Tanzania Regulation

Parliament of Tanzania

Kanuni za Ukasimishaji wa Majukumu ya Usajili wa Meli za Kimataifa kwa Taasisi Zinazotambulika za Mwaka 2023

Sehemu hii inaorodhesha aina za kazi zinazoweza kufanyika chini ya idhini, ikiwemo idhini ya jumla, idhini maalum, na kazi za kushirikiana na Nchi za Bandari. Section 5 identifies the legal basis…

authorizationcertificationcompliance oversightdispute resolutioninspectioninsuranceliability capmaritime regulationmaritime reportingprofessional indemnityquality managementregulatory compliancework authorization

Publicly available, excluded from search-engine indexing

This page remains available for direct research for the following reasons:

  • The record does not meet this release's canonical indexing criteria. (market-indexing-disabled)
  • The record does not meet this release's canonical indexing criteria. (emergency-noindex)

Professional statute overview

Enactment structure, operative effect and source provenance

Official source

01

Purpose and legislative effect

“Sehemu hii inaorodhesha aina za kazi zinazoweza kufanyika chini ya idhini, ikiwemo idhini ya jumla, idhini maalum, na kazi za kushirikiana na Nchi za Bandari.”

Sehemu hii inaorodhesha aina za kazi zinazoweza kufanyika chini ya idhini, ikiwemo idhini ya jumla, idhini maalum, na kazi za kushirikiana na Nchi za Bandari. Section 5 identifies the legal basis for work under approval as the law, subsidiary rules and conditions, interpretation, and remedies for violations. Provision kuhusu kutoa taarifa kwa nchi ya bendera kuhusu idhini ya jumla, kibali maalum, uainishaji wa meli, matukio ya hitilafu, na taarifa nyingine. Kifungu hiki kinataja taarifa zinazohusiana na ushirikiano wa kuandaa sheria na kanuni, ikiwemo mikutano ya mahusiano, kubadilishana sheria na kanuni na taarifa, pamoja na lugha na muundo. Sehemu hii inaorodhesha masharti ya ziada yanayoweza kujumuishwa, ikiwemo malipo, usiri, utatuzi wa migogoro, kandarasi ndogo, marekebisho, na uwezekano wa fidia ya kitaaluma au bima ya dhima ya kitaaluma.

02

How the instrument operates

  1. 01

    Start with the recorded version

    Legal dates not recorded. The date shown identifies this source expression and should not be treated as proof that no later change exists.

  2. 02

    Locate the controlling provision

    Use the provision map, part headings and full-text filter to move from the broad subject to the exact legal language.

  3. 03

    Read conditions and exceptions together

    Keep subsections, definitions, provisos and cross-references in context before drawing a legal conclusion.

  4. 04

    Verify currency and official wording

    Confirm later legislation, commencement notices and corrections with the official publisher before advice, filing or reliance.

03

Research entry points

Selected provisions across the instrument. Open any row to continue with the exact stored text.

Masharti ya uidhinishaji

Sehemu hii inaorodhesha aina za kazi zinazoweza kufanyika chini ya idhini, ikiwemo idhini ya jumla, idhini maalum, na kazi za kushirikiana na Nchi za Bandari.

Section 4

Ubunifu na uendelezaji

Provision kuhusu kutoa taarifa kwa nchi ya bendera kuhusu idhini ya jumla, kibali maalum, uainishaji wa meli, matukio ya hitilafu, na taarifa nyingine.

Section 6

Uteuzi na usimamizi wa taasisi inayotambulika

Kifungu hiki kinataja taarifa zinazohusiana na ushirikiano wa kuandaa sheria na kanuni, ikiwemo mikutano ya mahusiano, kubadilishana sheria na kanuni na taarifa, pamoja na lugha na muundo.

Section 7

Uidhinishaji wa taasisi zinazotambulika

This provision lists matters for approval from an organization to a recognized institution, including ships, documents, drawings, equipment, inspections, certificates, amendments, suspension of certificates, and reporting.

