KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UWINDAJI WA KITALII ZA MWAKA 2025
This section gives the short title of the regulations and says they must be read together with the 2024 principal hunting tourism regulations.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UWINDAJI WA KITALII ZA MWAKA 2025
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the regulations and says they must be read together with the 2024 principal hunting tourism regulations. This provision amends the rules by replacing every occurrence of the word “mnyama” with “mnyamapori”. Sehemu hii inarekebisha kanuni ya 2 kwa kuongeza maneno maalum katika tafsiri ya msamiati “kampuni ya uwindaji”. This provision amends regulation 3(1) by deleting specific words about issuing a certificate listed in the First Schedule. This provision amends rule 5(1) by replacing the reference to “subrule (3)” with a reference to “rule 3”.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UWINDAJI WA KITALII ZA MWAKA 2025
Showing 27 of 27
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the regulations and says they must be read together with the 2024 principal hunting tourism regulations.
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”. Marekebisho ya jumla - 2 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa ujumla kwa
AI-assisted research summary: This provision amends the rules by replacing every occurrence of the word “mnyama” with “mnyamapori”.
2. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa ujumla kwa kufuta neno “mnyama” popote linapotokea na badala yake kuweka neno “mnyamapori”. Marekebisho ya kanuni ya 2 - 3 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inarekebisha kanuni ya 2 kwa kuongeza maneno maalum katika tafsiri ya msamiati “kampuni ya uwindaji”.
3. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 2 kwa kuongeza maneno “Tanzania, chini ya Sheria ya Kampuni” mara baada ya neno “iliyosajiliwa” lililopo katika tafsiri ya msamiati “kampuni ya uwindaji”. Marekebisho ya kanuni ya 3 - 4 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 3(1)
AI-assisted research summary: This provision amends regulation 3(1) by deleting specific words about issuing a certificate listed in the First Schedule.
4. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 3(1) kwa kufuta maneno “na atatoa cheti kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza”. Marekebisho ya kanuni ya 5
Part
Jedwali la Kwanza”.
- 5 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 5(1)
AI-assisted research summary: This provision amends rule 5(1) by replacing the reference to “subrule (3)” with a reference to “rule 3”.
5. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 5(1) kwa kufuta rejea “kanuni ndogo ya (3)” na badala yake kuweka rejea “kanuni ya 3”. Marekebisho ya kanuni ya 8 - 6 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 8
AI-assisted research summary: This provision amends rule 8 and makes related changes to rule 9.
6. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 8- (a) katika kanuni ndogo ya (1), kwa kuongeza 1 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) maneno “katika tovuti na kurasa za mitandao ya kijamii za Wizara na Mamlaka ya Usimamizi wa neno Wanyamapori” mara “vilivyowazi”; baada ya (b) katika kanuni ndogo ya (4), kwa kuongeza neno “isiyorejeshwa” mara baada ya neno “kitalu”; na (c) katika kanuni ndogo ya (9), kwa- (i) kufuta aya (b); na (ii) kupanga upya aya (c) na (d) kuwa aya (b) na (c). Marekebisho ya kanuni ya 9 - 7 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 9(1)
AI-assisted research summary: The main rules are amended so that in regulation 9(1), the word “Mkurugenzi” is deleted and replaced with “Waziri”.
7. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 9(1) kwa kufuta neno “Mkurugenzi” na badala yake kuweka neno “Waziri”. Marekebisho ya kanuni ya 10 - 8 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 10
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafanya marekebisho ya maneno na marejeo katika kanuni ya 10 na kanuni ya 14.
8. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 10- (a) katika kanuni ndogo ya (3)(g), kwa- (i) kufuta maneno “samani zingine za lazima” yaliyopo katika aya ndogo ya (vi) na badala yake kuweka maneno “samani nyingine muhimu ikiwemo vitanda, meza na viti”; na (ii) kufuta rejea “aya ya (h)” yaliyopo katika kivuo na badala yake kuweka rejea “aya (g)”; (b) katika kanuni ndogo ya (3)(h), kwa- (i) kufuta maneno “samani zingine za muhimu” yaliyopo katika aya ndogo ya (vii) na badala yake kuweka maneno “samani nyingine muhimu ikiwemo vitanda, meza na viti”; na (ii) kufuta maneno “hapo juu” yaliyopo katika kivuo na badala yake kuweka maneno “vilivyoainishwa katika aya hii”; (c) kwa kupanga upya kanuni ndogo ya (3) iliyojirudia kuwa kanuni ndogo ya (4); na 2 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) Marekebisho ya kanuni ya 14 kwa- (d) katika kanuni ndogo ya (4) iliyopangwa upya, kwa kufuta rejea “kanuni ndogo ya (1)” na badala yake kuweka rejea “kanuni ndogo ya (2)”. - 9 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 14
AI-assisted research summary: This provision amends regulation 14 by replacing one word in subregulation (6) and deleting subregulation (8).
9. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 14 (a) kufuta neno “maombi” katika kanuni ndogo ya (6) na badala yake kuweka maneno “kibali cha utalii wa uwindaji”; na (b) kufuta kanuni ndogo ya (8). Marekebisho ya kanuni ya 16 - 10 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya
AI-assisted research summary: This section amends regulation 16(8) and regulation 19, including a new requirement to complete and submit a specified lion-hunting return form to the Director when the trip involves lion hunting.
10. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 16(8) kwa- (a) kuongeza maneno “na kuiwasilisha kwa Mkurugenzi” mara baada ya neno “Saba” lililopo mwishoni mwa aya (a); (b) kufuta aya (b) na badala yake kuweka aya mpya ifuatayo: “(b) endapo safari itahusisha uwindaji wa simba, kujaza fomu ya kurudi safari iliyoainishwa ya kuwinda simba katika na kuiwasilisha kwa Mkurugenzi.”; na la Nane Jedwali Marekebisho ya kanuni ya 19 kwa- (c) kufuta aya (c).
Part
Jedwali
- 11 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 19
AI-assisted research summary: This provision amends regulation 19 by inserting specified words after certain terms in the side note and subregulations.
11. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 19 (a) kuongeza maneno “aliyeuawa au kujeruhiwa” mara baada ya neno “mnyamapori” lililopo kwenye maelezo ya pembeni; (b) kuongeza maneno “aliyeuawa au kujeruhiwa” mara baada ya neno “mnyamapori” lililopo katika kanuni ndogo ya (1); (c) kuongeza maneno “aliyeuawa au kujeruhiwa” mara baada ya neno “mnyama” lililopo katika kanuni ndogo ya (2); na (d) kuongeza maneno “waliouawa au kujeruhiwa” mara baada ya neno “wanyamapori” lililopo 3 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) katika kanuni ndogo ya (3). Marekebisho ya kanuni ya 20 - 12 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 20
AI-assisted research summary: Section 12 amends regulation 20 by replacing the word “maalum” with “muhimu” wherever it appears.
12. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 20 kwa kufuta neno “maalum” popote linapojitokeza katika kanuni hiyo na badala yake kuweka neno “muhimu”. Marekebisho ya kanuni ya 23 kwa- - 13 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 23
AI-assisted research summary: Kanuni ya 23 inarekebishwa; ikiwa Waziri hatakubali ombi, lazima amjulishe mwombaji wa uhamishaji wa kitalu kwa maandishi.
13. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 23 (a) kuongeza mara baada ya kanuni ndogo ya (7) kanuni ndogo mpya ifuatayo: “(8) Endapo Waziri hataridhia ombi atamjulisha la uhamishaji wa kitalu muombaji kwa maandishi.”; na (b) kupanga upya kanuni ndogo ya (7) iliyojirudia na kanuni ndogo ya (8) kuwa kanuni ndogo za (8) na (9) mtawalia. Marekebisho ya kanuni ya 24 - 14 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends the rules by adding “ya muda” after “uwindaji kabla” in rule 24(1) and refers to an amendment to rule 29.
14. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 24(1) kwa kuongeza maneno “ya muda” mara baada ya maneno “uwindaji kabla”. Marekebisho ya kanuni ya 29 - 15 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya
AI-assisted research summary: This provision amends rule 29(4)(b) by replacing one word with “saba” in paragraph (ii) and with “kumi” in paragraph (iii); it also mentions an amendment to rule 31.
15. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 29(4)(b) kwa- (a) kufuta neno “tano” lililopo katika aya ya (ii) na badala yake kuweka neno “saba”; na (b) kufuta neno “tano” lililopo katika aya ya (iii) na badala yake kuweka neno “kumi”. Marekebisho ya kanuni ya 31 - 16 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 31
AI-assisted research summary: This section amends rule 31 by adding a requirement to fill in the form specified in the Fourteenth Schedule after the words “from the day of the decision” in subsection (1).
16. Kanuni kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 31 kwa kuongeza maneno “kwa kujaza fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Kumi na Nne” mara baada ya maneno “kuanzia siku ya uamuzi” yaliyopo mwishoni mwa kanuni ndogo ya (1). Marekebisho ya Jedwali la Kwanza - 17 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafuta na kuandika upya Jedwali la Kwanza la kanuni, likiwa na cheti cha ugawaji wa kitalu cha uwindaji na masharti yake, na kinampa Waziri uwezo wa kufuta ugawaji wa kitalu cha uwindaji katika hali fulani.
17. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali la Kwanza na kuliandika upya kama ifuatavyo: 4 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) ________________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni 8(8)(b) na 9(9)(b)) CHETI CHA UGAWAJI WA KITALU CHA UWINDAJI Sehemu kilipotolewa: ……………………..……………………………………………………… ….. Tarehe ya kutolewa: ………………………………………….…………………………………… …. Tarehe ya kumaliza muda wa matumizi (inategemea uzingatiaji wa kanuni): …..…………………….. Imetolewa kwa: ……………………..……………………………………………………… ………. Jina la kampuni na anuani: ……………………..……………………………………….………… Maelezo ya mipaka ya kitalu cha uwindaji: ……………………………………………………...……………………… ….…………………………… ……………………...………………………….…………………………… ……………………………… Masharti maalum yanayoambatana na kitalu au vitalu vya uwindaji: (a) Kufuata masharti ya Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori, Sura ya 283; (b) Kutii masharti ya Kanuni za Uwindaji wa Watalii za mwaka 2024 kuhusiana na uendeshaji wa shughuli za uwindaji; (c) Kulipa ada ya mwaka ya kitalu cha uwindaji sawa na dau lililofikiwa katika mnada wa kitalu hicho; (d) Kulipa kwa wakati ada na michango mingine yote inayohusiana na shughuli za uwindaji wa kitalii kama inavyoelekezwa chini ya sheria; (e) Kuchangia uboreshaji wa miundombinu na ulinzi wa mazingira ndani ya kitalu; (f) Kuchangia oparesheni za kuzuia ujangili au kupambana na shughuli nyingine yeyote haramu inayohusu uhifadhi wa wanyamapori; na (g) Waziri anaweza kufuta ugawaji wa kitalu cha uwindaji ikiwa kutatokea tukio lolote lililoainishwa chini ya kifungu cha 38(12) 5 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) cha Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori, Sura ya 283 au Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2024. ………………………..…………… Saini ya Waziri na Mhuri wa ofisi Kufuta na kuliandika upya Jedwali la Tano
Part
Sehemu kilipotolewa:
- 18 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali
AI-assisted research summary: Kanuni hizi zinabadilisha Jedwali la Tano na zinaweka fomu ya maombi ya kibali cha utalii wa uwindaji; maombi ya kibali lazima yaambatane na nakala ya pasi za kusafiria na kibali cha kuingiza silaha nchini kilichoshuhudiwa na wakili.
18. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali la Tano na kuliandika upya kama ifuatavyo: ___________ JEDWALI LA TANO ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 14(2)) FOMU YA MAOMBI YA KIBALI CHA UTALII WA UWINDAJI Taarifa za Kampuni Jina la Kampuni Anuani Jina la Mtu wa Kuwasliiana naye Maelezo ya Mteja Jina la Mteja (Kamili) Na. ya pasi ya kusafiria Namba ya Simu Barua pepe: Barua pepe: Jinsi a Um ri Uraia Sehemu ilipotolewa Kazi Anuani ya barua pepe 6 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) Daraja la leseni ya PH Namba ya leseni ya PH Maelezo ya Safari ya Uwindaji Majina ya Mwindaji Bingwa (PH) Jina la kitalu/vitalu vya uwindaji ambapo uwindaji utafanyika 1 2 3 4 5 Kifurushi cha Safari (chagua moja) Regular (Siku 10) Major (siku 14) Premiu m (siku 21) Uwind aji ndege Siku za ziada Tareh e Kuanzia Hadi Maelezo ya silaha Aina Calibre Make Maker’s No Na. ya kibali cha kuingiza nchini Sehemu kilipotole wa Tare he ilipot olew a 1 2 3 4 Orodha ya Watazamaji (Awe na miaka 6 na kuendelea) 7 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) Na Jina Umri Urai a Na. ya pasi ya kusafir ia Na. siku Kuanzia tarehe Hadi tarehe 1 2 3 4 5 6 7 Ninathibitisha kwamba maelezo hapo juu ni sahihi kwa uelewa wangu na ninathibitisha kwamba ninaelewa matakwa ya Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori, Sura ya 283 na kanuni zake. Tarehe: …………………………. …………………………… ………… Jina na Sahihi ya Mwombaji na Muhuri wa Ofisi ORODHA YA WANYAMAPORI Na. Kiingereza Jina la Kisayansi Kiasi Eneo atakapowin dwa (ikiwa tofauti na kibali mama) 1 2 3 4 5 Baboon Yellow Baboon Olive Buffalo African cape Bushbuck Chobe Bushbuck Masai Papio Anubis Papio cynocephalus Syncerus caffer caffer Tragelaphus scriptus omatus Tragelaphus scriptus 8 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 Bushpig Caracal Civet African Crocodile Nile Dikdik Kirk's Duiker Abbott's Duiker Common Duiker Harvey's red Eland Livingstones Eland Paterson's Elephant African Fox Bat eared Gazelle Grant's Gazelle Robert's Gazelle Thomson's Genet Blotched Genet Common Gerenuk Grysbock Sharpe's Hare Scrub Hare Cape Hartebeest Coke's Hartebeest Lichteinstein's Hippo Hyaena Spotted Hyaena Striped Impala East African Impala Southern Jackal Common Jackal Side striped Jackal Sliver backed Klipspringer Kudu Greater Kudu Lesser Leopard delameri Potamochoerus larvatus Caracal caracal Civettictis civetta Crocodilus niloticus Madoqua kirkii kirkii Cephalophas spadix Sylvicapra grimmia abyssinicus Cephalophas natalensis Tragelaphus oryx livingstoni Tragelaphus oryx pattersonius Loxodonta Africana Otocyon megalotis Nanger granti granti Nanger granti robertsi Eudorcas thomsonii Genetta tigrina Genetta genetta Litocranius walleri walleri Raphicerus sharpie Lepus capensis Lepus saxatilis Alcelaphus buselaphus cokii Alcelaphus buselaphus lichtensteinii Hippopotamus amphibius Crocuta crocuta Hyaena hyaena dubbah Aepyceros melampus rendili Aepyceros melampus melampus Canis aureus Canis adustus Canis mesomelas Oreotragus oreotragus Tragelophus strepsiceros bea Tragelaphus imberbis Panthera pardus pardus 9 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 51 52 53 54 55 56 57 58 59 60 61 62 63 64 65 66 67 68 69 Lion Mongoose Banded Mongoose White tailed Monkey Blue Monkey Velvet Oribi Common Oryx Fringed eared Ostrich Porcupine Crested Puku Python Rock Ratel (Honey Badger) Reedbuck Bohor Reedbuck Mountain (Chandler's) Reedbuck Southern (Common) Roan Antelope Sable Antelope Roosevelt Sable Antelope Common Serval Cat Sitatunga East African Steinbuck Suni (Pygmy Antelope) Topi Warthog Waterbuck Common Waterbuck Defassa Wildcat Wildebeest Eastern White bearded