maeneo mengine na ambayo Halmashauri kuwa ni maeneo ya hifadhi; yatatangazwa “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa; Sura ya 191 “maji taka” itakuwa na maana kama ilivyotafsiriwa katika Sura ya 191 “mazingira” itakuwa na maana kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; 1 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) “mkazi” maana yake ni mtu anayeishi au kufanya kazi ndani ya eneo la Halmashauri na inajumuisha taasisi na kampuni; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya….….au afisa atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, kikundi cha watu, kampuni au taasisi iliyoingia mkataba kutekeleza jukumu lolote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri. SEHEMU YA PILI AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Kila mkazi atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Kila mkazi anatakiwa kutunza usafi wa makazi na eneo la biashara, kuwa na choo na chombo cha taka chenye mfuniko, kusafisha eneo lisiloendelezwa analomiliki, na kushiriki usafi wa pamoja wakati uliowekwa na sheria au miongozo ya Serikali.
4. Kila mkazi atakuwa na wajibu wa - (a) kuweka mazingira ya makazi na eneo la biashara katika hali ya usafi muda wote; (b) kuwa na choo safi na imara kwenye nyumba au eneo la biashara analomiliki; (c) kuwa na chombo imara chenye mfuniko kwa ajili ya kuhifadhia taka ngumu; (d) kufanya usafi katika eneo analomiliki ambalo halijaendelezwa; na (e) kushiriki katika usafi wa mazingira wa pamoja kwa siku na muda ambao umeainishwa katika sheria au miongozo itakayotolewa na Serikali. - 5 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mtu, kikundi au
AI-assisted research summary: Watu, groups, or institutions organizing meetings, ceremonies, or gatherings must provide temporary toilets if the area has none, follow health and sanitation rules, and the municipal health officer must inspect compliance.
5.-(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mtu, kikundi au taasisi yenye lengo la kukusanya watu kwa madhumuni ya mkutano, sherehe au mkusanyiko wowote kuweka choo au vyoo vya muda iwapo eneo hilo halina choo au vyoo. (2) Mtu, kikundi au taasisi inayotaka kuweka choo au vyoo vya muda itatakiwa kuzingatia kanuni za afya, usafi na utunzaji wa mazingira. (3) Afisa afya wa Halmashauri atawajibika kukagua na kuhakikisha kuwa uwekaji wa choo au vyoo umezingatia kanuni za afya, usafi na utunzaji wa mazingira. Wajibu wa kufanya usafi Choo cha muda Udhibiti wa mazalia ya mbu na - 6 Verify source ↗
Kila mkazi atakuwa na wajibu wa kuhakikisha
AI-assisted research summary: Kila mkazi lazima ahakikishe eneo analoishi au kufanyia biashara halina maji yaliyotuama, maji taka, taka ngumu, au vitu vinavyoweza kusababisha mazalia ya mbu au wadudu wengine hatari.
6. Kila mkazi atakuwa na wajibu wa kuhakikisha eneo analoishi au kufanyia biashara halina maji yaliyotuama, 2 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) wadudu hatarishi Usafi wa pamoja Usafi wa mifereji Uhifadhi wa maji taka maji taka, taka ngumu au kitu chochote ambacho kinaweza kuruhusu kuwepo kwa mazalia ya mbu au wadudu wengine wenye madhara kwa afya ya binadamu. - 7 Verify source ↗
(1) Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa
AI-assisted research summary: Kila mwisho wa mwezi, Jumamosi ya mwisho huwa siku ya usafi wa pamoja, na kila mkazi anatakiwa kushiriki.
7.-(1) Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku ya usafi wa mazingira wa pamoja na kila mkazi atawajibika kushiriki. (2) Usafi wa mazingira wa pamoja utafanyika kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 4:00 asubuhi. (3) Muda wote wa usafi wa mazingira wa pamoja shughuli zote zisizohusu usafi hazitafanyika isipokuwa huduma muhimu kama itakavyoelekezwa na Halmashauri. - 8 Verify source ↗
Kila mkazi atakuwa na wajibu wa kuhakikisha
AI-assisted research summary: Kila mkazi lazima ahakikishe hatupi taka au kumwaga uchafu kwenye mifereji ya maji ya mvua iliyo karibu na nyumba, eneo la biashara, kiwanja, au eneo jingine lenye mfereji huo.
