Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira)
This section names the order as an amendment about water and sanitation service prices and charges.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira)
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section names the order as an amendment about water and sanitation service prices and charges. Namtumbo WSSA’s prices and charges for water and sanitation services are adjusted according to the First Schedule. Namtumbo water and sanitation bodies must meet a series of tariff-related reporting, service, customer education, meter rollout, and performance obligations to EWURA. This section cancels the application of Order No. 11-014 in the area served by Namtumbo WSSA. The text says “Ikamilike ifikapo Juni 2022.”
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira)
Showing 10 of 10
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama, Amri ya Mamlaka
AI-assisted research summary: This section names the order as an amendment about water and sanitation service prices and charges.
1. Amri hii itajulikana kama, Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), 2020. Bei na tozo - 2 Verify source ↗
Bei na tozo za majisafi na usafi wa mazingira
AI-assisted research summary: Namtumbo WSSA’s prices and charges for water and sanitation services are adjusted according to the First Schedule.
2. Bei na tozo za majisafi na usafi wa mazingira za Namtumbo WSSA zinarekebishwa kwa kuzingatia Jedwali la Kwanza. Masharti
Part
Jedwali la Kwanza.
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Namtumbo water and sanitation bodies must meet a series of tariff-related reporting, service, customer education, meter rollout, and performance obligations to EWURA.
3. Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti yafuatayo: (a) ifikapo au kabla tarehe 31 Mei, 2020, Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo itawasilisha EWURA Mpango wake wa Kibiashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Agizo hili ; (b) Mamaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo ihakikishe kuwa inazingatia matakwa ya kukusanya tozo ya udhibiti na kuiwasilisha EWURA; 1 Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 303 (linaendelea) (c) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo itawaunganisha wateja wake wote kwa dira za maji ifikapo tarehe 30 Juni, 2020; (d) ifikapo au kabla tarehe 31 Mei, 2020, Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo iandae mpango wa kuwabaini wateja wasiojiweza waliopo katika eneo lake la huduma na kuwapatia huduma ya maji kwa namna iliyo nafuu; (e) ifikapo au kabla tarehe 31 Mei, 2020 Mamlaka ya Majisafi iandae na na Usafi wa Mazingira kuwasilisha EWURA mpango wa kuwafikia wateja wake kwa lengo la kutoa elimu juu ya Huduma za maji; (f) ifikapo au kabla tarehe 31 Aprili, 2020, Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo iwasilishe EWURA vielelezo kwamba ilitoa taarifa kwa wateja wake kuhusu bei mpya za huduma zake na pia ilitoa elimu kikamilifu kwa umma kuhusu utekelezaji wa bei mpya, ikiwa ni pamoja na Serikali na wawakilishi wa dini na wa wananchi, katika eneo lake la huduma; (g) Namtumbo WSSA itanunua na kutunza hifadhi dira za kutosha kwa ajili ya kubadilisha zile zilizokwisha muda wake ili zoezi la ubadilishwaji wa dira lifanyike kwa muda mfupi kadri iwezekanavyo; (h) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo, kwa kutumia mapato yatokanayo na bei zilizoidhinishwa, itatekeleza miradi iliyoainishwa katika Jedwali la Pili; 2 Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 303 (linaendelea) (i) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo itafikia viashiria vya utendaji kama ilivyooneshwa katika Jedwali la Tatu; (j) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo, kwa kila mwaka kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Agizo la Bei na kila kifungu cha gharama katika mahitaji kama fedha yalivyoainishwa katika Jedwali la Nne; na yaliyoidhinishwa ya (k) Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo ikilinganishwa na Mamlaka nyingine za Majisafi na Usafi wa Mazingira na uboreshaji wa huduma zake. Pia EWURA itazingatia tathmini hii katika kufanya maamuzi ya maombi yote yatakayowasilishwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo katika siku zijazo. Kutengua Amri ya Bei Na. 11- 014 la 1 Juni, 2011 - 4 Verify source ↗
Amri hii inatengua matumizi ya Amri ya
AI-assisted research summary: This section cancels the application of Order No. 11-014 in the area served by Namtumbo WSSA.
