Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa
This section says the rules are called the 2020 National Sports Council amendment rules and must be read together with the 1999 rules, called the Main Rules.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the rules are called the 2020 National Sports Council amendment rules and must be read together with the 1999 rules, called the Main Rules. Kanuni Kuu zinabadilishwa katika kanuni ya 4 kwa kuongeza neno “ndogo” baada ya “Kamati” katika sehemu ya mwanzo na maelezo ya pembeni. The provision changes committee rules: district and regional sports committee secretaries are defined, regional/district leaders may appoint replacement members with the Council’s advice, and chairpersons/secretaries get set administrative duties. Kanuni Kuu zinabadilishwa kwa kufuta kanuni ya 21 na kuweka kanuni mpya badala yake. Baraza la Michezo la Taifa lina haki ya kupata asilimia 3 ya mapato ya mauzo ya tiketi za michezo inayofanywa na vyama vya michezo, na linaweza kushirikiana kuandaa mwongozo au mpango wa kukuza na kugawa mapato ya michezo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa
Showing 18 of 18
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za
AI-assisted research summary: This section says the rules are called the 2020 National Sports Council amendment rules and must be read together with the 1999 rules, called the Main Rules.
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho za Baraza la Michezo la Taifa za mwaka, 2020 na zitasomwa pamoja na kanuni za Baraza la Michezo la Taifa za mwaka 1999 ambazo zitajulikana kama "Kanuni Kuu". Marekebisho ya kanuni ya 4 - 2 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarekebishwa kwenye kanuni ya 4
AI-assisted research summary: Kanuni Kuu zinabadilishwa katika kanuni ya 4 kwa kuongeza neno “ndogo” baada ya “Kamati” katika sehemu ya mwanzo na maelezo ya pembeni.
2. Kanuni Kuu zinarekebishwa kwenye kanuni ya 4 kwa kuongeza neno “ndogo” mara tu baada ya neno ‘Kamati’ lililopo katika mstari wa kwanza wa maneno ya ufunguzi na katika maneno yaliyopo kwenye maelezo ya pembeni. Marekebisho ya kanuni ya 8 kwa - - 3 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarekebishwa kwenye kanuni ya 8
AI-assisted research summary: The provision changes committee rules: district and regional sports committee secretaries are defined, regional/district leaders may appoint replacement members with the Council’s advice, and chairpersons/secretaries get set administrative duties.
3. Kanuni Kuu zinarekebishwa kwenye kanuni ya 8 (a) kufuta aya (b) iliyopo katika kanuni ndogo ya (1) na badala yake kuingiza aya mpya ifuatayo: "(b) katibu wa Kamati ya Michezo za Mikoa au Kamati ya Michezo ya Wilaya ambao watapatikana kwa utaratibu ufuatao: 1 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) (i) Katibu wa Kamati ya Michezo ya Mkoa atakuwa ni Ofisa Michezo wa Mkoa au mtu yeyote anayekaimu nafasi hiyo; (iii) (ii) Katibu wa Kamati ya Michezo ya Wilaya atakuwa ni Ofisa Michezo wa Halmashauri ya Wilaya au Halmashauri ya Mji au Halmashauri ya Manispaa au Halmashauri ya Jiji au mtu yeyote anayekaimu nafasi hizo katika maeneo hayo; endapo katika Wilaya moja kuna Halmashauri zaidi ya moja, Mkuu wa Wilaya atakuwa na fursa ya kuteua ofisa yeyote halmashauri kutoka yoyote kati ya zilizopo katika wilaya kushika wadhifa wa Katibu wa Kamati ya michezo ya Wilaya"; husika katika ili (b) kuongeza maneno "kwa kushauriana na Baraza" mwishoni mwa kanuni ndogo ya (2); (c) kufuta kanuni ndogo ya (3) na badala yake kuingiza Kanunia ndogo mpya kama ifutavyo: “(3) Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya anaweza, kupokea ushauri wa Baraza kabla ya kuteua Mjumbe kujaza nafasi iliyoachwa wazi kutokana na mjumbe kujiuzulu, kuachishwa, kufukuzwa, kufa, au sababu nyingine yoyote ya msingi”; (d) kuongeza mara baada ya kanuni ndogo ya (3) kanuni ndogo ifuatayo: “(4) Kazi za Mwenyekiti na Katibu wa Kamati yoyote katika Kamati za Baraza au Kamati za Michezo za Mkoa au