Section 9

Makubaliano na taasisi zinazotambulika

Shirika husimamia majukumu ya taasisi inayotambulika, ikijumuisha ukaguzi wa nyaraka, upatikanaji wa miongozo ya ndani, nyaraka zinazohusu meli ya Jamhuri ya Muungano, ushirikiano wa ukaguzi, na utoaji wa taarifa na takwimu.

Section 10

04

Source and current-law status

Source record view

Source record from oagmis.oag.go.tz · Legal dates not recorded

Verify current force

The source record does not state a definitive current-law status. Check the official publisher and later amendments before relying on this text.

Source-indexed provision map

Sections and provisions

Search by section, heading, part or exact legal wording. Every result remains linked to the stored source record.

Showing 7 of 7 provisions

Provision 6Interpretation
§ 4Masharti ya uidhinishajiProvision

Sehemu hii inaorodhesha aina za kazi zinazoweza kufanyika chini ya idhini, ikiwemo idhini ya jumla, idhini maalum, na kazi za kushirikiana na Nchi za Bandari.

4. Utekelezaji wa kazi chini ya idhini: (a) kazi kwa mujibu wa idhini ya jumla; (b) kazi kwa mujibu wa idhini maalum (ya ziada); (c) uhusiano kati ya sheria ya taasisi inayotambulika na shughuli nyingine zinazohusiana; na (d) kazi za kushirikiana na Nchi za Bandari ili kuwezesha urekebishaji wa upungufu wa udhibiti wa Serikali ya Bandari ulioripotiwa au tofauti ndani ya ufuatiliaji wa taasisi inayotambulika.
§ 5Mfumo wa usimamizi wa uboraInterpretation

Section 5 identifies the legal basis for work under approval as the law, subsidiary rules and conditions, interpretation, and remedies for violations.

5. Msingi wa kisheria wa kazi chini ya idhini: (a) Sheria, kanuni na masharti ya nyongeza; (b) tafsiri; na (c) ukiukaji na ufumbuzi wa ukiukaji.
§ 6Ubunifu na uendelezajiProvision

Provision kuhusu kutoa taarifa kwa nchi ya bendera kuhusu idhini ya jumla, kibali maalum, uainishaji wa meli, matukio ya hitilafu, na taarifa nyingine.

6. Taarifa kwa nchi ya bendera: (a) taratibu za kutoa taarifa katika idhini ya jumla; (b) taratibu za kutoa taarifa katika kibali maalum; (c) kutoa taarifa juu ya uainishaji wa meli (mgao wa daraja, mabadiliko na ufutaji), kama inavyotumika; na (d) kutoa taarifa ya matukio endapo meli ina hitilafu inayosababisha meli kushindwa kuendelea na safari bila kusababisha hatari kwa meli au watu waliokuwemo au kubainika kuwa na viashiria vya uharibifu wa mazingira; na taarifa nyingine. (e)
§ 7Uteuzi na usimamizi wa taasisi inayotambulikaProvision

Kifungu hiki kinataja taarifa zinazohusiana na ushirikiano wa kuandaa sheria na kanuni, ikiwemo mikutano ya mahusiano, kubadilishana sheria na kanuni na taarifa, pamoja na lugha na muundo.

7. Uandaaji wa sheria na kanuni – taarifa: (a) ushirikiano kuhusiana na uandaaji wa sheria na kanuni – mikutano ya mahusiano; (b) kubadilishana sheria na kanuni na taarifa; na 22 Kanuni Za Ukasimishaji wa Majukumu ya Usajili wa Meli Za Kimataifa kwa Taasisi Zinazotambulika Tangazo la Serikali Na. 497 (Linaendelea.) (c) lugha na muundo.
§ 8Majukumu ya taasisi zinazotambulikaProvision

Sehemu hii inaorodhesha masharti ya ziada yanayoweza kujumuishwa, ikiwemo malipo, usiri, utatuzi wa migogoro, kandarasi ndogo, marekebisho, na uwezekano wa fidia ya kitaaluma au bima ya dhima ya kitaaluma.

