Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka, 2024
This section gives the short title of the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka, 2024
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law. This bylaw applies within the area of Kilwa District Council. This section defines key terms used in the by-law, including fees, the Director, cultural activities, levy, online transport services, and an agent. Halmashauri lazima kutoza ada au ushuru kwa baadhi ya leseni, ikiwemo za biashara, huduma, vibali, na zile zilizoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Halmashauri lazima itoze ada na ushuru kwa huduma zilizoorodheshwa katika kifungu hiki.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka, 2024
Showing 39 of 39
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka, 2024. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la
AI-assisted research summary: This bylaw applies within the area of Kilwa District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law, including fees, the Director, cultural activities, levy, online transport services, and an agent.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo: “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa au afisa yeyote wa Halmashauri atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “shughuli za utamaduni” maana yake ni sanaa za maonyesho, sanaa za ufundi, muziki wa asili, michezo, muziki wa dansi, video, muziki wa taarabu, maonyesho ya sinema, mazingira, mazingaombwe, tiba za jadi na matumizi ya viwanja vya michezo; “ushuru” maana yake ni malipo yatakayolipwa kwa mujibu wa viwango vilivyowekwa na Sheria Ndogo hii kutokana na huduma au bidhaaa 1 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) itakayouzwa, kununuliwa au kuingizwa na mtu yeyote ndani ya Halmashauri; “usafiri kwa njia ya mtandao” maana yake ni huduma za usafirishaji zinazotolewa na vyombo vya usafiri kupitia mawasiliano ya mitandao ndani ya Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu binafsi, Taasisi, Kampuni au Asasi yoyote iliyoteuliwa kukusanya mapato kwa niaba ya Halmashauri. Ushuru wa Huduma Huduma zitakazotozwa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
Halmashauri itatoza ada au ushuru katika
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima kutoza ada au ushuru kwa baadhi ya leseni, ikiwemo za biashara, huduma, vibali, na zile zilizoainishwa katika Jedwali la Kwanza.
4. Halmashauri itatoza ada au ushuru katika leseni mbalimbali kama biashara, huduma, vibali, au zinazotolewa zilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Halmashauri ndani ya - 5 Verify source ↗
Halmashauri itatoza ada na ushuru katika
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoze ada na ushuru kwa huduma zilizoorodheshwa katika kifungu hiki.
5. Halmashauri itatoza ada na ushuru katika huduma zifuatazo: (a) (b) (c) (d) (e) (f) (g) (h) (i) (j) (k) (l) kuvumisha matangazo ukodishaji wa mali za Halmashauri; ushuru wa (promotion); ushuru wa ukaguzi wa mifugo; ushuru wa vyoo vya umma; ushuru wa viwanda vya matofali; ushuru wa mazao ya bahari yanayouzwa katika mnada; ushuru wa kusafirisha samaki na mazao mengine ya bahari; ada ya maombi ya kujenga vituo vya kuoshea magari; ada ya ukaguzi wa afya kwa majengo mapya ya biashara; ada ya maombi ya zabuni mbalimbali za Halmashauri; ada ya kuweka majenereta; ada ya upimaji wa ubora wa maji ya visima, usajili wa jumuiya za watumia maji, ukaguzi, usimamizi na ufuatiliaji wa jumuiya za watumia maji na maombi ya kibali cha kutoa huduma ya maji; 2 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) (m) ada ya kuweka kontena la biashara kwenye (n) (o) (p) (q) (r) (s) (t) eneo la Halmashauri; ada ya usajili na ushuru wa kuegesha vyombo vya uvuvi; ada ya matumizi ya fukwe za bahari; ushuru wa mgahawa wazi; ada ya kibali cha kituo cha kulaza magari kwenye maeneo binafsi; ada Halmashauri; ada ya kibali cha kuendesha shughuli za gereji katika maeneo binafsi; ada ya kibali cha kufanya shughuli nyinginezo katika maeneo ya Halmashauri. kupatiwa muhtasari wa ya Namna ya kukusanya Ada na Ushuru Ukamataji wa mali au mtu aliyekwepa kulipa ushuru. - 6 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri itaweka utaratibu wa kukusanya ada na ushuru na kutoa stakabadhi za malipo.