Kamati za Michezo za Wilaya zitakuwa kama ifuatavyo: (a) Mwenyekiti wa Kamati- kuongoza vikao na shughuli katika za Kamati zote (i) 2 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) (ii) (iii) (iv) (v) Baraza, Mkoa au Wilaya; vikao vya kuhakikisha Kamati vinapangwa, kuitishwa na kufanyika kwa mujibu wa Sheria na Kanuni; kuhakikisha maazimio ya Kamati yanatekelezwa ipasavyo; kuidhinisha na kuwasilisha taarifa na uamuzi mbalimbali wa Kamati katika vikao vya mamlaka za juu yake; kusimamia utekelezaji wa kazi yoyote itakayoelekezwa kwake na Baraza, Kamati ya Michezo ya Mkoa au Kamati ya Michezo ya Wilaya; nyingine (b) Katibu wa Kamati- kuitisha vikao vyote vya Kamati kwa kuandaa na kuwasilisha mialiko kwa wajumbe vinginevyo au itakavyoelekezwa na kama Mwenyekiti; kuandaa kuhifadhi na mihutasari na kumbukumbu zingine za vikao vyote vya kamati katika Baraza, Mikoa na Wilaya vitakavyokaliwa kwa mujibu wa Sheria na Kanuni hizi; kuandaa makadilio matumizi zinazohitajika kutekeleza Kamati; na kutekeleza kazi nyingine yoyote itakayoelekezwa kwake na Mwenyekiti wa na rasilimali katika za shughuli ya (i) (ii) (iii) (iv) 3 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) Kamati. Marekebisho ya kanuni ya 21 - 4 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni
AI-assisted research summary: Kanuni Kuu zinabadilishwa kwa kufuta kanuni ya 21 na kuweka kanuni mpya badala yake.
4. Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni ya 21 na badala yake kuingiza kanuni mpya kama ifutavyo: Mapato matumizi baraza. na ya ya matukio - 21 Verify source ↗
(1) Baraza la Michezo la
AI-assisted research summary: Baraza la Michezo la Taifa lina haki ya kupata asilimia 3 ya mapato ya mauzo ya tiketi za michezo inayofanywa na vyama vya michezo, na linaweza kushirikiana kuandaa mwongozo au mpango wa kukuza na kugawa mapato ya michezo.
21.-(1) Baraza la Michezo la Taifa litapata asilimia tatu (3%) ya mapato yatokanayo na mauzo ya tiketi michezo za itakayoendeshwa na vyama mbalimbali vya Michezo, kwa ajili ya uendelezaji wa michezo inayosimamiwa na Baraza katika ngazi za Taifa, Mkoa na Wilay, kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za michezo nchini. shughuli za (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1), Baraza kwa kushirikiana na Wizara au taasisi zingine zenye dhamana na usimamizi wa mapato na matumizi ya fedha za umma, linaweza kuandaa mwongozo au mpango maalum wa namna ya kukuza, kugawa mapato kukusanya yatokanayo na shughuli za michezo kwa vya kuendeleza michezo katika ngazi za mikoa na wilaya. (3) vyanzo vilivyoainishwa katika Sheria, mapato ya Baraza vyanzo vifuatavyo- vipaumbele yatahusisha kuzingatia Pamoja na na (a) Gawio katika kutoka mapato ya Bahati Nasibu ya Taifa na michezo mingine kama kubahatisha ya katika itakavyoainishwa Sheria, na Miongozo mbalimbali inayosimamia Michezo ya Kanuni 4 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) kubahatisha nchini; (b) Gawio katika kutoka mikataba inayoingiwa baina ya wadhamini na vilabu, vyama au mashirikisho kwa ajili ya udhamini na haki za kuhodhi matangazo ya televisheni katika matukio ya michezo mbalimbali kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kanuni hizi; (c) mapato yatokanayo na ya maendeleo miradi na inayobuniwa kutekelezwa kwa ushirikiano wa Baraza, Wizara na wadau wengine kwa kuzingatia uwiano wa maslahi utakaokubalika baina ya pande husika; au (d) ruzuku michango itakayopokelewa na Baraza kutoka kwa washirika au wadau wa maendeleo ya michezo wa ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo mbalimbali ya nchi; (e) mapato yatokanayo na ada za usajili na ada za kila mwaka za vyama vya michezo; na (f) vyanzo vingine vitakavyobuniwa na Baraza na kuidhinishwa na kwa husika mamlaka mujibu wa sheria.” Marekebisho ya kanuni ya 22
Part
Jedwali la Kanuni hizi;
- 5 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 22
AI-assisted research summary: Kanuni ya 22 inarekebishwa ili kuweka upya vyanzo vya mapato vya Mfuko wa Maendeleo ya Michezo.