8. Kila mkazi atakuwa na wajibu wa kuhakikisha hatupi taka au kumwaga uchafu kwenye mifereji ya maji ya mvua inayozunguka au kupita kando ya nyumba anayoishi, eneo la biashara, kiwanja anachomiliki au eneo lingine lenye mfereji wa maji ya mvua. - 9 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la
AI-assisted research summary: Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima waandae mfumo wa maji taka na wasimwage maji taka hovyo.
9.-(1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara atakuwa na wajibu wa- (a) kuchimba shimo taka au kuweka la maji miundombinu ya kuelekeza maji taka kwenye mfumo rasmi wa maji taka; (b) kuondoa maji taka katika shimo la maji taka mara linapojaa; na (c) kutotiririsha au kutoelekeza maji taka kutoka katika choo, bafu, shimo la maji taka au kiwanda kwenda kwenye barabara, uchochoro, chanzo cha maji, eneo la wazi, mfereji wa maji au sehemu yoyote ambayo haijatengwa kwa ajili ya kuhifadhia maji taka. Wajibu kwa wafanyabias hara - 10 Verify source ↗
(1) Mtu
AI-assisted research summary: Anyone intending to do business must get a permit from the council and operate only in the area allowed. Food sellers and some other food and pest-control businesses must follow the health and hygiene rules stated here.
10.-(1) Mtu anayekusudia kufanya biashara atahakikisha anapata kibali kutoka Halmashauri na anafanya biashara katika eneo lililoruhusiwa kwa ajili hiyo. (2) Itakuwa ni wajibu wa mtu- (a) anayekusudia kuuza chakula cha aina yoyote kuzingatia masharti na kanuni za afya; 3 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) (b) anayefanya biashara ya vyakula vilivyopikwa au kukaangwa- (i) (ii) kuhifadhi vyakula kwenye sanduku lililotengenezwa kwa mbao safi au aluminiamu na kuwekwa kioo kuzuia vumbi na wadudu waletao madhara kwa afya ya binadamu; na kuweka vyakula juu ya meza wakati wa kuuza; anayefanya ya matunda, mbogamboga au biashara nyingine kama hiyo kufanya biashara katika mazingira ya usafi; anayefanya maalumu cha kuhifadhi taka; na anayefanya biashara ya kupuliza dawa au kuua wadudu, kufanya biashara hiyo kwa namna afya na kuhifadhi mazingira ya eneo husika. inayolinda biashara biashara chombo kuweka (c) (d) (e) Zuio la shughuli wakati wa magonjwa ya mlipuko - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kutoa amri ya kuzuia
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuzuia shughuli yoyote ikiwa ana sababu ya kuamini shughuli hiyo inaweza kusababisha kuenea kwa magonjwa ya mlipuko na kuathiri maisha ya binadamu.
11. Mkurugenzi anaweza kutoa amri ya kuzuia shughuli yoyote kufanyika iwapo atakuwa na sababu ya kuamini kwamba shughuli hiyo inaweza kusababisha kuenea kwa magonjwa ya mlipuko na kuleta athari kwa maisha ya binadamu. Upimaji wa afya - 12 Verify source ↗
Kila mfanyabiashara, mmiliki au mhudumu wa
AI-assisted research summary: Certain food and hospitality businesses must get health checks every six months to help protect customers.
12. Kila mfanyabiashara, mmiliki au mhudumu wa hoteli, mgahawa, baa, nyumba ya kulala wageni, bucha, mwoka mikate, au mtu anayeshughulika na kuuza vyakula vilivyopikwa atahakikisha kwamba anapima afya kila baada ya miezi sita kwa madhumuni ya kulinda afya za wateja. Eneo la kutupa taka - 13 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Halmashauri must set aside a waste dumping area, place waste bins in public places, provide waste collection services, and destroy waste in the designated area.
13. Halmashauri itakuwa na wajibu wa- (a) kutenga eneo maalumu kwa ajili ya kutupa taka; (b) kuweka vyombo vya kukusanyia taka katika maeneo ya umma; (c) kutoa huduma ya uzoaji taka; na (d) kuteketeza taka katika eneo lililotengwa kwa ajili hiyo. 4 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) Ada ya uzoaji taka - 14 Verify source ↗
Kila mkazi anawajibu wa kulipa ada ya huduma
AI-assisted research summary: Residents must pay the waste collection service fee to the council according to the rates set in the council’s bylaw.
