Sheria Ndogo ya Uthibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
This section gives the by-law’s title.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Uthibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the by-law’s title. This by-law applies within the area of Kilwa District Council. This section defines key terms used in the by-law, including authorized officer, Council, building permit, building, Director, building plan, and unplanned construction. Anyone planning to build in the Council area must apply for and obtain a written building permit from the Council. Halmashauri must issue a building permit within 14 days after receiving the application.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Uthibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
Showing 26 of 26
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the by-law’s title.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Uthibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la
AI-assisted research summary: This by-law applies within the area of Kilwa District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including authorized officer, Council, building permit, building, Director, building plan, and unplanned construction.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote wa Halmashauri atakayeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa; “kibali cha ujenzi” maana yake ni kibali cha ujenzi kinachotolewa na Halmashauri kwa kuzingatia sheria na kanuni zinazosimamia ujenzi mjini; “ujenzi” inajumuisha ukarabati wa majengo; “jengo” maana yake ni nyumba, kibanda, kontena na makambi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa au afisa yeyote wa Halmashauri atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; 1 Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) Kibali na ada ya kibali cha ujenzi na matumizi mengine ya ardhi Muda wa kutoa kibali Mpango wa ujenzi Usafi wa jengo “mpango wa ujenzi” maana yake ni mpango wa ujenzi ulioandaliwa na Halmashauri unaolekeza namna ya ujenzi katika maeneo ya Halmashauri; “ujenzi holela” maana yake ni ujenzi bila kibali kutoka Halmashauri. - 4 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayekusudia kujenga katika
AI-assisted research summary: Anyone planning to build in the Council area must apply for and obtain a written building permit from the Council.
4.-(1) Mtu yeyote anayekusudia kujenga katika eneo la Halmashauri atapaswa kuomba na kupata kibali cha maandishi kutoka Halmashauri. (2) Kibali cha ujenzi kitakachotolewa kitalipiwa ada ya uhakiki wa maombi ya kibali cha ujenzi, na iwapo mmiliki wa jengo anataka kufanya mabadiliko ya jengo atatakiwa kulipa ada ya mabadiliko ya jengo na ada hizo zitalipwa kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (3) Itakuwa ni jukumu la mmiliki wa eneo linalotaka kujengwa au kufanyiwa mabadiliko kuomba kibali cha ujenzi kutoka Halmashauri
Part
Jedwali la Kwanza.
- 5 Verify source ↗
(1) Halmashauri itahakikisha inatoa kibali cha
AI-assisted research summary: Halmashauri must issue a building permit within 14 days after receiving the application.
5.-(1) Halmashauri itahakikisha inatoa kibali cha ujenzi ndani ya siku kumi na nne tangu siku ya kupokea maombi hayo. (2) Endapo Halmashauri itashindwa kushughulikia maombi ya kibali cha ujenzi ndani ya muda uliyotajwa chini ya kanuni ndogo ya (1), itachukuliwa kwamba maombi hayo yamekubaliwa. - 6 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na mpango wa ujenzi ambao
AI-assisted research summary: Mtu anayepanga kujenga lazima ahakikishe jengo lake linalingana na mpango wa ujenzi wa eneo husika.
6.-(1) Kutakuwa na mpango wa ujenzi ambao utaainisha aina ya nyumba za kujengwa katika maeneo ambayo yatakuwa yameainishwa katika mpango huo. (2) Kila mtu anayekusudia kujenga atahakikisha jengo analotaka kujenga linaendana na mpango wa ujenzi wa eneo husika. - 7 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni jukumu la mwenye nyumba
AI-assisted research summary: Mwenye nyumba lazima ahakikishe jengo, nyumba, na mazingira yake yanakuwa safi.
7.-(1) Itakuwa ni jukumu la mwenye nyumba kuhakikisha kuwa jengo au nyumba na mazingira yake yanakuwa katika hali ya usafi. (2) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kumtaka mwenye nyumba kukarabati nyumba ikiwa ni pamoja na kupakaa rangi kama nyumba hiyo imechakaa. 2 Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) Barabara Notisi ya uvunjaji Adhabu - 8 Verify source ↗
Kila mwenye nyumba atahakikisha hazuii
AI-assisted research summary: Kila mwenye nyumba lazima asizuie barabara au njia inayotumiwa na umma katika eneo lake.
8. Kila mwenye nyumba atahakikisha hazuii barabara au njia inayotumiwa na umma katika eneo lake. - 9 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakayejenga bila kibali kutoka
AI-assisted research summary: A person who builds without a Council permit must be given 30 days to demolish the building; if they do not comply, the Council may demolish it and recover the costs.
9.-(1) Mtu yeyote atakayejenga bila kibali kutoka Halmashauri atapewa notisi ya siku thelathini ya kumtaka kubomoa jengo hilo. (2) Endapo mmiliki wa jengo atashindwa kutii notisi hiyo, Halmashauri inaweza kubomoa jengo na itamdai mmiliki wa jengo gharama za utekelezaji wa notisi hiyo. - 10 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who breaches the by-law commits an offence and may be fined or imprisoned, or both.
10. Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii anatenda kosa na akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi elfu hamsini na kisichozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili au vyote. Kufifilisha kosa - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mkosaji faini ya shilingi 50,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalumu ya Jedwali la Pili.
11. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii faini ya kiasi cha shilingi elfu hamsini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyobainishwa katika Jedwali la Pili. 3 Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) ______________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1) SEHEMU YA KWANZA ADA YA UHAKIKI WA MAOMBI YA KIBALI CHA UJENZI AINA YA UENDELEZAJI N a
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Majengo ya makazi
AI-assisted research summary: This section lists categories of residential buildings: a normal building, a single-storey building, and a multi-storey building.
1. Majengo ya makazi Jengo la kawaida Jengo la ghorofa moja Jengo la zaidi ghorofa moja - 2 Verify source ↗
Majengo biashara
AI-assisted research summary: This section lists categories of business buildings: ordinary buildings, one-storey buildings, two-storey buildings, and buildings with more than two storeys.
2. Majengo biashara Jengo la kawaida Jengo la ghorofa moja Jengo la ghorofa mbili Jengo la zaidi ghorofa mbili - 3 Verify source ↗
Majengo ya viwanda/maghala
AI-assisted research summary: This provision lists industrial buildings and warehouses by category.
3. Majengo ya viwanda/maghala Jengo la kiwanda cha kawaida/ghala Jengo la kiwanda cha kati/ghala Jengo la kiwanda kikubwa/ghala - 4 Verify source ↗
Vituo vya Mafuta
AI-assisted research summary: Section 4 lists types of fuel stations: a filling station and a service station.
4. Vituo vya Mafuta Kituo cha kuuza mafuta tu (filling station) Kituo cha kuuza mafuta na kutoa huduma zingine (service station) - 5 Verify source ↗
Nyumba za kupangisha (Housing Estate)
AI-assisted research summary: This section lists housing estate building categories by type and number of storeys.
5. Nyumba za kupangisha (Housing Estate) Nyumba ya kawaida Nyumba ghorofa moja Nyumba ya ghorofa mbili Nyumba ya zaidi ya ghofa mbili - 6 Verify source ↗
Kuendeleza eneo bila kibali
AI-assisted research summary: This section lists building permit fees in Tanzanian shillings, based on area size and building type.
6. Kuendeleza eneo bila kibali 4 KIWANGO - (TSh.) 50,000/= 100,000/= 200,000/= 60,000/= 300,000/= 500,000/= 1,000,000/= 1,000,000/= 1,500,000/= 2,000,000/= 500,000/= 1,000,000/= 60,000/= 300,000/= 500,000/= 1,000,000/= 2% ya lililojengwa thamani ya jengo Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) SEHEMU YA PILI ADA YA KIBALI CHA UJENZI NA. UKUBWA WA ENEO (M2) ADA ZA VIBALI VYA UJENZI MAENEO YALIYOPIMWA NA YASIYOPIMWA MAJENG O YA BIASHA RA MAJENGO YA VIWANDA/ MAGHALA MAJENGO YA GHOROF A MAJENGO YA UMMA MAJENGO YA MAKAZI YA KAWAIDA
Part
SEHEMU YA PILI
- 51 Verify source ↗
100
AI-assisted research summary: This provision only lists several amounts and item numbers; it does not state a rule in the provided text.
51 - 100 25,000/= 50,000/= 100,000/= 75,000/= 40,000/= 50,000/= 200,000/= 125000/= 80,000/= 1 2 3 4 5 6 7 8 9 - 801 Verify source ↗
900
AI-assisted research summary: This text lists multiple monetary amounts, but it does not include the surrounding rule or explanation.
801 - 900 450,000/= 100,000/= 200,000/= 300,000/= 400,000/= 500,000/= 600,000/= 700,000/= 800,000/= 900,000/= 10,00,000 /= 300,000/= 225,000/= 120,000/= 400,000/= 325,000/= 160,000/= 500,000/= 425,000/= 200,000/= 600,000/= 525,000/= 240,000/= 700,000/= 625,000/= 280,000/= 800,000/= 725,000/= 320,000/= 900,000/= 825,000/= 360,000/= 1,000,000/ = 1,500,000/ = 925,000/= 400,000/= 1,025,000 /= 500,000/= 12 13 - 900 Verify source ↗
Ongezeko
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts or increases for construction-permit-related items, including amounts tied to floor area and fencing.
900- Ongezeko kwa kila mita za mraba 100 Uzio kila Mzunguko wa mita moja 50,000/= 100,000/= 125,000/= 40,000/= 500/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 750/= SEHEMU YA TATU ADA YA VIBALI VYA UJENZI KWA HUDUMA NYINGINE VITUO VYA MAFUTA MAKAZI
Part
SEHEMU YA TATU
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ada za aina mbalimbali za ujenzi na matumizi ya majengo.