6.-(1) Halmashauri itaweka utaratibu kama itakavyoona inafaa ikiwa ni pamoja na kutenga maeneo maalum ya kutoza ada na ushuru kutoka katika huduma mbalimbali zitakazoamriwa kutozwa ada au ushuru kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 5. (2) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala na kutolewa stakabadhi halali ya kielektroniki kama uthibitisho wa malipo yaliofanyika. (3) Endapo stakabadhi ya kieletroniki haiwezi kutolewa, Halmashauri au Wakala kwa idhini ya Mkurugenzi, itatoa kwa mlipaji stakabadhi halali ya kawaida kama uthibitisho wa malipo yaliyofanyika. (4) Ada au ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kabla ya kupata huduma, leseni au kibali husika au baada ya kuuzwa au kununuliwa kwa bidhaa husika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri au Wakala atakuwa na
AI-assisted research summary: The Council or its agent may seize goods or property when fees or levies are not paid on time, and the Council may sell seized items after court approval if payment still is not made within the stated period.
7.-(1) Halmashauri au Wakala atakuwa na mamlaka ya kukamata bidhaa au mali ya mtu yeyote endapo ameshindwa kulipa ada au ushuru ndani ya muda aliotakiwa kulipa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Endapo bidhaa au mali iliyokamatwa na Halmashauri au wakala haitalipiwa ada au ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa 3 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) zisizoharibika haraka, na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo baada ya kupata idhini ya mahakama kuuza bidhaa au mali hiyo na kukata fedha inayodai na kiasi kinachobakia atarudishiwa mmiliki. (3) Wakala hataruhusiwa kuuza au kufanya jambo lolote kwa mali au bidhaa iliyokamatwa bila kupata idhini ya Mkurugenzi. (4) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya Sheria Ndogo hii isipokuwa tu kama ikithibitika kuwa uharibifu huo umesababishwa na Halmashauri au Wakala wake. (5) Halmashauri itatenga maeneo maalumu kwa ajili na kuweka mageti au vizuzi vya aina mbalimbali kwa lengo la kufanya ukaguzi wa ulipaji wa ushuru na ada kwenye huduma zitakazotakiwa kutozwa ada na ushuru. Wajibu wa kusimama katika geti au kizuizi - 8 Verify source ↗
Itakuwa ni wajibu kwa mtu yeyote anayetumia
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayesafirisha bidhaa kwa chombo cha usafiri lazima asimame katika geti au kizuizi kilichowekwa na Halmashauri kwa ajili ya ukaguzi.
8. Itakuwa ni wajibu kwa mtu yeyote anayetumia chombo cha usafiri kwa ajili ya kusafirisha bidhaa yoyote kusimama katika geti au kizuizi kilichowekwa na Halmashauri kwa ajili ya ukaguzi. Wajibu wa kulipa ada au ushuru Kibali au leseni - 9 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: People required to pay a fee or tax must pay the amount set by the bylaw, give accurate information to the Council or Agency, and keep payment records.
9.-(1) Itakuwa ni wajibu kwa kila mtu anayetakiwa kulipa ada au ushuru, kulipa kiwango kama kilivyoainishwa kwenye Sheria Ndogo hii (2) Ni wajibu kwa kila mtu kutoa taarifa sahihi kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma, bidhaa au mali zinazotakiwa kulipiwa ada au ushuru (3) Itakuwa ni wajibu kwa kila mtu atakayelipa ada au ushuru kutunza kumbukumbu za malipo. - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoa kibali au leseni kwa
AI-assisted research summary: The council must issue a permit or license to anyone who applies under these by-laws, and traders needing a permit or license must apply to and obtain it from the council.
10.-(1) Halmashauri itatoa kibali au leseni kwa mtu yeyote atakayewasilisha maombi ya kibali au leseni kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Itakuwa ni wajibu kwa kila mfanyabiashara anayetaka kufanya jambo lolote linalohitaji kibali au leseni kuomba na kupata leseni au kibali kutoka Halmashauri. 4 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) Usimamizi wa Sheria Ndogo hii Uteuzi wa Wakala Wajibu wa Wakala (3) Leseni yoyote itakayotolewa chini ya Sheria Ndogo hii itadumu kwa muda wa mwaka mmoja tangu tarehe ya kutolewa kwake. (4) Itakuwa ni wajibu kwa wamiliki wa magari yafanyayo biashara ya usafirishaji kwa njia ya mtandao kuhakikisha wanakuwa na vibali vinavyowaruhusu kufanya biashara hiyo kwenye eneo la Halmashauri. - 11 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kusimamisha biashara au shughuli zinazoendeshwa bila leseni au kibali chake, na inaweza pia kukamata mali au bidhaa za mtu aliyeshindwa kulipa ushuru. Iwapo ushuru hautalipwa ndani ya saba, bidhaa zilizokamatwa zinaweza kuuzwa kwa mnada baada ya idhini ya mahakama na taarifa kwa mmiliki na umma.
