Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (“Kahama WSSA”) (ya kurekebisha bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira), 2019
Sehemu hii inaipa amri jina lake rasmi.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (“Kahama WSSA”) (ya kurekebisha bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira), 2019
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Sehemu hii inaipa amri jina lake rasmi. Amri hii inaanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe 1 Januari 2019. Kahama WSSA are amended in accordance with the First Schedule to this Order. Kahama WSSA must follow the approved-tariff conditions, including submitting a revised business plan to EWURA by 30 April 2019 or earlier and reporting on implementation and performance. This section repeals the use of two earlier orders and shows approved water-service fees, including a 20% connection charge basis and a statement that Kahama WSSA customers will not be charged a service fee.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (“Kahama WSSA”) (ya kurekebisha bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira), 2019
Showing 22 of 22
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaipa amri jina lake rasmi.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (“Kahama WSSA”)(ya Kurekebisha Bei za Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira), ya Mwaka 2018. Tarehe ya kuanza - 2 Verify source ↗
Amri hii itaanza kutekelezwa rasmi kuanzia
AI-assisted research summary: Amri hii inaanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe 1 Januari 2019.
2. Amri hii itaanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe 1 Januari 2019. Marekebisho ya bei - 3 Verify source ↗
Bei za majisafi na usafi wa mazingira za Kahama
AI-assisted research summary: Kahama WSSA are amended in accordance with the First Schedule to this Order.
3. Bei za majisafi na usafi wa mazingira za Kahama WSSA zinarekebishwa kulingana na Jedwali la Kwanza katika Amri hii. Masharti - 4 Verify source ↗
Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti
AI-assisted research summary: Kahama WSSA must follow the approved-tariff conditions, including submitting a revised business plan to EWURA by 30 April 2019 or earlier and reporting on implementation and performance.
4. Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti yafuatayo- 1 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi Wa Mazingira Kahama (“Kahama Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo La Serikali Na. 1 (linaendelea) (a) ifikapo tarehe 30 Aprili 2019 au kabla, Kahama WSSA itawasilisha EWURA Mpango wake wa Kibiashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Amri hii; (b) Kahama WSSA, kutumia mapato kwa yatokanayo na bei zilizoidhinishwa, itatekeleza miradi iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Amri hii; (c) Kahama WSSA itafikia viashiria vya utendaji kama ilivyooneshwa kwenye Jedwali la Tatu la Amri hii; (d) Kahama WSSA, kwa kila mwaka kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Amri ya bei na kila kifungu cha fedha gharama yaliyoidhinishwa; mahitaji katika (e) Kahama WSSA itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Kahama WSSA ikilinganishwa na Mamlaka nyingine za majisafi na Usafi wa Mazingira na uboreshaji wa huduma zake. Pia EWURA itazingatia tathmini hii katika kufanya maamuzi ya maombi yote yatakayowasilishwa na Kahama WSSA katika siku zijazo. ya Kutenguliwa kwa Amri - 5 Verify source ↗
Amri hii inatengua matumizi ya Amri Na. 13-008
AI-assisted research summary: This section repeals the use of two earlier orders and shows approved water-service fees, including a 20% connection charge basis and a statement that Kahama WSSA customers will not be charged a service fee.
5. Amri hii inatengua matumizi ya Amri Na. 13-008 ya tarehe 1 Januari 2014 na Amri ya Marekebisho Na. 015-019 ya tarehe 1 Novemba 2015. 