Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira)
This section gives the title of the order: the Sumbawanga WSSA Water Supply and Sanitation Services (Tariff Amendments) Order, 2020.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira)
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the title of the order: the Sumbawanga WSSA Water Supply and Sanitation Services (Tariff Amendments) Order, 2020. This order starts to apply from the date it is published in the Government Gazette. The rates and charges for Sumbawanga WSSA are revised as set out in the First Schedule. Sumbawanga WSSA must file a revised business plan, customer outreach materials, and evidence of public notice to EWURA by the stated deadlines, and must keep submitting financial and performance reports. Section 5 revokes a 2019 order for areas served by Sumbawanga WSSA and includes approved water-related fees and charges.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira)
Showing 8 of 8
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Agizo la Mamlaka ya
AI-assisted research summary: This section gives the title of the order: the Sumbawanga WSSA Water Supply and Sanitation Services (Tariff Amendments) Order, 2020.
1. Amri hii itajulikana kama Agizo la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), 2020. Tarehe ya kuanza - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This order starts to apply from the date it is published in the Government Gazette.
2. Amri hii itaanza kutumika kuanzia tarehe itakayochapishwa kwenye Gazeti la Serikali. Bei na tozo - 3 Verify source ↗
Bei na tozo za Sumbawanga WSSA zinarekebishwa
AI-assisted research summary: The rates and charges for Sumbawanga WSSA are revised as set out in the First Schedule.
3. Bei na tozo za Sumbawanga WSSA zinarekebishwa kama zilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Masharti - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Sumbawanga WSSA must file a revised business plan, customer outreach materials, and evidence of public notice to EWURA by the stated deadlines, and must keep submitting financial and performance reports.
4. yafuatayo: (a) Bei zilizoidhinishwa zitazingatia masharti ifikapo au kabla ya tarehe 30 Juni, 2020, Sumbawanga WSSA itawasilisha EWURA Mpango wake wa Kibiashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Amri hii; (b) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga ihakikishe kuwa inazingatia matakwa ya kukusanya tozo ya udhibiti na kuiwasilisha EWURA; ifikapo au kabla ya tarehe 30 Aprili, 2020, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (c) 1 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), TANGAZO LA SERIKALI NA. 264 (linaendelea) (d) iandae na kuwasilisha EWURA mpango wa kuwafikia wateja wake kwa lengo la kutoa elimu juu ya Huduma za maji; ifikapo au kabla ya tarehe 30 Aprili, 2020, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga iwasilishe EWURA vielelezo kwamba ilitoa taarifa kwa wateja wake kuhusu bei mpya za huduma zake na pia ilitoa elimu kikamilifu kwa umma kuhusu utekelezaji wa bei mpya, ikiwa ni pamoja na Serikali na wawakilishi wa dini na wa wananchi na wa dini katika eneo lake la huduma; na bei (e) Sumbawanga WSSA, kwa kutumia mapato zilizoidhinishwa, iliyoainishwa katika yatokanayo itatekeleza miradi Jedwali la Pili; Sumbawanga WSSA itafikia viashiria vya utendaji kama ilivyooneshwa katika Jedwali la Tatu; (f) (g) Sumbawanga WSSA, kwa kila mwaka kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Agizo la Bei na kila kifungu cha gharama katika mahitaji ya fedha kama inavyoonekana katika Jedwali la Nne; na (h) Sumbawanga WSSA itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Sumbawanga WSSA ikilinganishwa na Mamlaka nyingine za Majisafi na Usafi wa Mazingira na uboreshaji wa huduma zake. Pia EWURA itazingatia tathmini hii katika kufanya maamuzi ya maombi na yatakayowasilishwa Sumbawanga WSSA katika siku zijazo. yote 2 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), TANGAZO LA SERIKALI NA. 264 (linaendelea) Kutenguliwa kwa Amri ya Marekebisho ya Bei Tangazo la Serikali Na. 555 ya tarehe 26 Juni 2019
Part
sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka,
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Section 5 revokes a 2019 order for areas served by Sumbawanga WSSA and includes approved water-related fees and charges.
