AI-assisted research summary: Mpango wa jumla na kina kwa eneo lililoainishwa katika Jedwali unapaswa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba.
3. Mpango wa jumla na kina kwa eneo na lililoainishwa Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba. utaandaliwa katika 1 Tangazo la Serikali Na. 72 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Tumbakose _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji lipo ndani ya Mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK1 yenye majira - nukta 795455.086MS, 9409462.000KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ59019’07.14’’MS kwa umbali wa kilomita 8.83 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK2 yenye majira - nukta 803051.699MS, 9405018.886KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa kukatiza barabara ya Rofati – Donsee katika uelekeo wa KZ53029’33.55’’MS kwa umbali wa kilomita 3.74 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK3 yenye majira - nukta 806077.148MS, 9402779.571; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS77002’21.35’’ kwa umbali wa kilomita 2.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK4 yenye majira - nukta 808164.386MS, 9402299.201KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS25013’49.30’’MS kwa umbali wa kilomita 3.10 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK5 yenye majira - nukta 809442.852MS, 9399586.056KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS25006’32.98’’MS kwa umbali wa kilomita 2.98 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK6 yenye majira - nukta 810756.134MS, 9396784.193KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS73018’49.37’’ kwa umbali wa kilomita 3.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK7 yenye majira - nukta 807451.374MS, 9395793KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ18026’05.82’’MG kwa umbali wa kilomita 3.29 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK8 yenye majira - nukta 806408.747MS, 9398921.460KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS81030’12.97’’MG kwa umbali wa Kilomita 10.52 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK9 yenye majira - nukta 795998.118MS, 9397366.250KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG88048’42.53’’ kwa umbali wa kilomita 0.98 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK10 yenye majira - nukta 794911.853MS, 9397343.720KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi kwa kukatiza barabara ya Donsee – Rofati katika uelekeo wa KS18018’56.23’’MG kwa umbali wa kilomita 4.27 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK11 yenye majira - nukta 793568.103MS, 9401403.133KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ24015’51.86’’MS kwa umbali wa kilomita 3.61 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TK12 yenye majira - nukta 795052.665MS, 9404696.527KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ4045’47.33’’ kwa umbali wa kilomita 4.84 hadi ulipoanzia.” Dodoma, ………., 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2