5. Kanuni Kuu zinarekebishwa katika kanuni ya 22 kwa kufuta kanuni ndogo ya (1) na badala yake kuingiza 5 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) kanuni ndogo mpya kama ifuatavyo: “(1) Vyanzo vya mapato vya Mfuko wa Maendeleo ya Michezo vitakuwa kama ifuatavyo- (a) ruzuku kutoka Serikalini; (b) ruzuku kutoka washirika mbalimbali maendeleo ya michezo wa ndani na nje ya nchi; kwa (c) faida kutoka katika miradi ya uwekezaji itakayobuniwa na kutekelezwa na Mfuko; na (d) ruzuku au michango itakayotolewa na Baraza kwa ajili ya maendeleo ya michezo nchini.” - 6 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni
AI-assisted research summary: Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni ya 24 na kuingiza kanuni mpya.
6. Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni ya 24 na badala kuingiza kanuni mpya kama ifuatavyo: - 24 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Appeals to the listed sports committees, the Board, or the Minister are not to be charged any fee, and a person, club, association, or federation may not appeal to the Minister unless lower appeal stages have first been completed.
24.-(1) "Tozo za rufaa Rufaa katika Kamati yoyote itakayowasilishwa za Michezo za Wilaya, Kamati za Michezo za Mikoa, Baraza au kwa Waziri haitatozwa gharama yoyote. Marekebisho ya kanuni ya 24 (2) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1) mtu, klabu, chama au shirikisho lolote halitaruhusiwa kukata rufaa kwenda kwa Waziri isipokuwa kama mtu, klabu, chama au shirikisho hilo limewasilisha na kupata uamuzi wa ngazi zingine zote zilizo chini ya hatua ya Waziri kama zilivyoainishwa katika Sheria na Kanuni hizi. (3) Utaratibu na gharama za rufaa katika vyama mbalimbali utabainishwa na kusimamiwa kwa mujibu wa katiba za vyama husika.” michezo vya Marekebisho ya kanuni ya 25 - 7 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni
AI-assisted research summary: This section amends the main rules by deleting rule 25 and inserting a new subsidiary rule.
7. Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni ya 25 na badala yake kuingiza kanuni ndogo mpya kama ifutavyo: "Vibali vya matukio ya michezo yanayoandaliwa na wakuzaji au - 25 Verify source ↗
(1) Mkuzaji au wakala wa
AI-assisted research summary: Mkuzaji au wakala wa michezo kutoka ndani au nje ya Tanzania lazima aombe na apate kibali kutoka Baraza kabla ya kuandaa tukio la michezo hapa nchini.
25.-(1) Mkuzaji au wakala wa michezo kutoka ndani au nje ya Tanzania atapaswa kuomba na kupata 6 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) mawakala kibali kutoka Baraza kabla ya kuandaa tukio lolote la michezo hapa nchini. (2) Baraza kwa kushirikiana na Kamati za Michezo za Mikoa na litaandaa mwongozo wa Wilaya upatikanaji wa vibali husika kwa wakati ili kurahisisha uandaaji wa matukio ya michezo yanapofanyika katika maeneo hayo. (3) Kibali cha kuandaa tukio lolote la michezo kinachotolewa kwa mkuzaji wa ndani au kutoka nje ya kama Tanzania ilivyoainishwa katika Jedwali kwenye Kanuni hizi”. kitalipiwa tozo Kufuta kanuni ya 26 kwa ya 26. - 8 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni
AI-assisted research summary: Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni moja.
8. Kanuni Kuu zinarekebishwa kwa kufuta kanuni - 9 Verify source ↗
Kanuni Kuu zimerekebishwa kwa kuongeza
AI-assisted research summary: Sehemu hii inarekebisha Kanuni Kuu kwa kuongeza kanuni mpya baada ya kanuni ya 29.