11.-(1) Halmashauri inaweza kusimamisha uendeshaji wa biashara au shughuli yoyote ambayo itafanyika bila laseni au kibali kilichotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ya 9(1), Halmashauri au Wakala wake wanaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya sheria Ndogo hii. (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kanuni ya 9(2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya saba, Halmashauri itauza kwa mnada bidhaa hizo baada ya kupata idhini ya mahakama na kutoa taarifa kwa mmiliki na umma kuhusu kusudio hilo. siku - 12 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kumteua Wakala kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua Wakala wa kukusanya ushuru, na Wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na kuwasilisha makusanyo kwa masharti yaliyowekwa.
12. Halmashauri inaweza kumteua Wakala kwa ajili ya kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. 13 Wakala aliyeteuliwa chini ya Sheria Ndogo hii atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa kiwango kilichoidhinishwa chini ya Sheria Ndogo hii. (b) kukusanya ada au ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. 5 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) Makosa kwa Wakala - 14 Verify source ↗
Itakuwa ni kosa kwa Wakala endapo
AI-assisted research summary: Wakala must not collect fees or taxes without Council approval, at a different approved rate, fail to remit the agreed amount, or fail to issue a valid receipt.
14. Itakuwa ni kosa kwa Wakala endapo- (a) atajaribu au atakusanya ada au ushuru bila idhini ya Halmashauri; (b) atajaribu au atakusanya ada au ushuru kwa kiwango tofauti kilichoidhinishwa kwenye Sheria Ndogo hii; (c) atashindwa kuwasilisha au atawasilisha kiwango pungufu cha ada au ushuru kilichokubaliwa katika kukusanya ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; au (d) atashindwa kutoa stakabadhi halali ya malipo kwa ada au ushuru uliokusanywa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Uwezo wa Afisa Mwidhiniwa - 15 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo au jengo lolote ndani ya muda wa kazi kwa ajili ya kukusanya taarifa, kufanya tathmini, au kutekeleza jambo linalohusiana na ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hii.
15. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii; Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo lolote au jengo lolote ndani ya muda wa kazi kwa nia ya kukusanya au kufanya tathimini au kufanya jambo lolote linalohusiana na ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Makosa - 16 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anatenda kosa chini ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone commits an offence if they evade or refuse to pay fees or taxes, encourage others to do so, obstruct an authorised officer, use forged documents, give false information, or fail to keep accurate payment records.
16.-(1) Mtu yeyote anatenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii endapo: (a) atashindwa, atadharau, atakwepa au atakataa kulipa ada au ushuru au atashindwa alilopewa na kutekeleza Halmashauri kwa mujibu wa sheria Ndogo hii; lolote agizo (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukataa au kukwepa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia kwa namna yoyote ile Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) atashindwa kutoa taarifa sahihi au atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma, bidhaa au mali zinazotakiwa kulipiwa ada au ushuru; au 6 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) Adhabu Kufifilisha Kosa (f) atashindwa kutunza kumbukumbu sahihi za malipo ya ada au ushuru. - 17 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa
AI-assisted research summary: Anyone found guilty of an offence under this subordinate law is liable to a fine, imprisonment, or both.
17. Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa kutenda kosa chini ya Shrria Ndogo hii atawajibika kulipa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi kifungo shilingi milioni moja kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote. au - 18 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtenda kosa shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa, ajaze fomu maalum ya Jedwali la Pili, na alipe ada au ushuru anaodaiwa.
18. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa TS Na. 22 la 2016 - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: Sheria ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2016 inafutwa.
19. Sheria ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2016 inafutwa. 7 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) _________________ JEDWALI LA KWANZA __________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4) SEHEMU YA KWANZA UKODISHAJI WA MALI ZA HALMASHAURI Na.