Wildebeest Panthera leo Mungos mungo Ichneumia albicauda Cercopithecus mitis Chlorocebus pygerythrus Ourebia ourebi ourebi Oryx beisa calotis Struthioformes camelopardalus Hystrix cristata Kobus vardonii Pythin sebae Mellivora capensis Redunca redunca wardi Redunca fulvorufula chandleri Redunca arundinum Hippotragus equinus langheldi Hippotragus niger roosevelti Hippotragus niger kirkii Leptailurus serval Tragelaphus spekii spekii Raphicerus campestris Neotragus moschatus Damaliscus lunatus jimela Phacochoerus africanus Kobus ellipsiprymnus ellipsiprymnus Kobus ellipsiprymnus defassa Felis sylvestris lybica Connochaetes taurinus albojubatus Connochaetes taurinus 10 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) johnstoni Connochaetes taurinus mearnsi Equus quagga bruchelli Ictonyx striatus Western White bearded Wildebeest Nyasa Zebra Burchell's Zorilla Dove Duck Francolin Geese Guineafowl Pigeon Sandgrouse Spurfowl 70 71 72 73 74 75 76 77 78 79 80 Ninathibitisha kwamba maelezo hapo juu ni sahihi kwa uelewa wangu na ninathibitisha kwamba ninaelewa matakwa ya Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamaporim, Sura 283 na kanuni zake. Tarehe: …………………………. ……………………………………… Jina na Sahihi ya Mwombaji na Mhuri wa Ofisi KUMBUKA: Maombi ya kibali yaambatane na nakala ya pasi ya kusafiria ya mteja na mtazamaji na nakala ya kibali cha kuingiza silaha nchini iliyoshuhudiwa na wakili. Marekebisho ya Jedwali la Saba
Part
JEDWALI LA TANO
- 19 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali
AI-assisted research summary: This section amends the main rules by deleting Schedule Seven and replacing it with a new Schedule Seven for the register of wildlife killed or injured.
19. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali la Saba na kuliandika upya kama ifuatavyo: __________ JEDWALI LA SABA ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 16(8)(a)) REJISTA YA WANYAMAPORI WALIOUAWA AU KUJERUHIWA 11 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) Jina la mteja……………………………………………………………………… Jina la Kampuni ya Uwindaji……………………………………………………. Namba ya Kibali cha Utalii wa Uwindaj………………………………...………. Jina la Mwindaji Bing…………………………………………………………… Namba ya Leseni ya Mwindaji Bingwa………………….……..……………….. Tar ehe Mud a Jin sia Aina ya mny ama pori Sila ha iliyo tumi ka Hali a w i h u r e J a w a U Eneo / sehe mu alipo wind wa Ma oni Jira nukta ya GPS Uref u wa pemb e, mnya ma au uzito ……………………… …………………….. …………...................... Jina jina jina ………………………. ……………………. ……………………………. Saini ya Mteja wa Uwindaji Saini ya Mwindaji Bingwa Saini ya Afisa Wanyamapori Mfawidhi UTHIBITISHO Kwa kusaini rejista hii ninathibitisha kwamba taarifa zilizojazwa ni sahihi na ukweli mtupu kwa ufahamu wangu. ………………………......... … ……………………….. ………………………………….... Saini ya Mteja wa Uwindaji Saini ya Mwindaji Bingwa Saini ya Afisa Wanyama Mfawidhi Marekebisho ya Jedwali la Kumi na Moja
Part
JEDWALI LA SABA
- 20 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali
AI-assisted research summary: This provision amends the main rules by deleting the Eleventh Schedule and replacing it with a new version.
20. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Jedwali la Kumi na Moja na kuliandika upya kama ifuatavyo: __________________ JEDWALI LA KUMI NA MOJA ___________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni za 20(1)) ORODHA YA WANYAMA MUHIMU SN. ENGLISH NAME SCIENTIFIC NAME 12 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea)
Part
JEDWALI LA KUMI NA MOJA
- 28 Verify source ↗
Section 28
AI-assisted research summary: This section lists named animals, including buffalo, zebras, antelope, gazelle, hippopotamus, hyaena, and others.