2 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi Wa Mazingira Kahama (“Kahama Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo La Serikali Na. 1 (linaendelea) _______ JEDWALI LA KWANZA ________ BEI, ADA NA TOZO ZILIZOIDHINISHWA Jedwali Namba 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Wateja Wenye Dira (Shilingi/ Mita ya Ujazo) Kundi la Wateja 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 Bei za Sasa Bei Zilizoidhinishwa Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Migodi Kuosha Magari 1,015 1,235 1,300 1,400 1,235 1,970 1,880 1,688 2,060 2,165 2,327 2,000 3,275 3,125 1,888 2,320 2,450 2,601 2,000 3,670 3,493 2,069 2,540 2,660 2,850 2,000 4,031 3,800 Jedwali Namba 1(b): Tozo ya Huduma ya Sasa na Iliyoidhinishwa (Shilingi/Mwezi) Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Migodi Kuosha Magari Tozo ya Sasa Tozo Iliyoidhinishwa 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 2,500 4,000 4,500 4,500 500 80,000 4,500 Wateja wa Kahama WSSA hawatatozwa tozo ya huduma 3 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi Wa Mazingira Kahama (“Kahama Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo La Serikali Na. 1 (linaendelea) Jedwali Namba 1(c): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Maunganisho ya Maji Safi Kundi la Wateja Wateja Wapya Wote (Shilingi/Maunganisho) Ada ya Sasa Ada Iliyoidhinishwa 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 Asilimia ishirini ya gharama za maunganisho kama inavyojieleza katika sehemu ya 24 ya Kanuni za Maji za mwaka 2013 Asilimia ishirini ya gharama za maunganisho kama inavyojieleza katika sehemu ya 24 ya Kanuni za Maji za mwaka 2013 Jedwali Namba 1(d): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Kurejeshewa Huduma ya Maji Baada ya Kukatiwa (Shilingi/Kurejeshewa Huduma) Kundi la Wateja Ada ya Sasa Ada Iliyoidhinishwa Majumbani Institution Commercial Industrial Water Kiosk Mining Car Wash 2017/18 10,000 20,000 20,000 20,000 10,000 200,000 20,000 2018/19 15,000 30,000 30,000 30,000 20,000 200,000 30,000 2019/20 15,000 30,000 30,000 30,000 20,000 200,000 30,000 2020/21 15,000 30,000 30,000 30,000 20,000 200,000 30,000 Jedwali Namba 1 (e): Tozo za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kumwaga Majitaka katika Mabwawa ya Kahama WSSA (TZS/Ujazo wa Tangi la Gari) Ujazo wa Gari Tozo za Sasa Tozo Zilidhoidhinishwa Gari lenye tangi la ujazo wa 10m3 Gari lenye tangi la ujazo wa 5m3 Gari lenye tangi la ujazo wa 4m3 Gari lenye tangi la ujazo wa 3m3 2017/18 - - - - 2018/19 10,000 5,000 5,000 5,000 2019/20 10,000 2020/21 10,000 5,000 5,000 5,000 5,000 5,000 5,000 4 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi Wa Mazingira Kahama (“Kahama Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo La Serikali Na. 1 (linaendelea) ___________ JEDWALI LA PILI ___________ MIRADI ITAKAYOTOKELEZWA Kazi Zitakazofanywa Shilingi Milioni Mwisho Utekelezaji wa 2018/19 2019/20 2020/21 Ukarabati na Mabadilisho
Part
JEDWALI LA PILI
- 2
AI-assisted research summary: Kipande hiki kinaorodhesha kazi za ukarabati na usafishaji wa miundombinu ya maji, pamoja na tarehe ya 30 Juni 2021.
2.00 30 Juni 2021 Kukarabati kilango cha kutekea maji katika bwawa la Nyihogo Ukarabati wa visima vifupi Kuondoa matope katika bwawa ila kuongeza ujazo wake Kukarabati mfumo wa kutibu maji - 10
AI-assisted research summary: This section is titled “Kubadili tabidimeta (HACH0) na kipimaklorini (HACH)”.
10.00 Kubadili tabidimeta (HACH0) na kipimaklorini (HACH) - 10
AI-assisted research summary: 10.00 30 Juni 2021 30 Juni 2020 Kubadili kipimaklorini
10.00 30 Juni 2021 30 Juni 2020 Kubadili kipimaklorini - 5
AI-assisted research summary: Inataja kazi za matengenezo/ukarabati za matangi mawili ya kuhifadhia maji ya bwawa, kubadilisha bomba la 4" kwa kusafirisha maji, na kubadilisha pampu za kuongeza nguvu ya maji.
5.00 30 Juni 2021 Kukarabati matangi mawili kuhifadhia maji ya bwawa Kubadili bomba la 4" kwa ajili ya kusafirisha maji ya bwawa Kubadili pampu za kuongeza nguvu ya - 60
AI-assisted research summary: A section dated 30 June 2020 titled “Kubadili ubao wa kutawanya umeme.”
60.00 30 Juni 2020 Kubadili ubao wa kutawanya umeme - 1
AI-assisted research summary: This text lists pipe replacement and installation work items, including steel and plastic pipes, a new butterfly valve, and dabo collars with specified sizes.
1.00 Kubadili mabomba 10 ya chuma Kubadili DN 110-250 Kubadili mabomba ya plastiki Daraja D DN 1"-3" Kununua na kufunga vali kipepeo mpya 6 DN300-750mm Kununua na kufunga dabo kola 22 za DN 110-250mm PN12.5 - 7
AI-assisted research summary: This text contains only the section label and repeated date text; it does not state a rule or requirement.
7.00 30 Juni 2021 30 Juni 2021 30 Juni 2021 - 1
AI-assisted research summary: Kichwa pekee kinaonekana, kikitaja kubadili dira za malipo ya kabla.
1.00 30 Juni 2021 Kubadili dira za malipo ya kabla - 15
AI-assisted research summary: Replace all broken compasses by buying 250 new 3/4-inch compasses.