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha aina za tozo za Halmashauri na kiasi chake, ikiwemo baadhi ya viwango vinavyotegemea mkataba na vingine vya Tsh 200,000 kwa siku na Tsh 300,000 kwa siku.
3. 4 5 Aina ya tozo Nyumba za Halmashauri Magari ya Halmashauri Ukumbi wa Halmashauri Viwanja vya wazi vya Halmashauri Mitambo na Vifaa kiasi cha tozo Kwa mujibu wa mkataba Kwa mujibu wa mkataba Tsh. 200,000/= kwa siku 300,000/= kwa siku Kwa mujibu wa mkataba SEHEMU YA PILI USHURU WA MATANGAZO (PROMOTION) Na. Aina ya Chanzo
Part
SEHEMU YA PILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists daily advertising/promotion tax amounts for individuals and companies: Tsh 2,000 and Tsh 5,000.
2. Biashara za Matangazo (promotion) kwa siku (binafsi) Biashara za Matangazo (promotion) kwa siku (makampuni) Kiasi cha Ushuru Tsh 2,000 Tsh 5,000 SEHEMU YA TATU UKAGUZI WA MIFUGO A. Ada za Ukaguzi wa Mifugo Aina ya Mnyama Machinjio ya Kawaida Na. Machinjio ya Kisasa
Part
SEHEMU YA TATU
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision lists fees and license charges for different animals and related licensing activities.
4. Ng’ombe Mbuzi/Kondoo Nguruwe Kuku ya Kabla Kuchinjwa Tsh 2,000/= ya Baada Kuchinjwa Tsh 2,000/= Kabla Kuchinjwa Tsh 10,000/= ya Baada ya Kuchinjwa Tsh 10,000/= 1,000/= 5,000/= 500/= 1,000/= 5000/= 500/= 5,000/= 5,000/= 1,000/= 5,000/= 5,000= 1,000/= B. Ada za leseni za Eneo, Uchunaji wa ngozi na Upangaji wa madaraja Na. Ada za leseni za Eneo - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada za maombi na leseni mbalimbali, zikiwemo ada za Tsh 5,000, Tsh 10,000, Tsh 20,000, na Tsh 100,000 kwa vipindi au maombi tofauti.
6. Ada ya maombi ya leseni ya uchunaji Ada ya leseni ya upangaji madaraja Ada ya maombi ya leseni ya kupanga madaraja Ada ya Leseni ya banda la kukaushia ngozi Ada ya fomu ya maombi ya leseni ya banda la kukaushia ngozi 8 Kiwango Tshs 10,000/= kwa miaka mitatu Tsh. 5000 kwa kila ombi Tsh.10,000 kwa muda wa miaka mitatu Tsh.5000 kwa kila ombi Tshs 100,000/= kwa mwaka Tsh.20,000 kwa ombi Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: The section lists annual fees for several leather-related activities and a storage warehouse licence for more than 500 hides.
10. Ada ya Stika ya gari la kubebea ngozi kwa mwaka Ukaguzi wa afya kwa mwaka Tsh.15,000/= ombi Tsh.40,000/= kwa Usajili wa vikundi vinavyojishughulisha na zao la ngozi kwa mwaka Leseni ghala la kuhifadhia ngozi zaidi ya 500 kwa mwaka Tsh. 100,000/= Tsh.100,000/= - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: A licence fee of Tsh 50,000 per year applies to a leather storage warehouse for the 100–500 range.
11. Leseni ghala la kuhifadhia ngozi 100 - 500 kwa mwaka Tsh.50,000/= - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: A licence fee of Tsh 10,000 per year applies to a skin-storage warehouse under 100.
12. Leseni ghala la kuhifadhia ngozi chini ya 100 kwa mwaka Tsh.10,000/= - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: This section lists various fees and charges for hides, meat transport, slaughterhouse services, veterinary services, and related permits.