9. Kanuni Kuu zimerekebishwa kwa kuongeza mara baada ya kanuni ya 29 kanuni mpya zifuatazo: Kuongezwa kwa kanuni za 30, 31,32,33,34,35 na 36 “Kuwasilisha mapato Baraza ya - 30 Verify source ↗
(1) Chama chochote cha
AI-assisted research summary: Viongozi wa chama cha michezo lazima kuwasilisha mapato husika kwa Baraza ndani ya siku 7, na wanaoajiri wachezaji au wataalamu wa kigeni lazima wapate idhini ya Baraza kwanza.
30. (1) Chama chochote cha michezo kinachowajibika kuwasilisha sehemu yoyote ya mapato yatokanayo na la michezo nchini kinapaswa kuwasilisha mapato hayo kwa Baraza katika kipindi cha siku saba (7) tangu tukio hilo kufanyika. lolote tukio (2) Endapo mtu, klabu, chama, taasisi yoyote shirikisho, asasi au imedhamini tukio lolote la mchezo wowote unaosimamiwa na Baraza na kuruhusu watazamaji kushuhudia mchezo huo pasipo kulipa kiingilio chama, chochote, mtu, shirikisho, taasisi hiyo asasi itapaswa kuwasilisha katika Baraza kiasi cha fedha kilichoainishwa katika Jedwali la Kanuni hizi badala na kiasi klabu, au 7 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) halisi ambacho kingetokana na asilimia ya viingilio vya watazamaji. (3) Itakuwa ni kosa dhidi ya Kanuni hizi kwa chama chochote kukiuka kanuni ndogo ya (1), na inapothibitika chama hicho kitapaswa kulipa katika faini Jedwali la kanuni hizi. iliyoainishwa (2) klabu, endapo (4) Bila kuathiri kanuni ndogo ya chochote chama hakitawasilisha mapato yoyote ya Baraza kwa zaidi ya siku thelathini (30), Baraza linaweza kusitisha kutoa vibali vya matukio ya michezo kwa chama hicho hadi kitakapowasilisha mapato hayo na riba yake. (5) Mtu, chama, taasisi yoyote shirikisho, asasi au ambayo haikutimiza wajibu wa kuwasilisha mapato kwa Baraza na kustahili adhabu kwa mujibu wa Kanuni hizi hataweza kuondolewa adhabu iliyoainishwa isipokuwa kama- (a) atawasilisha maelezo ya maandishi juu ya sababu za kutotimiza wajibu huo; (b) atawasilisha kiasi cha fedha alichopaswa cha msingi kuwasilisha kwa mujibu wa Kanuni hii; (6) Endapo Baraza litajiridhisha juu ya ukweli wa sababu zilizotolewa na mwombaji, kwa maandishi msamaha wa adhabu hiyo pamoja au bila kutoa masharti yoyote. litamjulisha 31-(1). Chama chochote kinachokusudia kuajiri na kumtumia mchezaji au mtaalamu yeyote wa michezo kutoka nje ya nchi, kitapaswa kuomba na kupata idhini ya Baraza kwa 8 Vibali vya kuajili wachezaji au wataalam wa kigeni Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) kujaza fomu maalum na kuiwasilisha katika Baraza kabla ya kuwasilisha maombi ya vibali vya kazi na makazi vinavyotolewa katika mamlaka zingine za Serikali. (2) Fomu ya maombi ya kibali vitu itaambatishwa na hicho vifuatavyo- na na (a) maelezo vielelezo sifa, vinavyothibitisha vigezo uwezo vilivyotumika katika kuamua kumleta mchezaji au mtaalamu husika hapa nchini; (b) rasimu ya mkataba kuingiwa unaokusudiwa baina ya klabu au chama na mchezaji au mtaalamu husika; (c) stakabadhi ya malipo ya maombi ya idhini husika kama ilivyoainishwa katika Jedwali kwenye Kanuni hizi. (3) mkataba utakaoingiwa na pande mbili chini ya kanuni hii rasimu utapaswa iliyowasilishwa katika Baraza chini ya kanuni ndogo