15.00 30 Juni 2021 Kubadili dira mbovu zote kwa kununua dira mpya 250 za 3/4" - 70
AI-assisted research summary: The text lists works to be carried out by Kahama WSSA, including replacing damaged water meters, repairing buildings and tanks, and fixing the computerized invoicing system.
70.00 30 Juni 2021 5 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi Wa Mazingira Kahama (“Kahama Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo La Serikali Na. 1 (linaendelea) Kazi Zitakazofanywa Shilingi Milioni Mwisho Utekelezaji wa Kubadili dira mbovu zote kwa kununua dira mpya 50 za 1" Kubadili dira mbovu zote kwa kununua dira mpya 800 za 1/2" Kubadili ofisi ya ulinzi Kukarabati jengo la busta, Kukarabati jengo la pampu Kukarabati jengo la bwela, Kukarabati matangi ya kutuamisha maji (Sed Tanks) Kukarabati jengo la wafanyakazi Kukarabati jengo la Watumishi Kubadili meza za ofisis Kubadili vidhibitivolti 8 vyenye uwezo tofauti Kurekebisha mfumo wa kompyuta wa kutolea ankara 2018/19 2019/20 2020/21 - 1
AI-assisted research summary: This provision text only shows the section number and dates; it does not state a substantive rule.
1.50 30 Juni 2020 30 Juni 2019 30 Juni 2019 30 Juni 2019 30 Juni 2019 30 Juni 2020 30 Juni 2020 30 Juni 2021 30 Juni 2021 - 5
AI-assisted research summary: Text fragment references 30 Juni 2021 and appears to mention a small amendment/repair-related item, but no clear rule is stated.
5.00 30 Juni 2021 Jumla Mabadilisho) ndogo (Ukarabati na - 8
AI-assisted research summary: This entry lists purchases and installation work dated 30 June 2021.
8.00 30 Juni 2021 30 Juni 2021 30 Juni 2021 Kununua na kufunga sluice gate DN160 20 mpya DN160 Kununua na kufunga sluice gate DN200 20 mpya Kununua na kufunga sluice gate DN250 20 mpya Kufunga flap valve 5 Kununua na Kufunga dira 6 za umeumesumaku kwa ajili ya kupima maji mengi (electromagnetic flow meters) Kununua dira za maji 50 mpya za 2" Kununua gari mpya moja - 8
AI-assisted research summary: Kahama Wssa is listed as the actor responsible for carrying out several water and sanitation works, including equipment purchases and expanding the water network to named areas.
8.00 6 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi Wa Mazingira Kahama (“Kahama Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo La Serikali Na. 1 (linaendelea) Kazi Zitakazofanywa Shilingi Milioni Mwisho Utekelezaji wa Kununua tarakirishi 8 na tarakirishi mpakato 6 Kununua mashine mbili za kisasa za kupiga chapa Kununua UPS mpya 5 Kununua pampu mpya ya kutolea maji Kununua jenereta la akiba kwa ajili ya tangi kuu Kutanua mtandao wa maji hadi Mhongolo, Lugera-Bomage, Nyashimbi, Mhongolo Magharibi, Mhungula downhill, na Mhungula hill Kutanua mtandao wa maji hadi Mhungula Mlimani, Mwanva Masaki na Nyakato Mikaratusi Kutanua mtandao wa maji hadi Kagongwa and Zongomera 2018/19 2019/20 2020/21 - 3
AI-assisted research summary: 3.00 30 Juni 2021 30 Juni 2021 30 Juni 2021
3.00 30 Juni 2021 30 Juni 2021 30 Juni 2021 - 293
AI-assisted research summary: This text is a heading about the total cost of a new investment, dated 30 June 2021.
293.92 30 Juni 2021 Jumla ndogo (Uwekezaji Mpya) Jumla ya Gharama za Uwekezaji - 877
AI-assisted research summary: This provision is a table of performance indicators for Kahama Wssa, showing targets for 2018/19 to 2020/21.
877.72 7 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi Wa Mazingira Kahama (“Kahama Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo La Serikali Na. 1 (linaendelea) ____________ JEDWALI LA TATU ____________ VIASHIRIA VYA UTENDAJI (2018/19 – 2020/21) Maelezo Uniti Lengo la Utendaji 2018/19 2019/20 2020/21 Idadi ya wateja wapya wa maji safi Kiwango cha upotevu wa maji Wateja wenye Dira Kiwango cha ufanisi katika ukusanyaji wa mapato Na % % % 1,786 14 100 90 1,986 14 100 90 1,757 14 100 90 Dodoma, ......................, 2018 NZINYANGWA E. MCHANY Mkurugenzi Mkuu 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (“Kahama WSSA”) (ya kurekebisha bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira), 2019
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in