14. Kila mkazi anawajibu wa kulipa ada ya huduma ya uzoaji taka kwa Halmashauri kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika sheria ndogo inayohusiana na ada na ushuru iliyotengenezwa na Halmashauri. Udhibiti utupaji wa taka kwenye vyombo vya usafiri - 15 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri wa umma
AI-assisted research summary: Mmiliki wa chombo cha usafiri wa umma lazima aweke chombo au kifaa cha kuhifadhia taka za abiria, na watumiaji wa vyombo vya usafiri hawaruhusiwi kutupa taka nje ya vyombo hivyo.
15.-(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri wa umma ataweka chombo au kifaa maalumu kwa ajili ya kuhifadhia taka za abiria. (2) Watumiaji wa vyombo vya usafiri binafsi au vya umma hawataruhusiwa kutupa taka nje ya vyombo hivyo. (3) Mtu atakayekiuka masharti ya kanuni hii anatenda kosa. Ukaguzi - 16 Verify source ↗
(1) Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika
AI-assisted research summary: An authorized officer may enter any building to inspect compliance. If a deficiency is found, the Director must give the resident a notice of up to 30 days to fix it, and may suspend use of the building if the deficiency is not fixed.
16.-(1) Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika jengo lolote kwa lengo la kufanya ukaguzi juu ya utekelezaji wa masharti ya Sheria Ndogo hii. (2) Endapo baada ya ukaguzi, afisa mwidhiniwa atabaini upungufu katika utekelezaji wa masharti ya Sheria Ndogo hii, Mkurugenzi atatoa notisi ya muda usiozidi siku thelathini kwa mkazi kurekebisha upungufu uliobainika. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (2), Mkurugenzi anaweza kusitisha matumizi ya jengo ambalo mkazi ameshindwa kurekebisha upungufu uliobanika. SEHEMU YA TATU HIFADHI YA MAZINGIRA (a) Masharti kuhusu ufugaji
Part
SEHEMU YA TATU
- 17 Verify source ↗
Halmashauri itakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Halmashauri ina wajibu wa kutenga maeneo ya malisho, kutenga njia za kupitisha mifugo, kufanya sensa ya mifugo na kutoa kadi za usajili, na kutoa elimu ya ufugaji bora kwa jamii.
17. Halmashauri itakuwa na wajibu wa- Wajibu wa Halmashauri (a) kutenga maeneo maalum kwa ajili ya shughuli za malisho ndani ya eneo la Halmashauri; (b) kutenga njia maalum ya kupitisha mifugo kwenda na kurudi kwenye malisho au minada; (c) kufanya sensa ya mifugo na kutoa kadi za usajili wa mifugo; na (d) kutoa elimu ya ufugaji bora kwa jamii. Wajibu wa mfugaji - 18 Verify source ↗
Mfugaji atakuwa na wajibu wa
AI-assisted research summary: Livestock keepers must use designated grazing areas and routes, not cut trees, and register livestock in the village register.
18. Mfugaji atakuwa na wajibu wa- 5 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) Katazo kwa mfugaji (a) kufuga na kulisha mifugo katika maeneo ya malisho yaliyotengwa na Halmashauri; (b) kupitisha mifugo katika njia zilizopangwa au kutengwa na Halmashauri; (c) kutokata miti; na (d) kusajili mifugo katika rejesta ya kijiji. - 19 Verify source ↗
(1) Mfugaji katika eneo
AI-assisted research summary: Mfugaji katika eneo haruhusiwi kuchunga, kusafirisha, kuingiza, au kupitisha mifugo katika maeneo yasiyoruhusiwa; Halmashauri inaweza kukamata na, chini ya masharti fulani, kuuza mifugo iliyokamatwa.