ya (2) (b). kurandana na (4) Maombi yanapowasilishwa, Baraza litajiridhisha juu ya sifa, uwezo, vigezo ya mkataba rasimu uliowasilishwa na kutoa tamko katika kipindi cha siku saba (7) za kazi tangu kuwasilishwa kwa maombi husika. na (5) Idhini iliyotolewa chini ya kanuni hii haitatumika kwa klabu, chama au taasisi zaidi ya moja, endapo iliyoomba klabu, chama au taasisi 9 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) husika ikitaka kumwajiri haitakamilisha idhini makubaliano na mchezaji au mtaalam huyo kibali husika kitakoma kutumika. (6) Klabu, chama au taasisi au nyingine kumtumia mchezaji au mtaalam aliyeshindwa kukamilisha makubaliano na klabu, chama au taasisi nyingine iliyomleta nchini kitapaswa kuomba idhini upya kumtumia mchezaji au mtaalam huyo pamoja na kulipa tozo iliyoainishwa katika Jedwali la Kanuni hizi. (7) Itakuwa ni kosa kwa chama chochote kilichosajiliwa kwa mujibu wa Sheria kuajiri na kuanza kumtumia mchezaji au mtaalam wa kigeni pasipo kuzingatia masharti ya kanuni hii na inapothibitika Baraza litachukua hatua zifuatazo- (a) kutoa onyo la maandishi na kuamuru maombi husika kuwasilishwa katika Baraza; (b) kuamuru klabu, chama au taasisi husika kulipa faini iliyosainishwa katika Jedwali la Kanuni hizi; klabu (c) kuamuru kutoa ushauri kwa mamlaka zingine kuhusu vibali kwa mchezaji au mtaalam husika; na (d) kusitisha vibali shughuli vya kuendesha za michezo kwa klabu, chama hadi au watakapotekeleza masharti husika . husika taasisi (8) Masharti ya kanuni hii na wanamichezo hayatawahusu 10 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) wataalam wanaoingia nchini kwa utaratibu wa kutoa huduma za kujitolea kwa kufanya shughuli za michezo katika shule, vyuo, taasisi, asasi za au binafsi, au umma mashirikisho kupitia ya michezo makubaliano mbalimbali ya ushirikiano wa kimataifa. vyama - 32 Verify source ↗
(1) Baraza kwa kushirikiana
AI-assisted research summary: Baraza lazima litengeneze na kusasisha mwongozo wa kuajiri wachezaji wataalam wa michezo kutoka nje ya Tanzania, na lishirikiane kutengeneza mikataba elekezi ya ajira.
32.-(1) Baraza kwa kushirikiana na mamlaka zingine za Serikali, vyama vya michezo na wadau wengine wa michezo litaandaa na kuhuisha mara kwa mara mwongozo mahususi wa kuajiri wachezaji wataalam wa michezo kutoka nje ya Tanzania kwa ajili ya kuainisha sifa, uwezo na vigezo vya wachezaji na wataalam wanaokuja kutumikia nafasi mbalimbali katika sekta ya michezo nchini. Mwongozo wa za ajira wachezaji na wataalam wa kigeni ya ndogo (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni (1), Baraza litashirikiana na wadau kutengeneza mikataba au makubaliano elekezi ya kuajiri wachezaji, wataalam na wadhamini wa kada mbalimbali kutoka nje ya Tanzania ili wachezaji, vilabu, vyama, au mashirikisho yasiyoweza kutengeneza mikataba yao watumie mikataba hiyo elekezi. "Udhamini kuhodhi uthamini na haki ya matangazo ya televishen - 33 Verify source ↗
(1) Chama chochote cha
AI-assisted research summary: Baadhi ya vyama vya michezo vinavyotaka kuingia mikataba ya udhamini au haki za matangazo ya televisheni lazima viwasilishe rasimu ya mkataba kwa Baraza.
