KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA NIDHAMU KWA WANAFUNZI ZA MWAKA 2025
This section gives the amendment regulations their name and says they should be read together with the 2024 student discipline regulations, which are called the “main regulations.”
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA NIDHAMU KWA WANAFUNZI ZA MWAKA 2025
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the amendment regulations their name and says they should be read together with the 2024 student discipline regulations, which are called the “main regulations.” This section amends the principal regulations by deleting and rewriting regulation 4. Sehemu hii inaeleza vitendo vinavyohesabika kuwa makosa ya kinidhamu ya mwanafunzi. This section amends rule 5 by deleting paragraph (a) and renumbering paragraphs (b) to (q) as (a) to (p); it also deletes and rewrites rule 8. A student who was present when college property was damaged or lost must report the person or student responsible to the Student Counselor or Social Welfare officer.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA NIDHAMU KWA WANAFUNZI ZA MWAKA 2025
Showing 8 of 8
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za
AI-assisted research summary: This section gives the amendment regulations their name and says they should be read together with the 2024 student discipline regulations, which are called the “main regulations.”
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Nidhamu kwa Wanafunzi za Mwaka 2024, ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”. Kufuta na kuandika upya kanuni ya 4 - 2 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta na
AI-assisted research summary: This section amends the principal regulations by deleting and rewriting regulation 4.
2. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta na kuandika upya kanuni ya 4 kama ifuatavyo: Makosa ya kinidhamu - 4 Verify source ↗
Kwa madhumuni ya Kanuni
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza vitendo vinavyohesabika kuwa makosa ya kinidhamu ya mwanafunzi.
4. Kwa madhumuni ya Kanuni hizi, makosa ya kinidhamu yatajumuisha- (a) mwenendo ambao unafanya unaweza kusababisha au uharibifu au vurugu kwa mtu au mali yoyote ndani ya Chuo, endapo kitendo hicho kimefanywa na mwanafunzi dhidi mwanafunzi mwingine au afisa, chuoni au eneo lolote lililokodishwa au linalotambuliwa rasmi na Chuo; ya (b) kitendo au mwenendo ambao au unaweza kukwamisha kufanyika kwa ya shughuli yoyote kuzuia 1 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) kitaaluma, uchaguzi Chuoni; kiutawala au (c) kumiliki mali yoyote ya Chuo bila kibali; (d) kukataa au kushindwa kutii amri halali au maelekezo yaliyotolewa na afisa yeyote wa Chuo au amri iliyotolewa na chombo chochote cha Chuo chenye mamlaka; (e) kwa makusudi na kwa kujua, kutoa taarifa ya uongo kwa afisa yeyote wa Chuo; (f) kushindwa au kukataa bila sababu ya msingi kuhudhuria kikao kilichoitishwa na afisa, au chombo chenye mamlaka; (g) kuzuia au kuingilia kwa au makusudi majukumu shauri lililoendeshwa na afisa au chombo chenye mamlaka; (h) kukataa au kushindwa kutoa sababu ya ushahidi bila msingi mbele ya Kamati ya Nidhamu ya Wanafunzi au chenye kingine chombo mamlaka; (i) kukataa au kushindwa kutekeleza hukumu, uamuzi au adhabu halali iliyotolewa na afisa yeyote wa Chuo au chombo cha Chuo chenye mamlaka; (j) kutumia lugha ya kashfa, matusi au ya kitisho dhidi ya mwanafunzi mwingine, afisa au mwanajumuiya yeyote wa Chuo; (k) kufanya kitendo chochote ambacho kinasababisha au 2 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) kusababisha kinaweza madhara ya kimwili au kisaikolojia kwa mwanafunzi mwingine, au mwanajumuiya yeyote wa Chuo; afisa (l) kupiga kelele, kusumbua au kuwahamasisha wanafunzi au watu wengine kupiga kelele au kufanya usumbufu wa aina yoyote katika eneo la Chuo au maeneo yaliyokodiwa na Chuo; (m) kuandaa, kushiriki au kuitisha mkutano, Baraza la Wanafunzi au kikao chochote bila kibali cha chuo; (n) kuchochea au kushiriki katika ghasia, mgomo au kususia masomo; (o) kupanga au kushiriki katika maandamano yasiyo halali; (p) kumwalika kiongozi wa serikali au wa kisiasa, mgeni rasmi, mshereheshaji, au mtu yeyote kutoka nje ya Chuo bila kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa mwenye mamlaka; (q) kusambaza matamko