80 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y31 yenye majira – nukta 599372MS,
Verify source ↗ AI-assisted research summary: Hii sehemu inaeleza mstari wa mpaka kwa kufuata alama za upimaji, mto Ntemikaya, na barabara ya Bariadi kuelekea Mwanza.
0.80 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y31 yenye majira – nukta 599372MS, 9750677KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS211011’3”MG kwa umbali wa kilomita 0.84 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y30 yenye majira – nukta 598940MS, 9749953KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS233024’19”MG kwa umbali wa kilomita 0.81 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y29 yenye majira – nukta 598293MS, 9749457MG; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS184045’30”MG kwa umbali wa kilomita 0.60 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y28 yenye majira – nukta 598244MS, 9748869KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS1940 9’18”MG kwa umbali wa kilomita 0.70 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP5 yenye majira – nukta 598077MS, 9748250KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa kufuata mto Ntemikaya hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP4 yenye majira – nukta 594404MS, 9748725KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS257056’2”MG kwa umbali wa kilomita 0.90 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP2 yenye majira – nukta 595509MS, 9748502KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa kufuata barabara ya Bariadi kuelekea Mwanza hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba 21Y22 yenye majira – nukta 594925MS, 9750815KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ6030’40”MS kwa umbali wa kilomita 0.40 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y23 yenye majira – nukta 594976MS, 9751258KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ76023’31”MS kwa umbali wa kilomita 0.70 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y25 yenye majira – nukta 595689MS, 9751431KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ35103’25”MG kwa umbali wa kilomita 0.20 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y27 yenye majira – nukta 595658MS, 9751623KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ339028’9”MG kwa umbali wa kilomita 0.20 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba 21Y26 yenye majira – nukta 595574MS, 9751838KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ335026’ 51”MG kwa umbali wa kilomita