33.-(1) Chama chochote cha michezo kuingia kinachokusudia mkataba wa udhamini wa michezo au haki ya kuhodhi matangazo ya televisheni kwenye matukio ya michezo yanayoandaliwa chini yake, kinapaswa kuwasilisha katika Baraza nakala moja ya rasimu ya mkataba unaokusudiwa kuingiwa kwa ajili ya matumizi ya 11 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) Baraza. (2) kutekeleza Katika majukumu yake kwa mujibu wa Sheria na Kanuni hizi, Baraza litakuwa na rasimu ya mamlaka ya kuhakiki mkataba wowote ulioletwa chini ya kanuni ndogo ya (1), kwa lengo la, pamoja mengine, kujiridhisha juu ya- mambo na uwazi (a) kuzingatiwa kwa misingi ya Sheria na za ushindani wa kibiashara wa katika upatikanaji wa haki ya kuhodhi matangazo ya televisheni katika matukio ya michezo; mchakato (b) ubora wa viwango vya zitakazotolewa huduma katika sekta ya michezo; wa vyama (c) urari maslahi unaonufaisha wanamichezo, vilabu, au mashirikisho na unaolenga kudhibiti unyonyaji katika sekta ya michezo nchini; na (d) uzingatiaji wa miongozo au maelekezo mbalimbali ya Serikali katika makubaliano husika. (3) Vilabu au vyama vya tozo ya michezo vitapaswa kulipa uhakiki wa mikataba hiyo kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kanuni hizi isipokuwa tu kama mikataba hiyo inahusu Timu za Taifa. (4) Klabu, chama au taasisi yoyote itakayokiuka masharti yaliyotamkwa katika kanuni na hii ya michezo imetenda itakuwa kosa 12 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) Uendeshaji wa timu za Taifa za michezo mbalimbali Baraza inapothibitika kuchukua hatua zifuatazo: linaweza (a) kutoza faini iliyoainishwa katika Jedwali la Kanuni hizi; au (b) kusitisha utoaji wa vibali vya shughuli za michezo kwa klabu, chama au taasisi na husika mkataba huo. kuhusiana - 34 Verify source ↗
(1) Timu za Taifa za
AI-assisted research summary: Vyama na mashirikisho ya michezo vina wajibu wa kuunda timu za taifa inapohitajika, kuwasilisha mikataba ya udhamini na matangazo ya televisheni kwa Baraza kwa uthibitisho kabla ya utekelezaji, na havipaswi kuingia au kutekeleza mkataba huo bila uthibitisho wa Baraza.
34.-(1) Timu za Taifa za michezo mbalimbali michezo zitaundwa na vyama au mashirikisho ya michezo husika pale kunapokuwa na mahitaji ya kufanya hivyo. (2) Baraza litashirikiana na chama au shirikisho lililounda Timu ya Taifa katika kutafuta udhamini kwa ajili ya kusaidia uendeshaji wa shughuli za timu husika inaposhiriki mashindano ya kimataifa. (3) Vyama au mashirikisho yanayounda timu za Taifa yatakuwa na wajibu wa kuwasilisha katika Baraza mikataba ya udhamini na matangazo ya televisheni inayoingiwa kwa ajili ya timu za Taifa, ili iweze kuhakikiwa na Baraza kabla ya kuanza kutekelezwa. (4) Itakuwa ni kosa kwa chama au shirikisho lolote kuingia na kuanza kuutekeleza mkataba wowote unaohusu udhamini au matangazo ya televisheni kuhusiana na timu yoyote ya Taifa bila mkataba huo kuhakikiwa na Baraza, na inapobainika ukiukaji huo umetendeka Baraza litachukua hatua zifuatazo- (a) kuamuru kusitishwa kwa utekelezaji wa mkataba husika; (b) kusitisha utoaji au utumikaji wa 13 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) “Mchango wa michezo ya kubahatisha katika maendeleo michezo ya vibali vya michezo husika kwa chama au shirikisho husika. - 36 Verify source ↗
Baraza kwa kushirikiana na
AI-assisted research summary: Baraza, pamoja na mamlaka nyingine na wadau wa michezo ya kubahatisha, lazima liandae mpango wa kuwawezesha wadau kuchangia sekta ya michezo kupitia huduma kwa jamii.
36. Baraza kwa kushirikiana na mamlaka zingine pamoja na wadau wanaojishughulisha na biashara ya michezo ya kubahatisha litaandaa mpango utakaowezesha wadau wa tasnia hiyo kuchangia katika Sekta ya michezo kupitia utaratibu wa huduma kwa jamii ili kukuza maendeleo ya michezo mingine nchini.” Nyongeza Jedwali ya
Part
Jedwali
- 10 Verify source ↗
Kanuni Kuu zinarebishwa kwa kuongeza
AI-assisted research summary: This section updates the rules by adding a new fee schedule for several sports permits, appeals, sponsorship verification, TV-rights-related items, and some fines.