4. Amri hii inatengua matumizi ya Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo Na. 11-014 katika eneo linalohudumiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo ("Namtumbo WSSA"). __________ JEDWALI LA KWANZA __________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3) BEI NA ADA ZILIZOIDHINISHWA 3 Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 303 (linaendelea) Jedwali Namba 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Wateja Wenye Dira (Shilingi/ Mita ya Ujazo) Bei za Sasa Bei Iliyoidhinishwa Aina ya Mteja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Boza Magati 2018/19 2019/20 2020/21 2021/22 540 1,000 1,025 - - 1,000 800 1,200 1,230 1,230 1,107 1,200 895 1,440 1,476 1476 1328 1500 930 1728 1771 1771 1594 1500 Jedwali Namba 1(b): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Wateja Wasio na Dira (Shilingi/ Mwezi) Bei za Sasa Bei Iliyopendekezwa Bei Iliyoidhinishwa Aina ya Mteja 2018/19 2019/20 2020/21 2021/22 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Boza Magati 7,000 24,500 24,500 - - 24,500 12,000 25,000 25,000 25,000 25,000 25,000 12,000 25,000 25,000 25,000 25,000 25,000 12,000 25,000 25,000 25,000 25,000 25,000 2019/20 Kabla 31 Desemba 2019 7,000 24,500 24,500 24,500 24,500 24,500 2020/21 2021/22 Haijaidhinishwa Jedwali Namba 1(c): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Maunganisho ya Maji Safi Kundi la Wateja (Shilingi/Maunganisho) Ada ya sasa Ada zilizoidhinishwa Majumbani Taasisi Biashara Viwanda 2018/19 22,500 51,500 51,500 - 2019/20 2020/21 2021/22 Asilimia 20 ya gharama za vifaa na ufundi kama ilivyobainishwa katika Kanuni za Majisafi za mwaka 2013 Jedwali Namba 1(d): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Kurejeshewa Huduma ya Maji Baada ya Kukatiwa (Shilingi/Kurejeshewa Huduma) 4 Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 303 (linaendelea) Ada za sasa Ada Zilizoidhinishwa Aina ya Mteja 2018/19 2019/20 2020/21 2021/22 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda 4,000 50,000 4,000 - 4,000 15,000 6,000 15,000 4,000 15,000 6,000 15,000 4,000 15,000 6,000 15,000 ___________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(h)) MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA Kazi zitakazofanyika Kiwango katika Shilingi (million) Melezo 2019/20 2020/21 2021/22 Kukarabati Matangi ya Maji ya Namtumbo na Minazini Kukarabati na kubadilisha tekeo la maji Kubadlisha mabomba 2019/20, 10; 2020/21,10; 2021/22,8 Jumla ya Ukarabati Ukarabati
Part
JEDWALI LA PILI
- 1
AI-assisted research summary: The text says “Ikamilike ifikapo Juni 2022.”
1.2 35 Ikamilike ifikapo Juni 2022 Ikamilike ifikapo Juni 2022 Ikamilike ifikapo Juni 2022 - 40
AI-assisted research summary: This text lists figures for new investment purchases, including water meters and work tools, for the years 2019/20 to 2021/22.
40.2 Uwekezaji Mpya Kununua mita za maji 531 2019/20, 375 mwaka 2020/21, na 312 mwaka 2021/22 Kununua vitendea kazi Jumla Uwekezaji Mpya Jumla Uwekezaji wote - 95
AI-assisted research summary: The text lists water-service performance targets and approved funding requirements for Namtumbo Wssa for 2019/20 to 2021/22.
95.6 5 Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 303 (linaendelea) ____________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(i)) _____________ VIASHIRIA VYA UTENDAJI Maelezo Uniti Lengo la Utendaji 2019/20 2020/21 2021/22 Kiwango cha idadi ya watu wanaoishi katika eneo lililofikiwa na mtandao wa maji Kiwango katika asilimia cha idadi ya watu wanaohudumiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Namtumbo Kiwango cha upotevu wa maji (NRW) Wastani wa muda wa utoaji huduma Kiwango cha Wateja wa Dira Kiwango cha Ufanisi wa Ukusanyaji mapato % % % Saa % % 67 58 24 16 95 75 69 60 22 18 100 90 72 62 20 20 100 95 _________ JEDWALI LA NNE __________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(j)) MAHITAJI YA FEDHA YALIYOIDHINISHWA (SHILINGI ZA KITANZANIA KATIKA MILIONI) Maelezo Matengenezo na Uendeshaji Uzalishaji Usambazaji Majitaka Matengenezo na Ukarabati Utumishi Utawala Matangazo Matukio na Ufadhili 2019/2020 2020/2021 2021/2022
Part
JEDWALI LA NNE
- 5
AI-assisted research summary: This section lists components used in calculating water-service costs and pricing, including board costs, finance costs, operations and maintenance, depreciation, investment return, water production, water losses, water sold, and average price per cubic meter.
5.10 6 Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo Wssa”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira) Tangazo la Serikali Na. 303 (linaendelea) Gharama za Bodi Gharama za Kutunza Fedha Jumla ya Uendeshaji na Matengenezo Uchakavu Faida ya Uwekezaji Jumla ya Mahitaji ya Fedha Ondoa: Mapato mengineyo Mahitaji ya Fedha kwa Mauzo ya Maji Uzalishaji wa Maji (Katika Mita za Ujazo) Upotevu wa maji (%) Maji yaliyouzwa (katika mita za ujazo) Wastani wa Bei kwa Mita ya Ujazo) - 504
AI-assisted research summary: 504.49 614,880 22 467,309 479,606 1,028.55 1,051.88
504.49 614,880 22 467,309 479,606 1,028.55 1,051.88 - 537
AI-assisted research summary: The text appears to be a footer or signature line with numbers, a place name, a person’s name, and a date.
537.51 614,880 20 491,904 1,092.72 Dodoma, NZINYANGWA E. MCHANY, 21st Aprili, 2020 Mkurugenzi Mkuu 7
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mamlaka ya Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira Namtumbo (“Namtumbo WSSA”) (Marekebisho ya Bei za Huduma za Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira)
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in