19.-(1) Mfugaji katika eneo hataruhusiwa- (a) kuchunga, kulisha au kunywesha maji mifugo katika maeneo yote ambayo hayakutengwa kwa ajili hiyo; la Halmashauri (b) kusafirisha mifugo kwa kuswaga barabarani; (c) kuingiza mifugo katika eneo la Halmashauri bila kibali; na (d) kupitisha mifugo katika maeneo ambayo hayakuidhinishwa na Halmashauri. (2) Endapo mmiliki wa mifugo atakiuka kanuni ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukamata mifugo hiyo. (3) Mmiliki wa mifugo itakayokamatwa chini ya faini kama (1) atapaswa kulipa kanuni ndogo ya ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (4) Endapo mifugo iliyokamatwa haitachukuliwa na mmiliki ndani ya siku saba tangu kukamatwa, Halmashauri itakuwa na haki ya kuuza mifugo kwa mnada baada ya kupata idhini ya mahakama, na fedha zitakazopatikana zitakabidhiwa kwa mmiliki baada ya kulipa faini inayodaiwa, gharama za kuhifadhi mifugo, gharama ya mahakama na gharama ya mnada. (5) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (4), kabla ya kuuza mifugo kwa mnada Halmashauri itamjulisha mmiliki wa mifugo na umma kuhusu kusudio hilo. (6) Endapo kutatokea kufa kwa mifugo kutokana na sababu yoyote, Halmashauri haitawajibika na ulipaji wa gharama zozote isipokuwa kama kifo kimesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri. (b) Masharti kuhusu utunzaji wa misitu 6 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) Wajibu wa mkazi - 20 Verify source ↗
(1) Kila mkazi atakuwa na wajibu wa kutunza
AI-assisted research summary: Kila mkazi lazima atunze miti katika maeneo yaliyohifadhiwa kwa ajili ya misitu, na ni marufuku kuchoma misitu katika eneo la Halmashauri.
20.-(1) Kila mkazi atakuwa na wajibu wa kutunza miti kwenye maeneo yaliyohifadhiwa kwa ajili ya misitu (2) Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kuchoma moto misitu iliyopo eneo la Halmashauri. (3) Endapo moto utatokea katika eneo la Halmashauri, kiongozi wa eneo husika atawajibika kutoa amri kwa wakazi kuzima moto huo unapoonekana kuwa na madhara kwa maisha ya binadamu, mali na uharibifu wa mazingira katika eneo hilo. (4) Kila mkazi atawajibika kushiriki kuzima moto iwapo atatakiwa kufanya hivyo na akishindwa kushiriki pasipo sababu ya msingi atakuwa ametenda kosa. - 21 Verify source ↗
(1) Mkazi hataruhusiwa kukata miti katika
AI-assisted research summary: Mkazi hawezi kukata miti katika msitu uliohifadhiwa bila kibali cha Halmashauri. Iwapo mkazi atahitaji kuvuna miti, afisa misitu lazima ahakiki kuwa miti imekomaa na inafaa kutumika.
21.-(1) Mkazi hataruhusiwa kukata miti katika maeneo ya misitu iliyofadhiwa kwa ajili ya matumizi ya aina yoyote bila kupata kibali kutoka Halmashauri. (2) Endapo kutakuwa na umuhimu kwa mkazi kuvuna miti kutoka kwenye msitu uliohifadhiwa, afisa misitu atatakiwa kuhakiki iwapo miti inayovunwa imekomaa na inafaa kwa ajili ya matumizi. - 22 Verify source ↗
(1) Halmashauri za vijiji zitawajibika kutenga na
AI-assisted research summary: Village councils must set aside and maintain special areas for forest conservation, natural vegetation, and biodiversity.
22.(1) Halmashauri za vijiji zitawajibika kutenga na kutunza maeneo maalum kwa ajili ya hifadhi za misitu, uoto wa asili na viumbe hai. (2) Endapo maeneo hayo yatakuwa yameharibiwa, Halmashauri za vijiji zitahakikisha wakazi wanapanda miti kwa ajili ya kurejesha uoto katika hali yake na kuzuia uharibifu wa mazingira. - 23 Verify source ↗
(1) Kila mkazi atawajibika kupanda na kutunza
AI-assisted research summary: Residents must plant and care for trees on land they live on or own, institutions in the Council area must plant windbreak trees around their buildings, and tree planting under this rule should follow advice from a Council expert.