5. Amri hii linatengua matumizi ya Amri lililochapichwa kwenye Tangazo la Serikali la mwaka 2019 linalohusu maeneo yanayohudumiwa na Sumbawanga WSSA. ___________ JEDWALI LA KWANZA _____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3) _________ BEI, ADA NA TOZO ZILIZOIDHINISHWA Jedwali la 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Wateja Wenye Dira (Shilingi/ Mita ya Ujazo) BEI ZA SASA (TZS/ m3) BEI ZILIZOPENDEKEZWA (TZS/ m3) BEI ZILIZOIDHINISHWA (TZS/m3) MATUM IZI 0-5m3 2019/2 0 1,000 Juu ya 5m3 1,010 1,040 1,040 1,200 20 2019/ 20 2,007. 2,445. 6 2,503. 2,503. 2,895. 60 2020/2 1 2,065.3 2,115. 2021/ 22 2,516.3 5 2,577. 5 2,575.7 2,638. 3 2,575.7 2,638. 2,979.2 3,051. 3 60 6 60 2019/20 1,000 2020/21 1,000 2021/22 1,000 1,245 1,245 1,245 1,280 1,280 1,480 20 1,280 1,280 1,480 20 1,280 1,280 1,480 20 KUNDI LA WATEJ A Majumb ani Taasisi Biashara Viwanda Magati Jedwali la 1 (b): Jedwali Namba 1(c): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Maunganisho ya MajiSafi (Shilingi/Maunganisho) Kundi la wateja Bei ya sasa Bei iliyopendekezwa Bei iliyoidhinishwa 2019/20 Majumbani 20% ya Biashara gharama ya 2019/20 2020/21 20% ya gharama ya maunganisho kama ilivyo tajwa kwenye sehemu ya 26 ya Kanuni ya mwaka 2019 2019/20 2020/21 2021/22 2021/22 3 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), TANGAZO LA SERIKALI NA. 264 (linaendelea) Taasisi Viwanda Magati maunganisho kama ilivyotajwa kwenye sehemu ya 26 ya kanuni ya mwaka 2019 Jedwali la1 (c): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Kurejeshewa Huduma ya Maji Baada ya Kukatiwa (Shilingi/Kurejeshewa Huduma) Customer Category Bei zaSasa Bei Zilizopendekezwa Bei zilizoidhinishwa Majumbani 2019/20 15,000 2019/20 20,000 2020/21 22,000 2021/22 2019/20 2020/21 2021/22 25,000 15,000 15,000 Biashara 15,000 35,000 37,000 39,000 15,000 15,000 Taasisi Viwanda 15,000 15,000 35,000 37,000 39,000 15,000 35,000 37,000 39,000 15,000 15,000 15,000 Jedwali la 1 (d): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa kwa huduma ya Majitaka Bei Zilizopendekezwa Bei zilizoidhinishwa 15,000 15,000 15,000 15,000 Bei Sasa za Kundi Wateja la Majumba ni 60,000 Taasisi 73,000 Biashara 73,000 Viwanda 73,000 2019/20 2019/20 2020/21 80,000 80,000 2021/22 90,000 2019/2 0 80,000 2020/2 1 80,000 2021/2 2 90,000 90,000 100,000 120,000 90,000 90,000 90,000 100,000 120,000 90,000 90,000 120,00 0 120,00 0 120,000 150,000 160,000 100,00 0 100,00 0 160,00 0 Jedwali (e):Ada ya sasa na iliyoidhinishwa kwa huduma ya kumwaga maji taka kwenye mabwawa ya SUWASA Kundi Wateja la za Bei Sasa Bei Zilizopendekezwa Bei zilizoidhinishwa 4 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), TANGAZO LA SERIKALI NA. 264 (linaendelea) 2019/20 2019/20 2020/21 10,000 15,000 2021/22 20,000 2019/2 0 10,000 2020/2 1 10,000 2021/2 2 20,000 Majumbani 8,000 Taasisi 11,000 Biashara 21,000 15,000 20,000 25,000 15,000 15,000 25,000 25,000 30,000 35,000 25,000 25,000 35,000 __________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(e)) __________ MIRADI ITAKAYOTOKELEZWA 5 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), TANGAZO LA SERIKALI NA. 264 (linaendelea) Maelezo ya Kazi Zitakazofanyika DIRA ZA MAJI Ununuzi wa Dira za Maunganisho Mapya Ununuzi wa Dira za Malipo ya Kabla( Prepaid Water meters) Ununuzi wa Dira za kubadilisha za zamani Ununuzi na Ufungaji wa Dira Kubwa za