14. a. Kuuza ngozi mbichi Machinjio (Wakusanyaji) kwa kipande Tsh.100/= b. Kuuza ngozi zenye chumvi (wasindikaji) kwa kipande a. Kibali cha kusafirisha ngozi zilizosindikwa zaidi ya tani 5 kwa safari Tsh.200/= Tsh 150,000/= b. Kibali cha kusafirisha ngozi zilizosindikwa, tani 1 hadi tani 5 kwa safari Tsh 100,000/= c. Kibali cha kusafirisha ngozi zilizosindikwa chini ya tani 1 kwa safari Tsh 25,000/= C. Ada Nyinginezo za Huduma ya Mifugo Na. Aina ya Chanzo Kiasi Tsh. 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ada ya kutunza Ng’ombe mmoja machinjioni kwa siku Ada ya kutunza Mbuzi/Kondoo mmoja machinjioni kwa siku Ada ya kusafirisha nyama kwa gari chini ya tani moja kwa safari Ada ya kusafirisha nyama kwa gari ya tani 1 hadi 5 kwa safari Ada ya kusafirisha nyama kwa gari ya zaidi ya tani 5 kwa safari Ada ya huduma ya ndani Kliniki ya mifugo Ada ya huduma ya nje ya Kliniki ya mifugo Ada ya uhamilishaji kwa ng’ombe mmoja Ada ya chanjo za mifugo 10 11 12 13 14 Ada ya machinjio kwa ng’ombe Ada ya machinjio kwa mbuzi/kondoo Ada ya kuchinja ng’ombe Ada ya kuchinja mbuzi/kondoo Kibebeo cha nyama ya ng’ombe kwa safari 9 30,000/= 10,000/= 5,000/= 5,000/= 10,000/= 5,000/= 10,000/= 5,000/= Kulingana na bei ya soko miongozo na itakayotolewa na Serikali. 2000/= 500/= 15,000/= 2000/= 1000/= Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) 15 16 17 18 19 20 21 Kibebeo cha nyama ya mbuzi/kondoo Ada ya soko/mnada wa wanyama wakubwa kwa mnyama Ada ya soko/mnada wa wanyama wadogo kwa mnyama Ada ya kukagua mifugo inayosafirishwa Ada ya kuchinja nguruwe mmoja Ada ya machinjio ya nguruwe kwa nguruwe mmoja Ada ya machinjio ya kuku kwa kuku mmoja 1000/= 5000/= 2000/= 10,000/= 2,000/= 2,000/= 100/= SEHEMU YA NNE USHURU WA VYOO VYA UMMA Na. Aina ya chanzo
Part
SEHEMU YA NNE
- 3 Verify source ↗
Maeneo mengine
AI-assisted research summary: The provision lists fees for certain services and a monthly levy of Tshs 10,000 for brick industries in non-council-owned areas.
3. Maeneo mengine Aina ya Huduma Kuoga Haja ndogo Haja kubwa Kuoga Haja ndogo Haja kubwa Kuoga Haja ndogo Haja kubwa Kiasi Tshs: 500 200 200 500 200 200 500 200 200 SEHEMU YA TANO USHURU WA VIWANDA VYA MATOFALI USHURU WA VIWANDA VYA MATOFALI Katika Maeneo yanayomilikiwa na Halmashauri –kwa mujibu wa mkataba Katika maeneo yasiyomilikiwa na Halmashauri- Tshs 10,000/= kwa Mwezi USHURU WA MAZAO YA BAHARI YANAYOUZWA KATIKA MNADA SEHEMU YA SITA Na.
Part
SEHEMU YA SITA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: A 3% charge is indicated on the sales price for fish export tax and other marine products.
1. Asilimia tatu (3%) ya bei ya mauzo SEHEMU YA SABA USHURU WA KUSAFIRISHA SAMAKI NA MAZAO MENGINE YA BAHARI Aina ya Zao Na.
Part
SEHEMU YA SABA
- 11 Verify source ↗
Mwani Mwembaba (Spinosum)
AI-assisted research summary: This section lists ushuru (a levy/tax) for Mwani Mwembaba (Spinosum) and several shilling amounts.
11. Mwani Mwembaba (Spinosum) 10 Ushuru kwa kila kila moja shilingi 100/= 100/= 150/= 300/= 250/= 1500/= 750/= 30/= 15/= Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) - 13 Verify source ↗
Simbi
AI-assisted research summary: The text mentions an application fee for building car wash stations, with amounts shown as 100/= and 15/=.