23. (1) Kila mkazi atawajibika kupanda na kutunza miti katika eneo la makazi au shamba analomiliki. (2) Kila taasisi ndani ya Halmashauri itapaswa kupanda miti ya kukinga upepo kuzunguka majengo ya taasisi husika. (3) Upandaji wa miti kwa mujibu wa kanuni hii utazingatia ushauri wa mtaalamu wa Halmashauri. (c) Masharti kuhusu usimamizi wa vyanzo vya maji Ukataji miti Uhifadhi wa uoto wa asili Upandaji wa miti Wajibu wa kulinda - 24 Verify source ↗
(1) Halmashauri itawajibika kusimamia na
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ilinde vyanzo vya maji, watu hawaruhusiwi kufanya shughuli zinazoathiri chanzo cha maji ndani ya mita 60, na uchimbaji wa madini ya ujenzi umewekewa marufuku isipokuwa kwa ruhusa maalumu ya Halmashauri.
24.-(1) Halmashauri itawajibika kusimamia na kulinda vyanzo vya maji kwa kuweka mipaka, alama na 7 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) vyanzo vya maji mabango ya ilani ya kuzuia uharibifu au uchafuzi katika maeneo hayo. Uchimbaji wa madini ya ujenzi Taratibu za kilimo Wajibu wa mkulima (2) Itakuwa ni wajibu wa Halmashauri kupanda miti isiyonyonya maji katika vyanzo vya maji. (3) Itakua ni marufuku kwa mtu kulima, kukata miti, kuchunga mifugo katika umbali wa mita 60 kutoka kwenye chanzo cha maji au kufanya jambo lolote linaloharibu kwa namna yoyote chanzo cha maji na hifadhi ya mazingira. (4) Itakuwa ni marufuku kwa mtu binafsi, kiwanda, taasisi, shirika kuelekeza maji taka kwenye chanzo cha maji. 25-(1) Halmashauri itatenga maeneo maalum kwa ajili ya machimbo ya madini ya ujenzi kwa mujibu wa taratibu zitakazowekwa. (2) Ni marufuku kwa mtu kuchimba madini ya ujenzi katika eneo la makazi ya watu, maeneo yaliyohifadhiwa kando kando ya mito, ndani ya mto, bwawa au katika maeneo yasiyoruhusiwa isipokuwa kwa ruhusa maalumu ya Halmashauri. (d)Masharti kuhusu kilimo - 26 Verify source ↗
Mtu atakayetaka kuendesha shughuli za kilimo
AI-assisted research summary: Mtu anayetaka kufanya shughuli za kilimo ndani ya eneo la Halmashauri lazima azingatie taratibu za kilimo zitakazotolewa na Halmashauri.
26. Mtu atakayetaka kuendesha shughuli za kilimo katika eneo la Halmashauri atatakiwa kuzingatia taratibu za kilimo zitakavyotolewa na Halmashauri. - 27 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote
AI-assisted research summary: It is prohibited for anyone to farm on slopes or near water sources and wetlands without good agricultural practices, to use agricultural land for unrelated activities, or to clear land by burning unless permitted by the Council and within the allowed time.
27.-(1) Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote- (a) kulima katika miteremko, karibu au katika vyanzo vya maji au maeneo oevu yaliyotengwa, kandokando au kwenye kingo za vyanzo vya maji pasipo kuzingatia kanuni bora za kilimo; (b) kutumia ardhi iliyotengwa kwa ajili ya kilimo kufanya shughuli nyingine isiyohusiana na kilimo; na (c) kusafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto isipokuwa kwa kibali cha Halmashauri na muda ulioruhusiwa. (2) Mtu aliyepata kibali cha kuchoma moto atatoa taarifa ya siku mbili kabla ya kuchoma moto kwa majirani 8 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) walioko katika eneo analotaka kuchoma na ataweka njia za kuzuia moto kusambaa maeneo mengine. (3) Halmashauri itakuwa na wajibu wa kusimamia shughuli za kilimo na kuzuia kilimo cha kuhamahama na kuhimiza kilimo cha mzunguko. Matumizi ya viuatilifu - 27 Verify source ↗
Halmashauri kwa kushirikiana na mamlaka
AI-assisted research summary: Halmashauri, pamoja na mamlaka ya udhibiti wa viuatilifu, lazima zielekeze matumizi sahihi ya viuatilifu na kufanya ukaguzi wa kubaini vile vinavyohatarisha afya ya binadamu na mazingira.
