AI-assisted research summary: This section revokes the application of an earlier 2016 order and lists approved water and wastewater fees, including rates for metered water, reconnection, sewage removal, and sewage emptying.
5. Amri hii inatengua matumizi ya Amri Na. 2016-002 ya tarehe 1 Februari 2016 ya bei za maji zinazotozwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Bukoba WSSA). 2 Kutenguliwa kwa Amri Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bukoba (“Bukoba Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo la Serikali Na. 4 (linaendelea) ____________ JEDWALI LA KWANZA ___________ BEI, ADA NA TOZO ZILIZOIDHINISHWA Jedwali Namba 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Wateja Wenye Dira (Shilingi/ Mita ya Ujazo) Makundi ya Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati BEI YA WASTANI Bei za Sasa Bei Zilizoidhinishwa Matumizi (mita za Ujazo) 0-5 >5-10 Zaidi ya 10 0-5 >5-10 Zaidi ya10 0-5 >5-10 Zaidi ya10 0-5 >5-10 Zaidi ya10 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 1,570 1,600 1,630 1,840 1,870 1,910 2,150 2,190 2,230 1,800 2,100 2,540 1,860 2,200 3,000 2,200 2,600 3,000 1,500 1,613 1,500 1,888 1,500 2,206 1,345 1,370 1,395 1,500 1,545 1,620 1,510 1,555 1,640 1,810 1,845 1,915 750 3 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bukoba (“Bukoba Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo la Serikali Na. 4 (linaendelea) Jedwali Namba 1(b): Tozo ya Huduma ya Sasa na Iliyoidhinishwa (Shilingi/Mwezi) Makundi ya Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Tozo ya Sasa Tozo Iliyoidhinishwa 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 3,000 4,500 5,000 5,000 Tozo ya Huduma imeondolewa Jedwali Namba 1(c): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Maunganisho ya Maji Safi (Shilingi/Maunganisho) Makundi ya Wateja Wateja Wote Ada ya Sasa Ada Iliyoidhinishwa 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 Asilimia ishirini ya gharama za maunganisho kama inavyojieleza katika sehemu ya 24 ya Kanuni za Maji za mwaka 2013 Asilimia ishirini ya gharama za maunganisho kama inavyojieleza katika sehemu ya 24 ya Kanuni za Maji za mwaka 2013 Jedwali Namba 1(d): Ada ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Kurejeshewa Huduma ya Maji Baada ya Kukatiwa (Shilingi/Kurejeshewa Huduma) Makundi ya Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa Ada Iliyoidhinishwa 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 10,000 20,000 30,000 60,000 10,000 20,000 30,000 60,000 10,000 20,000 30,000 60,000 10,000 20,000 30,000 60,000 Jedwali Namba 1(e): Tozo ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Uondoaji wa Majitaka (Shilingi/Tripu) Makundi ya Wateja Wateja Wote Tozo ya Sasa Tozo Iliyoidhinishwa 2017/18 100,000 2018/19 2019/20 2020/21 150, 000 150,000 150,000 4 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Bukoba (“Bukoba Wssa”) (ya Kurekebisha Bei Za Huduma Za Majisafi Na Usafi wa Mazingira), Tangazo la Serikali Na. 4 (linaendelea) Jedwali Namba 1(f): Tozo ya Sasa na Iliyoidhinishwa ya Umwagaji wa Majitaka (Shilingi/Tripu) Makundi ya Wateja Tozo ya Sasa Tozo Iliyoidhinishwa 2017/18 2018/19 2019/20 2020/21 Magari ya Aina Zote 7,000 7,000 7,000 7,000 ___________ JEDWALI LA PILI _____________ MIRADI ITAKAYOTOKELEZWA - MILIONI SHILINGI Maelezo ya Kazi zitakazofanyika 2018/19 2019/20 2020/21 Ukarabati na Mabadilisho ya Miundombinu Matengenzo makubwa ya mtambo wa kutibu maji kama vile kubadilisha nozzles, chujio. Kununua VFD (variable speed drives), mpya, Impellers and shafts kwa ajili ya pampu za kuzalisha maji. Jumla Ndogo (Ukarabati na Mabadilisho)