13. Simbi 100/= 15/= ADA YA MAOMBI YA KUJENGA VITUO VYA KUOSHEA MAGARI SEHEMU YA NANE Na.
Part
SEHEMU YA NANE
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts for health inspection of new business buildings and fumigation permits in Kilwa District, with different rates for central, peripheral, and other areas.
3. Eneo Maeneo ya katikati ya Wilaya ya Kilwa Nje ya maeneo ya katikati ya Wilaya ya Kilwa Maeneo mengine Kiasi Tsh 50,000/= kwa mwaka Tsh 30,000/= kwa mwaka Tsh 10,000/=kwa mwaka ADA YA UKAGUZI WA AFYA KWA MAJENGO MAPYA YA BIASHARA SEHEMU YA TISA Na. 1 Aina ya chanzo Ada ya kibali cha kuangamiza wadudu (fumigation) Katikati ya Wilaya ya Kilwa Pembezoni mwa Wilaya ya Kilwa Kiasi Tsh. Tsh.20,000/= kwa kila Kibali Tsh. 10,000/= kwa Kila Kibali SEHEMU YA KUMI ADA YA KIBALI CHA KUFANYA SHUGHULI NYINGINEZO KATIKA MAENEO YA HALMASHAURI Na. Huduma
Part
SEHEMU YA KUMI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: A schedule lists fees for display advertisements, including amounts for institutions and for individuals in roadside and other areas.
1. Kuweka matangazo ya picha (Display) Mhusika Taasisi Kiasi (Tsh) 300,000 Kipindi Mwaka Watu binafsi Barabarani na maeneo mbalimbali 200,000 Tsh,50,000/= Kwa mwaka Kwa siku - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hutaja kufunga mtaa kwa ajili ya shughuli mbalimbali, lakini inaonyesha pia baadhi ya isipokuwa.
2. Kufunga mtaa kwa ajili ya Shughuli mbalimbali isipokuwa shughuli za misiba, mikusanyiko ya kidini, michezo ya watoto isiyotozwa na mikusanyiko ya kisiasa SEHEMU YA KUMI NA MOJA ADA ZA MAOMBI YA ZABUNI MBALIMBALI ZA HALMASHAURI Na. MAOMBI YA ZABUNI MBALIMBALI
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada au kiasi cha Tsh kwa shughuli mbalimbali kama barabara, taka ngumu, vyoo, maduka/vioski, mali za Halmashauri, na ukaguzi wa viwanja.
9. Ukusanyaji wa mapato Ujenzi wa barabara Ukusanyaji na uondoshaji wa taka ngumu (CBD) Ukusanyaji na uondoshaji wa taka ngumu(pembezoni) Kupakua mashimo ya maji taka (vyoo) Kukarabati na kujenga maduka, Vioski na vizimba vya umma Kurekebisha mali za Halmashauri (magari na majengo) Ukaguzi na upimaji wa viwanja. Uendeshaji vyoo vya umma Kiasi (Tsh) 100,000/= 100,000/= 100,000/= 50,000/= 50,000/= 100,000/= 100,000/= 100,000/= 100,000/= 11 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: Section 18 lists application fees for several construction-related activities and an annual fee for installing and using a generator.
18. Uendeshaji wa vioski vya Halmashauri Huduma ya ushauri elekezi (Consultancy services) Kukarabati na kujenga vibanda / Vizimba Ujenzi wa Majengo mbalimbali Huduma zisizohitaji ushauri wa kitaalamu (non-consultancy services) Ada ya maombi ya kazi ya ujenzi mtu binafsi (Local Fundi) kwa kutumiwa Force Account Ada ya Maombi ya Ujenzi kampuni Binafsi (ujenzi kutumia Force Account) Ada ya Maombi ya Ujenzi (Taasisi za umma) Ada za maombi ya zabuni katika Maeneo mengine ambayo hayajatajwa 100,000/= 100,000/= 50,000/= 100,000/= 100,000/= 50,000/= 100,000/= 300,000/= 100,000/= SEHEMU YA KUMI NA MBILI ADA YA KUWEKA MAJENERETA Na. 1 Aina ya chanzo Kuweka na Kutumia jenereta Kiasi cha shilingi 100,000/= kwa mwaka SEHEMU YA KUMI NA TATU ADA YA UPIMAJI WA UBORA WA MAJI YA VISIMA, USAJILI WA JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI, UKAGUZI, USIMAMIZI NA UFUATILIAJI WA JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI NA MAOMBI YA KIBALI CHA KUTOA HUDUMA YA MAJI Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision lists water-related activities and annual amounts in Tanzanian shillings.