2. Kituo cha kuuza mafuta tu (filling station) Kituo cha kuuza mafuta na kutoa MAJENGO YA UMMA MAJENGO YA VIWANDA/ MAGHALA MAJENG O YA BIASHA RA 1000/= kwa mita za mraba 400/= kwa mita za mraba 2000/= kwa mita za mraba 5 500/= kwa mita za mraba Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) huduma zingine (service station) Eneo la maegesho ya magari Eneo la kupunzika /burudani kwa mita ya mraba ya eneo lililoainishwa Kiwanja cha michezo kwa mita ya mraba ya eneo la nje Minara ya mawasiliano – kila mnara Mabwawa ya kuogelea (swimming pools) Mabwawa ya kufuga samaki kwa mita za mraba ya Matanki /Gesi mafuta (kwa mita za ujazo ) 0-1000 m3 1001- 2500 m3 25001-4000 m3 4001-6000 m3 ya ya Ongezeko la kila mita za ujazo 500 Minara matenki maji Matenki ya maji kwa kila mita 1000 za ujazo Ukarabati mdogo (Renovation) 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 1000/= kwa mita za mraba 1000/= kwa mita za mraba 300/= kwa mita za mraba 5,000/= kwa mita za mraba 200/= kwa mita za mraba 500,000/= 2,500/= kwa mita za mraba 2,000/= kwa mita za mraba 1000/= kwa mita za mraba 1,000,000 /= 3,000/= kwa mita za mraba 2,500/= kwa mita za mraba 3,000/= kwa mita za mraba 2,500,000 /= 4,000,000 /= 5,500,000 /= 7,000,000 /= 350,000/= 5,000/= kwa mita ya mraba 2,000/= 8,000/= kwa mita ya mraba 3,000/= 4,000/= kwa mita ya mraba 1,500/= 50,000/= 100,000/= 40,000/= 6 Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) 26 Ukarabati mkubwa 50% ya ada zilizoorodhe shwa katika jedwali hili 75% ya ada zilizoorod heshwa katika jedwali hili 50% ya ada zilizoorodh eshwa katika jedwali hili Nakala ya kibali cha ujenzi iwe inabaki katika eneo la ujenzi kwa ajili ya ukaguzi wa mara kwa mara Nyumba za kupangisha (Housing Estate) Nyumba ya kawaida Nyumba ghorofa moja Nyumba ya ghorofa mbili Nyumba ya zaidi ya ghofa mbili 60,000/= 300,000/= 500,000/= 1,000,000/= SEHEMU YA NNE ADA YA UPIMAJI, UCHORAJI NA KUBADILI MATUMIZI YA ARDHI
Part
SEHEMU YA NNE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Land/plot measuring fee is Tsh 2,000 per square meter.
1. Tozo za upimaji Ardhi/Viwanja kwa mita ya mraba Tsh. 2,000/= - 2 Verify source ↗
Ada ya kuandaliwa mchoro wa Mipangomiji kulingana na ukubwa wa Ardhi
AI-assisted research summary: A fee for preparing a town planning drawing is based on land size.
2. Ada ya kuandaliwa mchoro wa Mipangomiji kulingana na ukubwa wa Ardhi: - Na Mita ya mraba Kiasi 1 2 3 4 - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists monetary amount bands: 0–2,000; 2,000–4,047; 4,047–20,235; and 20,235 and above.
9. 0 -2,000 2,000 - 4,047 4,047 - 20,235 20,235 - na kuendelea - 801 Verify source ↗
950
AI-assisted research summary: This excerpt mainly shows a title and a series of amounts; it does not state a clear rule in the text shown.
801 – 950 350,000/= 400,000/= 450,000/= 500,000/= 700,000/= 700,000/= 800,000/= 900,000/= 1,000,000/= 1,500,000/= 7 100,000/= 200,000/= 250,000/= 300,000/= 280,000/= 320,000/= 360,000/= 400,000/= 500,000/= Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This section contains a form for admitting an offence and agreeing to pay a compound fine before the Director of Kilwa District Council.
12. 13 Ongezeko mita za mraba 95 kila 50,000/= 100,000/= 40,000/= 500/= 50,000/= Uzio kwa mita Ukarabati mdogo (renovation) Ukarabati mkubwa 50% ya ada zilizoorodhes hwa katika jedwali hili 1,000/= 100,000/= 500/= 40,000/= 75% ada ya zilizoorodheshwa katika jedwali hili 50% ya ada zilizo orodheshwa katika hili jedwali 8 Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) ____________ JEDWALI LA PILI _______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 11) FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, kwamba mnamo tarehe …… ya Mwezi ………. Mwaka ……….…… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Kifungu cha …… cha Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, niko tayari kulipa faini ya kufifilisha kosa ya kiasi cha shilingi .......................... NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Saini……………………… Jina……………………………….. MBELE YANGU: Jina:……………………………………..…………….. Saini………………………….………………………… Wadhifa: ………………………………………………... Tarehe…………………………………………………... 9 Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tangazo la serikali na. 1103(linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa imegongwa kwenye Sheria ndgo hizo kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano mkuu wa baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya kilwauliofanyika tartehe 9/11/2023 na kushuhudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- HANAN M. BAFAGHI, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya wilaya, Kilwa MHE. ISSA B. MATEKA, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Kilwa L.S NAKUBALI, Dodoma, 29 Oktoba, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Uthibiti wa Ujenzi Holela ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in