27. Halmashauri kwa kushirikiana na mamlaka husika za udhibiti wa viuatilifu zitaelekeza matumizi sahihi ya viuatilifu hivyo, na kufanya ukaguzi ili kubaini viuatilifu ambavyo ni hatarishi kwa afya ya binadamu na mazingira. SEHEMU YA NNE MASHARTI YA JUMLA Uteuzi wa wakala
Part
SEHEMU YA NNE
- 28 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala kutekeleza jukumu lolote chini ya Sheria Ndogo hii, na wakala aliyechaguliwa atawajibika kwa Halmashauri kwa mujibu wa mkataba wao.
28.-(1) Halmashauri inaweza kuteua wakala kwa ajili ya kutekeleza jukumu lolote chini ya Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kanuni hii atawajibika kwa Halmashauri kwa mujibu wa mkataba baina ya wakala na Halmashauri. Ushirikisha ji wa jamii - 29 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kushirikisha jamii kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuingia mkataba ili kushirikisha jamii katika kuboresha bustani, maeneo ya wazi na uhifadhi wa mazingira.
29. Halmashauri inaweza kushirikisha jamii kwa kuingia mkataba na mtu binafsi, taasisi, kikundi binafsi au asasi za kiraia, ndani ya Halmashauri katika ngazi ya kitongoji, kijiji, kata au wilaya katika kuboresha bustani, eneo la wazi na uhifadhi wa mazingira. Makosa na adhabu - 30 Verify source ↗
Mtu yoyote ambaye
AI-assisted research summary: Anyone who obstructs an official, causes someone else not to follow the subsidiary legislation, or breaks its rules commits an offence.
30. Mtu yoyote ambaye- (a) atamzuia Mkurugenzi, afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza masharti ya Sheria Ndogo hii; (b) atashawishi au kusababisha mtu mwingine kutotekeleza masharti ya Sheria Ndogo hii; au (c) atakiuka masharti yoyote ya Sheria Ndogo hii, anatenda kosa na akipatikana na hatia atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini na isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichopungua miezi sita na kisichozidi miezi kumi na mbili au vyote. Kufifilisha kosa - 31 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kutoza mtu aliyekiri kwa hiari na kujaza fomu maalum kiasi kisichozidi shilingi laki mbili.
31. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi 9 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) kisichozidi shilingi laki mbili iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalum kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili . Kufutwa kwa TS Na. 20 la 2016
Part
Jedwali la Pili .
- 32 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingiraa na
AI-assisted research summary: This section repeals the Kilwa District Council by-law on environmental protection and water sources.
32. Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingiraa na Vyaanzovya Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa inafutwa. 10 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 19(3)) VIWANGO VYA MALIPO YA KUHIFADHI MIFUGO ILIYOKAMATWA NA HALMASHAURI Aina ya Mifugo Na
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 5 Verify source ↗
Mbwa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka kiwango cha malipo ya kila siku kwa kila mfugo, na fomu ya kukiri kosa inataja kukubali kulipa ada na faini zinazodaiwa.
5. Mbwa Kiwango cha malipo kwa siku kwa kila mfugo (Tsh.) 5000 5000 5000 5000 2000 11 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) _____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 31) FOMU YA KUKIRI KOSA Mimi………………………………………………………NAKIRI KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa kwa kukiuka masharti ya kanuni ya .…… ya Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka, 2024. NAKUBALI kulipa kiasi cha shilingi.......... cha ada ninayodaiwa pamoja na faini ya shilingi......... NATHIBITISHA KWAMBA, maelezo niliyotoa hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa MIMI MWENYEWE na kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu. Leo hii tarehe………….ya mwezi…………..… mwaka 20……………. Jina………………………………..... Saini………........………………...... MBELE YA MKURUGENZI Jina:…………………..................................... Saini:…………………..….............................. Tarehe:.............................................................. 12 Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo La Serikali Na.1014 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia Azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 9/11/2023 mbele ya:- HANAN M. BAFAGIH, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya Kilwa MHE. ISSA B. MATEKA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya L.S NAKUBALI, Dodoma 29 Oktoba,2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI 13
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in