AI-assisted research summary: Provisioni hii inaeleza jinsi ya kutathmini uchakataji wa taarifa binafsi, hatua za usalama, na ada za usajili/kuhuisha kwa vikundi mbalimbali vya wakusanyaji au wachakataji.
6. Eleza jinsi mtiririko wa uchakataji wa taarifa unavyozingatia Misingi za ulinzi wa taarifa binafsi- Sehemu ya 2: Tathmini ya umuhimu na uwiano wa shughuli za uchakataji na dhumuni lililokusudiwa. Tathmini inayohitajika na viwango vya tathmini. 36 Kanuni Za Ukusanyaji Na Uchakataji wa Taarifa Binafsi Tangazo la Serikali Na. 349 (Linaendelea.) Elezea uzingatiaji na uwiano hususani hatua zilizochukuliwa Msingi halali wa uchakataji. Njia iliyotumika kupata ridhaa. Ikiwa uchakataji wa taarifa binafsi ni muhimu kufikia kusudio lako? Je, kuna njia nyingine ya kufikia kusudio bila kuchakata taarifa binafsi? Ubora wa taarifa Utoshelevu wa taarifa binafsi Kumtaarifu mhusika wa taarifa kuhusu shughuli za uchakataji Utekelezaji wa haki za mhusika wa taarifa. Wahusika wote wanahusika kwenye uchakataji na majukumu yao mahususi Kuhakikisha taratibu zilizipo zinafuatwa na wahusika wote. Usalama wa uchakataji wa taarifa binafsi Usalama wa taarifa kabla ya kuvuka mipaka ya nchi Sehemu ya 3: Hatua zilizowekwa za kushughulikia vihatarishi na ulinzi, hatua na taratibu za kiusalama ili kuhakikisha ulinzi wa taarifa binafsi na uzingatiaji wa Sheria. Matokeo Mhusika Tathmini ya vihatarishi - Kubainisha vihatarishi vya faragha na Kutathmini uvumbuzi wake Utambulisho Udhibiti wa wa ndani uliopo (toa kihatarishi maelezo ya jinsi na utakavyosimamia Maelezo kihatarishi) yake Tathmini ya kihatarishi wa kihatarishi Eleza hatua zaidi utakazochukua ili kupunguza Athari/uwezekano na kudhibiti athari. Elezea mhusika wa kihatarishi kwa kila hatua. 37 Kanuni Za Ukusanyaji Na Uchakataji wa Taarifa Binafsi Tangazo la Serikali Na. 349 (Linaendelea.) Sehemu ya 5: Hitimisho na Matokeo MAELEZO VIDOKEZO/MAELEKEZO na Ofisi Kushauriana ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa binafsi (ambapo itatumika) TAUT hii itawekwa chini ya ukaguzi na: ____________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(2) na 8(2)) ADA Makundi Maelezo Ada ya usajili (Tsh) kwa Mkusanyaji /Mchakataji) (kulipwa kwa mara moja) Ada ya kuhuisha usajili Tsh) kwa Mkusanyaji /Mchakataji) (kulipwa ya kila baada ya miaka 5) Wakusanyaji na wachakataji wadogo Wakusanyaji au wachakataji wenye wafanyakazi kuanzia 1- 49 na mauzo ya chini ya shilingi milioni 100 kwa mwaka. 100,000.00 50,000.00 Wakusanyaji na wachakataji wa kati Wakusanyaji au wachakataji wenye wafanyakazi kuanzia 50- 99 na mauzo kuanzia shilingi 100,000,000 -500,000,000 kwa mwaka. Wakusanyaji na wachakataji wakubwa Wakusanyaji au wachakataji wenye wafanyakazi kuanzia 100 na mauzo kuanzia shilingi 500,000,000 kwa mwaka 200,000.00 150,000.00 1,000,000.00 500,000.00 Mashirika ya umma Wakusanyaji au wachakataji wanaotoa huduma za serikali (Bila kujali idadi ya wafanyakazi au mapato / mauzo) 100,000.00 -500,000.00 50,000 -300,000.00 38 Kanuni Za Ukusanyaji Na Uchakataji wa Taarifa Binafsi Tangazo la Serikali Na. 349 (Linaendelea.) Mashirika yasiyo ya kibiashara na Taasisi za kidini Wakusanyaji au wachakataji kinachotoa hisani au kazi za kidini (Bila kujali au mapato/mauzo) 100,000.00 50,000.00 Dodoma, NAPE M. NNAUYE, 6 Mei, 2023 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari 39