kutoka kibali ya kashfa kwa mtu mwingine; (r) uzembe au ubadhirifu wa fedha ya Wanafunzi, chama, klabu, au kikundi cha wanafunzi kinachotambulika; Serikali za (s) kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi kuingia mkataba na mtu yeyote kinyume na 3 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) ya Katiba Wanafunzi; Serikali ya (t) kukusanya fedha kwa ulaghai au kujipatia fedha kwa njia ya kwa udanganyifu mwanafunzi mwenzake au mtu mwingine; kutoka (u) kughushi, kuwasilisha au (v) kitendo kusambaza nyaraka za uongo; chochote kinachofanywa na mwanafunzi ndani au nje ya Chuo na kupelekea kuharibu taswira ya Chuo; (w) kuendesha mkutano au kampeni ya uchaguzi nje ya muda uliopangwa; (x) unyanyasaji wa kijinsia wa aina yoyote ikijumuisha- (i) (ii) (iii) (iv) (v) kushinikiza kufanya tendo la ngono au upendeleo; kuhusu kuuliza maisha binafsi ya kingono, kushawishi kupewa ngono kwa ahadi kutoa ya zawadi; kutoa maoni ya udhalilishaji kutokana na umbo la mtu, kung’ang’ania kuomba miadi; utani wa kufanya kingono, kutoa maoni ya kingono, kutumia lugha ya matusi, kutoa ishara ya kingono; kusema uongo kueneza au uvumi 4 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) (viii) (vii) sifa (vi) kwa shambulizi ujumbe la njia kuhusu maisha ya kingono ya mtu kwa ya madhumuni kuharibu za mlengwa; kugusana kimwili kwa kusudio la kingono bila ridhaa; kusambaza wa kingono yoyote; kufanya ngono ya kubaka, kundi, la aibu, shambulio kuwa uchi au kubaka kwa kundi; na (ix) matumizi ya mamlaka madaraka au mtu kumshawishi mwingine kuingia katika mahusiano ya au kingono kumuadhibu mtu kutokana na kukataa kwake. (y) (z) chochote kujifanya mtu mwingine; kitendo cha mwanafunzi chenye lengo la kuonesha ushiriki au utii kwa chama cha siasa; ambalo linavunja Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya; (aa) kosa (bb) kosa ambalo linavunja Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa; Sura ya 95 Sura ya 329 5 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) (cc) kuingilia pasipo uhalali mchakato wa uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi; au (dd) kuunda kuanzisha chama, klabu au kikundi cha wanafunzi bila kibali kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi, afisa ustawi wa jamii au chombo chenye mamlaka; (ee) kushindwa kuonesha kukabidhi au cha kitambulisho mwanafunzi inapotakiwa kufanya hivyo na afisa mwenye mamlaka; na (ff) Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii kutopitisha mawasiliano yoyote rasmi kwa ajili ya kwenda nje ya Chuo, kwa mwanafunzi yeyote au kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi. Marekebisho ya kanuni ya 5 kwa- - 3 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 5
AI-assisted research summary: This section amends rule 5 by deleting paragraph (a) and renumbering paragraphs (b) to (q) as (a) to (p); it also deletes and rewrites rule 8.
3. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 5 (a) kufuta aya ya (a); na (b) kuzibadili aya za (b) mpaka (q) kuwa aya ya (a) mpaka (p). Kufuta na kuandika upya kanuni ya 8 - 4 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta na
AI-assisted research summary: A student who was present when college property was damaged or lost must report the person or student responsible to the Student Counselor or Social Welfare officer.
4. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta na kuandika upya kanuni ya 8 kama ifuatavyo: Uharibifu au upotevu wa mali ya Chuo “8.-(1) Mwanafunzi aliyekuwepo katika eneo ambalo uharibifu au upotevu wa mali ya Chuo umetokea, atatakiwa kutoa taarifa kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa Ustawi wa Jamii kuhusu mtu au 6 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) mwanafunzi aliyeharibu au kupoteza mali hiyo. (2) mwanafunzi Endapo atashindwa kutoa taarifa za mtu au mwanafunzi aliyeharibu au kupoteza mali ya Chuo kama ilivyoainishwa katika kanuni ndogo ya (1), gharama za kukarabati au kubadili mali hiyo zitachangiwa na wanafunzi wote waliokuwepo wakati wa uharibifu au upotevu huo.” Marekebisho ya kanuni ya 23 Marekebisho ya kanuni ya 30 Marekebisho ya Jedwali - 5 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 23
AI-assisted research summary: This provision amends rule 23(3) by inserting the words “bila sababu ya msingi” between “hayupo” and “na alipewa”.
5. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 23 (3) kwa kuongeza maneno “bila sababu ya msingi” Katikati ya maneno “hayupo” na “na alipewa”. - 6 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 30
AI-assisted research summary: Kanuni ya 30(3) inarekebishwa ili kuweka maneno “bila sababu ya msingi” ndani ya muda wa “siku saba za kazi” kuhusiana na “tangu kupokea uamuzi”.
6. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 30 (3) kwa kuongeza maneno “bila sababu ya msingi” katikati ya maneno “siku saba za kazi” na “tangu kupokea uamuzi”. - 7 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta na
AI-assisted research summary: Section 7 rewrites the second schedule of student disciplinary offences and penalties.
7. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta na kuandika upya Jedwali la Pili kama ifuatavyo: 7 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) _________ “JEDWALI LA PILI ________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 33(1)) ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU ADHABU atapewa onyo kali Mwanafunzi au kusimamishwa masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja na ataagizwa kulipa fidia kwa thamani ya mali iliyoharibika. Mwanafunzi atasimamishwa masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja wa masomo. Kutoa onyo kali na kumwagiza mwanafunzi kurudisha mali hiyo ikiwa na hali nzuri. Iwapo mali iliyorudishwa haitakuwa na hali nzuri, mwanafunzi atatakiwa kutoa fidia kwa mali aliyoharibu. Kutoa onyo kali au kumsimamisha mwanafunzi masomo kwa muda usiozidi miezi sita. Kutoa kali onyo kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda au usiozidi miezi mitatu. onyo Kutoa kumsimamisha mwanafunzi masomo kwa muda usiozidi miezi sita. kali au Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa mwaka mmoja. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. KANUNI KOSA LA KINIDHAMU 4 (a) hicho kimefanywa Mwenendo ambao unafanya au una uwezekano wa kusababisha uharibifu au vurugu kwa mtu au mali yoyote ndani ya Chuo ikizingatiwa kuwa, na kitendo mwanafunzi dhidi ya mwanafunzi mwingine au afisa, Chuoni au eneo lolote au linalotambuliwa rasmi na Chuo. ambao au mwenendo kitendo unaweza kuzuia au kukwamisha kufanyika kwa shughuli yoyote ya kitaaluma, kiutawala au uchaguzi. Kumiliki mali yoyote ya Chuo bila kibali. lililokodishwa kukataa au kushindwa kutii amri halali au maelekezo yaliyotolewa na afisa yeyote wa Chuo au amri kutoka kwa chombo chochote cha Chuo chenye Mamlaka. kwa makusudi na kwa kujua, kutoa taarifa ya uongo kwa afisa yeyote wa Chuo. kushindwa au kukataa bila sababu ya msingi kikao kuhudhuria kilichoitishwa na afisa au chombo chenye mamlaka. kuzuia au kuingilia kwa makusudi majukumu au shauri lililoendeshwa na afisa au chombo chenye mamlaka. kukataa au kushindwa kutoa ushahidi bila sababu ya msingi mbele ya Kamati ya Nidhamu kwa Wanafunzi au chombo chenye mamlaka. 8 4 (b) 4 (c) 4(d) 4 (e) 4 (f) 4(g) 4 (h) Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) KANUNI KOSA LA KINIDHAMU 4 (i) 4 (j) 4 (k) 4 (l) 4 (m) 4 (n) 4 (o) 4 (p) 4 (q) 4(r) 4 (s) kukataa au kushindwa kutekeleza hukumu, uamuzi au adhabu halali iliyotolewa na afisa yeyote au chombo chenye mamlaka. lugha ya mwanafunzi kutumia kashfa, matusi au ya kitisho dhidi ya mwanafunzi mwingine, afisa au mwanajumuiya yeyote wa Chuo. au kufanya kitendo chochote ambacho kinasababisha kinaweza kusababisha madhara ya kimwili au kisaikolojia mwanafunzi kwa mwingine, afisa au mwanajumuiya yeyote wa Chuo. kupiga au kelele, kuwahamasisha wanafunzi au watu wengine kupiga kelele au kufanya usumbufu wa aina yoyote katika eneo la Chuo au maeneo yaliyokodiwa na Chuo. kuandaa, kushiriki, kuitisha mkutano, Baraza la Wanafunzi au kikao bila kibali. kusumbua ADHABU Kumsimamisha mwanafunzi masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja au kumfukuza mwanafunzi. kumsimamisha Kutoa onyo kali masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. au Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi mwaka mmoja. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua miezi mitatu. kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. kuchochea au kushiriki katika ghasia, mgomo au kususia madarasa. Kumsimamisha mwanafunzi masomo kwa muda usiozidi mwaka mmoja. kushiriki na kupanga maandamano yasiyo halali. katika kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi mwaka mmoja. mgeni kisiasa, kumwalika kiongozi wa Serikali au wa rasmi, mshereheshaji, au mtu yeyote kutoka nje ya Chuo bila kibali kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa mwenye mamlaka. kusambaza matamko ya kashfa kwa mtu mwingine. cha kikundi uzembe au ubadhirifu wa fedha za Serikali ya Wanafunzi, chama, klabu, au wanafunzi kinachotambulika. kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi kuingia mkataba na mtu yeyote kinyume na Katiba ya Serikali ya Wanafunzi. 9 kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua miezi mitatu. kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua miezi mitatu. kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa mwaka mmoja na atatakiwa kurejesha fedha zilizofanyiwa ubadhirifu. Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita na atawajibika madai deni binafsi yatakayolimbikizwa chini ya mkataba huo. kwa au 4 (u) 4 (v) 4 (w) 4 (x) 4(z) 4 (aa) 4(bb) 4 (cc) 4 (dd) 4 (ee) 4 (ff) Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) KANUNI KOSA LA KINIDHAMU 4 (t) kukusanya fedha kwa ulaghai au kujipatia ya udanganyifu kutoka kwa mwanafunzi mwenzake au mtu mwingine. fedha kwa njia ADHABU Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa mwaka mmoja na atatakiwa kurejesha fedha alizokusanya kwa ulaghai au udanganyifu. kughushi, kuwasilisha au kusambaza nyaraka za uongo. Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua miezi sita. kitendo chochote kinachofanywa na mwanafunzi ndani au nje ya Chuo na kupelekea kuharibu taswira ya Chuo. Kuendesha mkutano au kampeni ya uchaguzi nje ya muda uliopangwa. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua miezi mitatu. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. Unyanyasaji wa kijinsia wa aina yoyote 4 (y) Kujifanya mtu mwingine. kitendo chochote cha mwanafunzi chenye lengo la kuonesha ushiriki au utii kwa chama cha siasa. Kosa ambalo linavunja Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. Kosa ambalo linavunja Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua miezi sita. Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua mwaka mmoja au kumfukuza. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi sita. Kumfukuza masomo mwanafunzi. Kumfukuza masomo mwanafunzi. Kuingilia pasipo uhalali mchakato wa uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi. Kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiopungua miezi sita. kuunda au kuanzisha chama, klabu au kikundi cha wanafunzi bila kibali kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi, afisa ustawi wa jamii au chombo chenye mamlaka. kushindwa kuonesha au kukabidhi kitambulisho cha mwanafunzi inapotakiwa kufanya hivyo na afisa mwenye mamlaka. kutokupitisha kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii mawasiliano yoyote rasmi ya kwenda nje ya Chuo kwa mwanafunzi yeyote au kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. Kutoa kali kumsimamisha onyo masomo mwanafunzi kwa muda au usiozidi miezi mitatu. ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU YANAYOHUSIANA NA UVAAJI WA MAVAZI WA WANAFUNZI 10 Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) KANUNI KOSA LA NIDHAMU 5(a) hadi (p) Mwanafunzi yeyote atakayevunja Kanuni ya 5 (1) (a) hadi (p). ADHABU atazuiwa atazuiwa (a) Mwanafunzi kuingia kwenye majengo ya Chuo au majengo yoyote yaliyopangwa na Chuo; (b) Mwanafunzi kuingia kwenye Ofisi za Chuo, kumbi za mihadhara au madarasa, maktaba, maabara na mikusanyiko yote rasmi; au (c) Mwanafunzi atasimamishwa masomo kwa muda usiozidi miezi mitatu. ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU YANAYOHUSIANA NA MALAZI 6 (b) yaliyokodiwa KANUNI KOSA LA NIDHAMU Kupangisha katika chumba 6 (a) mabweni ya Chuo au malazi au mengine kutambuliwa na Chuo kwa mtu mwingine Kuishi kwenye bweni la Chuo au malazi mengine yaliyokodiwa au kutambuliwa na Chuo pasipo uhalali. Kutumia majengo ya mabweni kwa ajili ya matukio ya kijamii bila kupata kibali cha Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kuchangia chumba na mwanafunzi wa jinsi tofauti 6 (d) 6 (c) 6 (e) 6 (f) 6 (g) 6 (h) 6 (i) Kupika chakula bwenini pasipo kibali cha maandishi kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kuingilia au kuhamisha samani au vifaa vya aina yoyote kutoka bwenini bila ruhusa ya Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kutumia baraza, dirisha au ukuta kwa ajili ya kuanika nguo au ufuaji wa aina yoyote. Kuingiza bwenini jokofu, mashine ya kukausha au kifaa chochote cha kupikia pasipo kibali cha maandishi kutoka kwa Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kuondoka bila kukabidhi vifaa vya malazi kwa afisa mwenye mamlaka. 11 ADHABU Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrudishia malipo ya pango. Kulipa asilimia 30 ya malipo ya mwaka ya pango na kufukuzwa bwenini au malazi husika Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrejeshea malipo ya pango. Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrejeshea malipo ya pango. Kumwondoa mwanafunzi bwenini bila kumrejeshea malipo ya pango. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu, na atatakiwa kulipa kwa uharibifu au upotevu wowote wa kifaa au samani hiyo. Kutoa onyo kali. Kumfukuza mwanafunzi bwenini bila kumrudishia malipo ya pango. Kutoa onyo kali na kumwagiza mwanafunzi kukabidhi vifaa vya malazi. Kanuni Za Marekebisho ya Kanuni Za Nidhamu kwa Wanafunzi Tangazo la Serikali Na.149 (Linaendelea.) KANUNI KOSA LA NIDHAMU 6 (j) Kumzuia afisa wa Chuo au mtu yeyote aliyeidhinishwa kuingia chumbani kwa ajili ya ukarabati, ukaguzi au shughuli nyingine kama iliyoamuriwa. Kutumia vifaa vya muziki na vyombo vingine vinavyotoa sauti bwenini na kusababisha usumbufu kwa wakazi wengine. ADHABU Kumfukuza mwanafunzi bwenini bila kumrudishia malipo ya pango. Kutoa onyo kali au kumfukuza mwanafunzi kwenye chumba bila kumrudishia malipo ya pango. Ulevi au uvutaji wa sigara bwenini Kutoa onyo kali au kumfukuza mwanafunzi kutoka kwenye chumba bila kumrudishia malipo ya pango. Kuwakaribisha wageni wa jinsia tofauti bwenini baada ya saa nne usiku. Kutoa onyo kali au kumfukuza mwanafunzi katika chumba bila kumrudishia malipo ya pango. 6 (k) 6 (l) 6 (m) ADHABU KWA MAKOSA YA KINIDHAMU YANAYOHUSIANA NA MGAHAWA NA JIKO KANUNI KOSA LA NIDHAMU 10(1) Kuingia jikoni kwa mtoa huduma za ruhusa ya mtoa mgahawa bila huduma au Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. ADHABU Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu. 10(2) Kuchukua chombo au kitu chochote kutoka mgahawani au eneo lolote ndani au nje ya Chuo bila kibali cha mtoa huduma, Mshauri wa Wanafunzi au afisa ustawi wa jamii. Kutoa onyo kali au kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa muda usiozidi miezi mitatu, na mwanafunzi atatakiwa kurudisha vyombo au vitu hivyo vikiwa na hali nzuri au kulipa fidia kwa uharibifu wowote.” Dar es Salaam, 20 Februari, 2025 KENNEDY M. HOSEA, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA NIDHAMU KWA WANAFUNZI ZA MWAKA 2025
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in