3. Aina ya Chanzo Upimaji wa Ubora wa Maji (Water Quality Analysis) Usajili wa Jumuiya za Watumia Maji Ukaguzi, Usimamizi na Ufuatiliaji wa Jumuiya za Watumia Maji Kiasi cha shilingi 150,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka - 4 Verify source ↗
Maombi ya Kibali cha kutoa huduma ya maji
AI-assisted research summary: The text indicates a fee of 50,000/= per year for an application for a water service permit.
4. Maombi ya Kibali cha kutoa huduma ya maji 50,000/= kwa mwaka SEHEMU YA KUMI NA NNE ADA YA KIBALI CHA KUINGIZA KONTENA KWENYE ENEO LA HALMASHAURI Na. 1 2 3 4 Ukubwa Wa Kontena Kiasi Kwa Kila Safari Tani 3 hadi 10 Tani 11 hadi 20 Tani 21 hadi 30 Tani 30 na Kuendelea 50,000/= 100,000/= 150,000/= 300,000/= ADA YA USAJILI NA USHURU WA KUEGESHA VYOMBO VYA UVUVI SEHEMU YA KUMI NA TANO Na.
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists fees and amounts for mooring marine transport vessels and registering fishing vessels.
1. 2 Ushuru wa kuegesha vyombo vya usafiri majini Ushuru wa kuegesha vyombo vya usafiri majini Ushuru wa kuegesha vyombo vya kigeni 3 Ada ya usajili wa vyombo vya uvuvi Kiasi kwa mwezi Tsh 30,000/= Asilimia 50% ya bei ya usajili wa chombo. Tsh 20,000/= 12 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) SEHEMU YA KUMI NA SITA ADA ZA MATUMIZI YA FUKWE ZA BAHARI Na
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The section lists local government fees for beach use, open-air restaurants, private parking permits, council summaries, and private garage operations, and includes a form for admitting an offence and agreeing to pay owed charges plus a penalty.
1. Fukwe za bahari ADA ZA MATUMIZI YA FUKWE ZA BAHARI Tshs 100,000/= kwa mwezi SEHEMU YA KUMI NA SABA Ushuru wa Mgahawa Wazi (Open Air restaurant) Na. Aina ya chanzo Mgahawa wazi (Open air Restaurant) Kiwango 5,000/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA NANE Ada ya kibali cha kituo cha kulaza magari kwenye maeneo binafsi Na. Aina ya Chanzo Kibali cha kituo cha kulaza Magari katika Maeneo Binafsi Kiwango Kwa Mwaka 200,000/= SEHEMU YA KUMI NA TISA ADA YA KUPATIWA MIHUTASARI YA HALMASHAURI Na. 1 Aina ya Chanzo Maombi ya Kupatiwa Muhtasari wa Halmashauri Tshs 5,000/= kwa kila Muhtasari SEHEMU YA ISHIRINI Ada ya Kibali cha kuendesha shughuli za gereji katika maeneo Binafsi Na. 1 Aina ya Chanzo Ada ya gereji katika maeneo binafsi Tshs 120,000/= kwa Mwaka 13 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) ______________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 18) FOMU YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ………………………………………………………………………………nnakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Kilwa, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kanuni ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, niko tayari kulipa ada au ushuru ninaodaiwa kwa kiasi cha shilingi ....................... pamoja na faini ya kufifilisha kosa ya kiasi cha shilingi ........................... NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. Mwezi………….Mwaka ...................................... Jina…………............................... Saini…........................................ MBELE YANGU : Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..…… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………… 14 Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Kilwa Tangazo la serikali Na. 1105(linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa imegongwa kwenye Sheria ndgo hizo kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano mkuu wa baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya kilwauliofanyika tartehe 9/11/2023 na kushuhudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya:- HANAN M. BAFAGHI, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya wilaya, Kilwa MHE. ISSA B. MATEKA, Mwenyekiti, Halmashauri ya wilaya, Kilwa L.S NAKUBALI, Dodoma, 29 Oktoba, 2024 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka, 2024
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in