Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2025
These regulations are called the 2025 amendment regulations for the public procurement regulations and are to be read together with the 2024 public procurement regulations.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2025
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These regulations are called the 2025 amendment regulations for the public procurement regulations and are to be read together with the 2024 public procurement regulations. This section amends Regulation 4(1) by adding wording about compliance with Tanzanian law and ratified international environmental treaties after the word “supply”. Kanuni ya 5 inarekebishwa ili kuweka kwamba, kwa madhumuni ya Kanuni Ndogo ya (6) na kwa kuzingatia Kanuni ya 167, kampuni au wakala unaoitegemea taasisi nunuzi utachukuliwa kuwa sehemu ya taasisi hiyo. This provision amends Regulation 7(6)(e) by deleting the words “zisizo za ushauri elekezi”. This provision amends section 23(8) by adding words requiring certain things to be verified or confirmed by recognized local banks or local insurance companies.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2025
Showing 22 of 22
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za
AI-assisted research summary: These regulations are called the 2025 amendment regulations for the public procurement regulations and are to be read together with the 2024 public procurement regulations.
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Ununuzi wa Umma, za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”. Marekebisho ya Kanuni ya 4 - 2 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This section amends Regulation 4(1) by adding wording about compliance with Tanzanian law and ratified international environmental treaties after the word “supply”.
2. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 4(1) kwa kuongeza maneno “kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na mikataba ya kimataifa iliyoridhiwa na Tanzania inayosimamia mazingira” mara baada ya neno “ugavi”. Marekebisho ya Kanuni ya 5 - 3 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 5
AI-assisted research summary: Kanuni ya 5 inarekebishwa ili kuweka kwamba, kwa madhumuni ya Kanuni Ndogo ya (6) na kwa kuzingatia Kanuni ya 167, kampuni au wakala unaoitegemea taasisi nunuzi utachukuliwa kuwa sehemu ya taasisi hiyo.
3. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 5- (a) kwa kuongeza mara baada ya Kanuni ndogo ya (6) Kanuni Ndogo ifuatayo: “(7) Kwa madhumuni ya Kanuni Ndogo ya (6) na kwa kuzingatia Kanuni ya 167, kampuni au wakala unaoitegemea taasisi nunuzi utachukuliwa kuwa sehemu ya taasisi nunuzi husika.”; na (b) kwa kubadili mpangilio wa Kanuni Ndogo ya (7) kuwa Kanuni Ndogo ya (8). Marekebisho ya Kanuni ya 7 - 4 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends Regulation 7(6)(e) by deleting the words “zisizo za ushauri elekezi”.
4. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 7(6)(e) kwa kufuta maneno “zisizo za ushauri elekezi”. 1 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma Marekebisho ya Kanuni ya 23 - 5 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends section 23(8) by adding words requiring certain things to be verified or confirmed by recognized local banks or local insurance companies.
5. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 23(8) kwa kuongeza maneno “ambazo zitapaswa kuthibitishwa au kuhakikiwa na benki za ndani au kampuni za bima za ndani zinazotambulika” mara baada ya neno “yoyote” lililopo mwishoni. Marekebisho ya Kanuni ya 40 40- - 6 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: Section 6 amends Regulation 41 by deleting specific words, removing subrule (6), and renumbering subrule (7) as subrule (6).
6. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya (a) kwa kufuta maneno “iliyopewa tuzo ya mkataba wa ununuzi” katika Kanuni Ndogo ya (1); (b) kwa kufuta Kanuni Ndogo ya (6); na (c) kwa kubadili mpangilio wa Kanuni Ndogo ya (7) kuwa Kanuni Ndogo ya (6). Marekebisho ya Kanuni ya 41 41- - 7 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This section amends Rule 42 and allows foreign bidders to form a joint venture with local bidders to seek preference in public procurement tenders.
7. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya (a) kwa kufuta Kanuni Ndogo ya (1) na kuiandika upya kama ifuatavyo: wa “(1) Wazabuni kigeni wanaweza, kwa lengo la kupata upendeleo katika zabuni za ununuzi wa umma, kuingia katika ubia na wazabuni wa ndani.”; (b) kwa kufuta Kanuni Ndogo ya (2); (c) katika Kanuni Ndogo ya (3), kwa kufuta rejea ya “Kanuni Ndogo ya (2)” na badala yake kuweka rejea ya “Kanuni Ndogo ya (1)”; (d) katika Kanuni Ndogo ya (6), kwa kufuta rejea ya “Kanuni Ndogo ya (5)” na badala yake kuweka rejea ya “Kanuni Ndogo ya (4)”; na (e) kwa kubadili mpangilio wa Kanuni Ndogo za (3), (4), (5) na (6) kuwa Kanuni Ndogo za (2), (3), (4) na (5) mtawalia. Marekebisho ya Kanuni ya 42 - 8 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This section amends rule 42(4) by changing the cross-reference from “subrule (1)” to “subrules (1) and (2)”.
8. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 42(4) kwa kufuta rejea ya “Kanuni Ndogo ya (1)” na badala yake kuweka rejea ya “Kanuni Ndogo za (1) na (2)”. 2 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma Marekebisho ya Kanuni ya 48 - 9 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: Section 48(7) is amended by replacing the word “fifty” with “twenty-five.”
9. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 48(7) kwa kufuta neno “hamsini” na badala yake kuweka maneno “ishirini na tano”. - 10 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends Regulation 49(1) by inserting additional words after “ability.”
10. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 49(1) kwa kuongeza maneno “katika maeneo yatakayobainishwa kwenye nyaraka ya zabuni na taasisi nunuzi” mara baada ya neno “uwezo”. Marekebisho ya Kanuni ya 49 Marekebisho ya Kanuni ya 123 Marekebisho ya Kanuni ya 134 134- - 11 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends Kanuni ya 123(3) by deleting paragraph (a) and renumbering paragraphs (b) and (c) as (a) and (b).
11. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 123(3)- (a) kwa kufuta aya (a); na (b) kwa kubadili mpangilio wa aya (b) na (c) kuwa aya (a) na (b) mtawalia. - 12 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends wording in Regulation 162, replacing specified phrases with references to Bohari ya Dawa in subsections (1), (5), and (7).
12. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya (a) katika Kanuni Ndogo ya (1), kwa kufuta maneno “afisa masuuli atapaswa” yaliyopo katika maneno ya ufunguzi na badala yake kuweka maneno “Bohari ya Dawa itapaswa”; (b) katika Kanuni Ndogo ya (5), kwa kufuta maneno “Afisa masuuli atatoa” na badala yake kuweka maneno “Bohari ya Dawa itatoa”; na (c) katika Kanuni Ndogo ya (7), kwa kufuta maneno “Taasisi nunuzi zitatumia” na badala yake kuweka maneno “Bohari ya Dawa itatumia”. Marekebisho ya Kanuni ya 162 - 13 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: Kanuni 162(1) inarekebishwa kwa kubadilisha maneno ya sehemu ya zabuni.
13. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 162(1) kwa kufuta maneno “sifa za ubora na vigezo vya kiufundi vya zabuni” na badala yake kuweka maneno “masuala ya ubora na ya kiufundi ya zabuni husika”. Marekebisho ya Kanuni ya 171 - 14 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: Kanuni ya 171(2) inarekebishwa kwa kufuta “322” na kuweka “313A”.
14. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 171(2) kwa kufuta tarakimu “322” na badala yake kuweka tarakimu “313A”. 3 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma Marekebisho ya Kanuni ya 226 Marekebisho ya Kanuni ya 230 - 15 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends Rule 226 by deleting the words “zingine zozote”.
15. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 226 kwa kufuta maneno “zingine zozote”. - 16 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This section amends regulation 230(5) by replacing the listed words with a new list that adds “Kundi C”.
16. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 230(5) kwa kufuta maneno “Kundi A au Kundi B” na badala yake kuweka maneno “Kundi A, Kundi B au Kundi C”. Marekebisho ya Kanuni ya 233 - 17 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: This section amends Regulation 233 by adding a new subrule about what happens if no agreement is reached in the extended negotiation period.
17. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 233 kwa kuongeza mara baada ya Kanuni Ndogo ya (9) Kanuni Ndogo ifuatayo: yameshindikana “(10) Endapo muafaka hautafikiwa ndani ya muda wa majadiliano ulioongezwa, majadiliano yatachukuliwa ya kuwa majadiliano itapendekeza kukataliwa kwa mzabuni, na endapo itaonekana inafaa, kupendekeza kumwalika mzabuni mshindi anayefuata kwa ajili ya majadiliano.”. timu na Kuongezwa Kanuni ya 313A - 18 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kuongeza
AI-assisted research summary: Section 18 amends the principal rules by inserting a new provision after Regulation 313.
18. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kuongeza mara baada ya Kanuni ya 313 Kanuni mpya ifuatayo: “Kamati ya ukaguzi na mapokezi - 313A Verify source ↗
(1) Afisa Masuuli
AI-assisted research summary: For each tender, the Responsible Officer must appoint an inspection and receiving committee for goods, works, or services.
313A.-(1) Afisa Masuuli atateua kwa kila zabuni kamati ya ukaguzi na mapokezi ya bidhaa, kazi ambayo za ujenzi itaundwa na wajumbe watatu mmoja kutoka katika Idara tumizi na wengine wenye utaalamu wa masuala ya ununuzi au eneo la mradi. au huduma ya (2) Katika mazingira kipekee, Afisa Masuuli anaweza kuunda kamati ya ukaguzi na mapokezi yenye wajumbe zaidi ya watatu kulingana na thamani na ugumu wa ununuzi endapo kuna sababu za msingi za ongezeko hilo na idadi witiri ya wajumbe itazingatiwa. (3) Kamati ya ukaguzi na mapokezi itapaswa- 4 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma katika (a) kukagua kupokea na bidhaa, kazi za ujenzi au eneo huduma litakaloainishwa kwenye mkataba au eneo lingine lolote baada ya kupata idhini ya taasisi nunuzi; (b) kukagua bidhaa, kazi za ujenzi au huduma kwa lengo la kubaini endapo zimewasilishwa au kukamilika kwa wakati, ziko sahihi, kamili na zenye ubora kwa mujibu wa mkataba; (c) kukataa bidhaa, kazi za ujenzi au huduma ambazo hazijakamilika au hazijakidhi masharti ya mkataba; (d) kukagua nyaraka zote muhimu; na (e) kuandaa taarifa ya ukaguzi na kuiwasilisha kwa Afisa Masuuli kwa hatua stahiki. (4) Pale ambapo mjumbe wa kamati ya ukaguzi na mapokezi amekataa kupokea bidhaa, kazi za ujenzi au huduma zilizowasilishwa ya kwa kutokukubaliana, kamati itawasilisha taarifa hiyo kwa Afisa Masuuli kwa hatua stahiki.”. kuandika maoni Kufutwa kwa Kanuni ya 322 - 19 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta
AI-assisted research summary: Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Kanuni ya 322 na kufanya marekebisho ya Kanuni ya 324.
19. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Kanuni ya 322. Marekebisho ya Kanuni ya 324 - 20 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: Muuzaji akishindwa kuondoa bidhaa kwa wakati uliowekwa, taasisi nunuzi inaweza kuongeza muda hadi siku 14. Iwapo bado bidhaa hazijaondolewa ndani ya muda huo, bidhaa zitachukuliwa na kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria za fedha za umma na kanuni zake.
20. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 324 kwa kuongeza mara baada ya Kanuni Ndogo ya (3) Kanuni Ndogo zifuatazo: 5 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma “(4) Endapo muuzaji atashindwa kuondoa bidhaa ndani ya muda ulioainishwa chini ya Kanuni Ndogo ya (3), taasisi nunuzi inaweza, iwapo itaona inafaa au kwa sababu za msingi zilizotolewa na mzabuni, kuongeza muda usiozidi siku kumi na nne. (5) Endapo mzabuni atashindwa kuondoa bidhaa ndani ya muda ulioainishwa katika Kanuni Ndogo za (3) na (4), bidhaa hizo zitachukuliwa na zitashughulikiwa kwa mujibu wa masharti ya Sheria ya Fedha za Umma na Kanuni zake.”. zimetelekezwa kuwa Sura ya 348 Marekebisho ya Kanuni ya 329 - 21 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinarekebisha Kanuni ya 329(5) kwa kuondoa maneno fulani na kubaki na “au kurekebisha dosari”.
21. Kanuni kuu zinarekebishwa katika Kanuni ya 329(5) kwa kufuta maneno “kurekebisha dosari au kukamilisha kazi za ujenzi” na badala yake kuweka maneno “au kurekebisha dosari”. Dodoma, 31 Desemba, 2024 MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU, Waziri wa Fedha 6
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2025
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in