8. Masharti mengine: (a) malipo; (b) kanuni za masharti ya kiutawala; (c) usiri; (d) madai ambayo yatajumuisha taasisi inayotambulika na wafanyakazi wake wanaohusika au kuwajibika katika utoaji wa uidhinishaji wa kisheria na huduma inaweza kutakiwa na sheria husika kugharamiwa na fidia ya kitaaluma au bima ya dhima ya kitaaluma katika tukio ambalo dhima hiyo itatolewa kwa Jamhuri ya Muungano kwa hasara au hasara ambayo imethibitishwa katika mahakama kuwa imesababishwa na kitendo chochote cha uzembe au kutotenda kazi kwa taasisi yake inayotambulika. Kuhusiana na hili, Shirika linaweza pia kuzingatia kuweka kizuizi kwa kiwango cha dhima na ulipaji kitakacholipwa chini ya bima hiyo au mipango mingine ya fidia; (e) wajibu wa kifedha; (f) kuanza kutumika; (g) usitishaji; (h) uvunjaji wa makubaliano; (i) utatuzi wa migogoro; (j) kutumia kandarasi ndogo; (k) kupatiwa makubaliano; na (l) marekebisho.
§ 9Uidhinishaji wa taasisi zinazotambulikaProvision

This provision lists matters for approval from an organization to a recognized institution, including ships, documents, drawings, equipment, inspections, certificates, amendments, suspension of certificates, and reporting.

9. Ufafanuzi wa idhini kutoka Shirika kwenda kwa taasisi inayotambulika: (a) aina na ukubwa wa meli; (b) mikataba na nyaraka nyingine, ikiwa ni pamoja na sheria husika za kitaifa; (c) kuidhinishwa kwa michoro; (d) kuidhinishwa kwa vifaa; (e) ukaguzi; (f) utoaji wa vyeti; (g) marekebisho; (h) usitishwaji wa vyeti; na (i) kuripoti.
§ 10Makubaliano na taasisi zinazotambulikaProvision

Shirika husimamia majukumu ya taasisi inayotambulika, ikijumuisha ukaguzi wa nyaraka, upatikanaji wa miongozo ya ndani, nyaraka zinazohusu meli ya Jamhuri ya Muungano, ushirikiano wa ukaguzi, na utoaji wa taarifa na takwimu.

10. Usimamizi wa majukumu ya taasisi inayotambulika unaofanywa na Shirika: (a) nyaraka za mfumo wa uhakiki wa ubora; (b) upatikanaji wa maelekezo ya ndani na miongozo; (c) upatikanaji wa nyaraka za taasisi inayotambulika zinazohusiana na meli ya Jamhuri ya Muungano kwa Shirika; (d) kushirikiana katika kazi ya ukaguzi na uhakiki na Shirika; na (e) utoaji wa taarifa na takwimu, mathalani, kuhusu uharibifu na majeruhi wanaohusika na meli ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dodoma, 28 Juni, 2023 MAKAME M. MBARAWA, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi 23
Section 10Verify source

Legislative relationships

0 referenced instruments

Names are derived from the stored provision headings and citation-enrichment layer. Treat this as a research index and verify each relationship against the source text.

No structured legislative relationships were detected

The statute remains fully searchable by provision. Consult the source text for amendments and cross-references that have not yet been indexed.

Recorded versions and source checkpoint

1 version available in this collection

Current-law checkpoint
  • Undated version · currentSwahili

Source-linked research

Ask AI about this statute

The overview, provisions, and source records above are public. Continue in a separate conversation with this statute’s jurisdiction and source version attached.

About this LexChat collection

Statute information is organised from identified legislative sources for professional research. Corrections can be reported to hello@esheria.ai.