28. Buffalo (1ST, 2nd and 3rd) Burchell’s Zebra Bushbuck Bushpig Coke’ Hartebeest Common waterbuck Eland Defassa waterbuck Gerenuk Grant’s gazelle Greater kudu Hippopotamus Impala Klipspringer Lesser kudu Lichteinstein’s hartebeest Mountain reedbuck Wildebeest Oribi Oryx Puku Roan antelope Sable antelope Sitatunga Southern Reedbuck Spotted hyaena Thomsom Gazelle Topi - 29 Verify source ↗
Section 29
AI-assisted research summary: This section lists animal species included in Table 14.
29. Warthog Syncerus caffer caffer Equus burchellis Tragelophus scriptus Potamochoerus porcus Alcelophus buselaphus cokei Kobus ellipsiprymnus Taurotragus oryx Kobus defassa Litocranius walleri Gazella grantii Tragelaphus strepsiceros Hippopotamus amphibious Aepyceros melampus Oreotragus oreotragus Traelphus imberis Alcelaphus buselaphus lichteinsteinii Redunca furvorufula Connochaetes taurinus albojubatus, Connochaetes taurinus johnstoni, Connochaetes taurinus mearnsi Ourebia ourebi Oryx gazelle Kobus vardoni Hippotragus equines Hippopotagus niger Tragelaphus spekei Redunca arundinum Crocuta cricyta Gazella thomsonii Damaliscus korrigun jimela Phacochoerus aethiopicus Nyongeza ya Jedwali la Kumi na Nne
Part
Jedwali la
- 21 Verify source ↗
Kanuni inarekebishwa kwa kuongeza mara baada ya Jedwali la
AI-assisted research summary: This section amends the regulations by inserting a new table after Table Thirteen.
21. Kanuni inarekebishwa kwa kuongeza mara baada ya Jedwali la Kumi na Tatu Jedwali jipya lifuatalo: ____________________ JEDWALI LA KUMI NA NNE _____________________ 13 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 31(1)) FOMU YA KUKATA RUFAA
Part
JEDWALI LA KUMI NA NNE
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section is a form asking the appellant to provide personal details, business or job type, postal address, phone number, and email.
1. Maelezo Binafsi ya Mrufani Jina la Mrufani: Aina ya Biashara/Kazi: (a) ……………….…………………………..…………………..… (b) …..……..………………………………………...…… (c) …………………………………………………………...…… (d) .…………………………………………...……...…………… (e) …………………………………...…………………… Anuani ya Posta: Namba ya Simu: Barua-Pepe: - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha sehemu ya sababu za rufaa; maandishi yaliyotolewa hayatoi kanuni yoyote.
2. Sababu za Rufaa: …………………………………………………………………………………… ……………………… …………………………………………………………………………………… ……………………… …………………………………………………………………………………… ……………………… - 4 Verify source ↗
Nyaraka zilizowasilishwa kwa ajili ya Rufaa
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina kichwa kinachohusu nyaraka zinazowasilishwa kwa ajili ya rufaa.
4. Nyaraka zilizowasilishwa kwa ajili ya Rufaa: (a) .………………………………………………...………………… ………….……..… (b) ………………………………………………………..………… ………….………… (c) ………………………………………………………………..… ………….………… - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This extracted text contains a signature line and the heading “Nafuu Zinazombwa,” but no clear rule is stated in the excerpt.
5. Nafuu Zinazombwa: (a) .………………………………………………..………...……… ………………….… (b) …………………………………………………………..……… ………….………… (c) ………………………………………………………………..… ………….………… ………………………….. …………….......... Sahihi ya Mrufani Tarehe 14 Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii Tangazo la Serikali Na. 229 (Linaendelea) Dodoma, 26 Machi, 2025 PINDI HAZARA CHANA Waziri wa Maliasili na Utalii 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UWINDAJI WA KITALII ZA MWAKA 2025
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in