Maji kwenye Vyanzo vya Maji na Maeneo ya Mtandao Ununuzi wa kifaa cha kupimia Dira (Portable meter test equipment) Jumla Ndogo MTANDAO WA MABOMBA Kuongeza Mtandao wa Mabomba Ukarabati wa Miundo mbinu ya Maji Ukarabati wa Bomba Kubwa na Mtandao wa Usambazaji (mainline & distribution networks) Jumla Ndogo MAJENGO Ukarabati wa Jengo la Ofisi Ukarabati wa jengo la Stoo na jumba za watumishi Ujenzi waVyoo vya walinzi kwenyeVisima Ujenzi wa Jumba kwa ajili ya walinzi kwenye visima Jumla Ndogo MATENKI YA MAJI Ukarabati wa Matenk matatu (3) Kumalizia Ujenzi wa Uzio kwa ajili ya eneo la kutibu Maji taka ekari 79 Ujenzi wa Uzio kwa Matenk 7(seven) (Fencing work) Ujenzi wa Uzio kwa ajili ya tenki la Makao makuu Ujenzi wa Uzio kwa ajili ya tenki la Katandala Jumla Ndogo MITAMBO 6 TZS milioni 2019/20 2020/21 2021/22
Part
JEDWALI LA PILI
- 160
AI-assisted research summary: This text lists items being procured, including generators, telecom/electrical equipment, vehicles, and computers/printers.
160.0 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), TANGAZO LA SERIKALI NA. 264 (linaendelea) Ununuzi wa generator ( portable welding generator) Ununuzi wa “Optical Time Domain Reflecto meter’ Ununuzi wa “OFC Splicing Mashine” Ununuzi wa “VFD Starter” Ununuzi wa “AC-DC Invertor for media Converter for PLC system” Jumla Ndogo MAGARI NA PIKIPIKI Ununuzi wa Bajaji Ununuzi wa Magari Ununuzi wa gari moja kubwa (one truck) Jumla Ndogo KOMPYUTA NA (PRINTA) Ununuzi wa Kompyuta (Printa) Jumla Ndogo JUMLA KUU - 10
AI-assisted research summary: This section lists performance indicators and financial requirements for Sumbawanga WSSA, including target values for service delivery and cost categories.
10.0 1300.0 1247.6 1068.1 ___________ JEDWALI LA TATU ___________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(f)) ___________ VIASHIRIA VYA UTENDAJI (2019/20 – 2021/22) Maelezo Idadi ya wateja wapya wa majisafi Masaa ya huduma Kiwango cha upotevu wa maji Kiwango cha ufanisi katika ukusanyaji wa mapato Uniti Na saa % % 7 Lengo la Utendaji 2019/20 551 2020/21 605 2021/22 665 22 31 85 23 28 90 24 25 95 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), TANGAZO LA SERIKALI NA. 264 (linaendelea) __________ JEDWALI LA NNE _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(g)) __________ MAHITAJI YA FEDHA Maelezo Gharama za Uzalishaji Usambazaji wa Maji Gharama za Usafi wa Mazingira Matengenezo na Utunzaji Watumishi Utawala Uhamasishaji wa Biashara Matukio na Michango (Donation) Gharama za Fedha Tozo za Kisheria Jumla "OM without D" Uchakavu na "Amortization" (TZS Millioni) Mapato yatokanayo na uwekezaji (TZS Million) Jumla ya Mahitaji ya Fedha (Million TZS) Pungufu: Mapato mengine Mahitaji ya fedha kutoka katika Mauzo ya Maji (TZS Million) 2019/20 TZS Milioni
Part
JEDWALI LA NNE
- 88
AI-assisted research summary: 88.2 2,690.4 3,143.4 3,277.6 1,300 1,248 1,068 - - - 3,990 4,391 4,346 53 58 67 3,937 4,333 4,278 Dodoma, .................., 2020 NZINYANGWA E. MCHANY Kaimu Mkurugenzi Mkuu 8
88.2 2,690.4 3,143.4 3,277.6 1,300 1,248 1,068 - - - 3,990 4,391 4,346 53 58 67 3,937 4,333 4,278 Dodoma, .................., 2020 NZINYANGWA E. MCHANY Kaimu Mkurugenzi Mkuu 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (“Sumbawanga WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira)
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in