10. Kanuni Kuu zinarebishwa kwa kuongeza Jendwali jipya kama ifutavyo: 14 Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _________ (Limetungwa chni ya kanuni za 17,21,24,25,30,31,33 NA 34.) TOZO MBALIMBALI NA. KIFUNGU TOZO MAELEZO YA TOZO 1 17(1) na (2) Kibali cha kwenda nje ya nchi au kuingia Tanzania kwa ajili ya michezo ya kimataifa. 2 21(3)(b) Gawio kutoka katika mikataba ya udhamini na haki za matangazo ya televishen. 3 24(1) na (3) Rufaa 4 25(3) Kibali kuandaa cha matukio ya michezo na wakuzaji kwa mawakala wa ndani. 15 Kibali cha kwenda kufanya tukio nje ya nchi au kuingia kufanya michezo nchini kwa vilabu vya kulipwa, Kibali cha kwenda kufanya tukio nje ya nchi kwa mwanamichezo wa kulipwa. Kibali cha kwenda kufanya tukio nje ya nchi au kuingia nchini kwa ajili ya kufanya michezo kwa vyama na vilabu vya ridhaa. Vibali kwa wanamichezo kwenye au mashindano,matamasha taasisi za mabonanza ya Serikali, timu za Taifa, michezo ya wenye ulemavu. Itatolewa na vilabu, vyama, mashirikisho taasisi au zinazodhaminiwa. ajili ya wanaoenda Rufaa kwenda Kamati za michezo za Wilaya,Mkoa, Baraza na Waziri. Rufaa kwenda katika vyama vya michezo. Kibali cha kuandaa mbio za marathoni na mbio nyingine za barabarani za kimataifa hapa nchini. Kibali vya kuandaa mbio za marathoni na mbio nyingine za barabarani za kitaifa hapa nchini. KIWANG O CHA TOZO 200,000/= 50,000/= 20,000/= 1% ya thamani ya mkataba wa udhamini Hakuna tozo Kiwango kitapangwa kwa mujibu wa katiba za vyama husika. 1,000,000/ = 500,000/= Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) Kibali cha matukio mengine ya michezo ya kimataifa ambayo siyo marathoni. 200,000/= Kibali cha matukio mengine ya michezo kitaifa ambayo siyo marathoni. ya 100,000/= Maombi yatawasilishwa na mwenyeji wao. USD 500 5 25(3) 6 30(2) 7 30(3) 8 31(2)(c) 9 31(6) 10 31(7)(b) 11 33(4) Kibali kuandaa cha matukio ya michezo; kwa wakuzaji au wakala kutoka nje ya Tanzania Kuwasilisha mapato kwa Baraza endapo mchezo umeshuhudiwa kiingilio. Faini ya kutowasilisha mapato ya Baraza kwa wakati bila Maombi ya idhini ya kuajiri mchezaji au mtaalam kutoka nje ya nchi. Maombi ya idhini ya kuajiri mchezaji au mtaalam kutoka nje kwa ya Tanzania klabu ambayo haikumleta nchini ya nje Faini kukiuka masharti ya kuajiri mchezaji au mtaalam kutoka ya Tanzania. Uhakiki wa mikataba na ya udhamini Matangazo ya Televisheni na Itatolewa mtu, klabu,chama au shirikisho lililodhamini watazamaji kiingilio bila kuingia katika mchezo husika. chama Inalipwa kilichokiuka kupeleka mapato ya Baraza kwa wakati. na Idhini itaombwa na klabu, chama shirikisho au linalomuajiri. au Idhini itaombwa na klabu, chama shirikisho linalomchukua baada ya ameshindwa kuwa kukubaliana au amemaliza mkataba wake na au klab,chama shirikisho la awali. Italipwa na klabu,chama au shirikisho lililokiuka. Uhakiki utaombwa na anayedhaminiwa. 12 33(4)(a) ya Faini kukiuka uhakiki wa mikataba na udhamini ya Itatozwa kwa klab,chama,shirikisho au taasisi iliyodhaminiwa 16 500,000/= 1% ya fedha ambayo haijawasil ishwa USD 500 USD 1,000 USD 500. 1% ya mapato yatokanay na o mikataba husika. ya 2% thamani Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa Tangazo la Serikali Na. 739 (Linaendelea.) 13 34(3) ya matangazo televisheni Uhakiki wa mikataba ya na udhamini matangazo ya timu za Taifa Itawasilishwa na chama kinachodhaminiwa. ya mkataba Hakuna tozo Dodoma, 25 Agosti, 2020 HARRISON G MWAKYEMBE Waziri wa Habari, Utumaduni, Sanaa na Michezo 17
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Kanuni ya Marekebisho ya Baraza la Michezo la Taifa
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in