AMRI YA UANZISHAJI WA MFUKO WA WAKALA WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA, 2022
Sehemu hii inaorodhesha mada za Mfuko Maalum, ikiwemo uanzishaji, madhumuni, usimamizi, vyanzo vya fedha, mgawanyo, matumizi, na salio la ziada.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- AMRI YA UANZISHAJI WA MFUKO WA WAKALA WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA, 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Sehemu hii inaorodhesha mada za Mfuko Maalum, ikiwemo uanzishaji, madhumuni, usimamizi, vyanzo vya fedha, mgawanyo, matumizi, na salio la ziada. This section is about accounts, audit, and the annual report for the fund. This provision states the name of the order. Sehemu hii inaeleza maana ya baadhi ya maneno yaliyotumika katika Amri hii. A special fund called the TARURA Fund is established.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of AMRI YA UANZISHAJI WA MFUKO WA WAKALA WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA, 2022
Showing 14 of 14
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha mada za Mfuko Maalum, ikiwemo uanzishaji, madhumuni, usimamizi, vyanzo vya fedha, mgawanyo, matumizi, na salio la ziada.
2. Jina. Tafsiri. SEHEMU YA PILI UANZISHAJI WA MFUKO MAALUM Uanzishaji. Madhumuni ya Mfuko. Majukumu ya Mfuko. Usimamizi na uongozi wa Mfuko. Vyanzo vya fedha. Mgawanyo wa fedha. Matumizi ya fedha. Salio la ziada.
Part
SEHEMU YA PILI
- 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This section is about accounts, audit, and the annual report for the fund.
12. Hesabu, ukaguzi na taarifa ya mwaka. 1 Amri ya Uanzishaji wa Mfuko wa Wakala wa Barabara Vijijini Na Mijini Tanzania Tangazo la serikali na 428 (linaendelea) SHERIA YA FEDHA ZA UMMA, (SURA YA 348) _____ AMRI _____ (Imetengenezwa chini ya kifungu cha 17 (1)) AMRI YA UANZISHAJI WA MFUKO WA WAKALA WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA, 2022 SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI Jina - 3 Verify source ↗
Unaanzishwa Mfuko Maalum utakaojulikana
AI-assisted research summary: A special fund called the TARURA Fund is established.
3. Unaanzishwa Mfuko Maalum utakaojulikana kama Mfuko wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini Tanzania au kwa kifupi “MFUKO WA TARURA”. - 4 Verify source ↗
Madhumuni ya Mfuko yatakuwa ni
AI-assisted research summary: Mfuko una madhumuni ya kukusanya rasilimali na kufadhili maendeleo na ukarabati wa mtandao wa barabara mijini na vijijini.
4. Madhumuni ya Mfuko yatakuwa ni- (a) kukusanya rasilimali na kugharamia maendeleo na kukarabati mtandao wa barabara mijini na vijijini; na (b) kukusanya rasilimali na kugharamia shughuli inayoendana moja kwa moja au yoyote inayohusiana na maendeleo na ukarabati wa mtandao wa barabara vijijini na mijini. Majukumu ya Mfuko - 5 Verify source ↗
Majukumu ya Mfuko yatakuwa ni kugharamia
AI-assisted research summary: Mfuko unatakiwa kugharamia shughuli mbalimbali za barabara, ikiwemo maendeleo, matengenezo, ukarabati, uboreshaji na usimamizi wa miundombinu ya barabara.
5. Majukumu ya Mfuko yatakuwa ni kugharamia- (a) maendeleo na matengenezo ya mtandao wa barabara vijijini na mijini; (b) ukarabati na uboreshaji wa mtandao wa barabara vijijini na mijini; (c) uanzishaji, ukarabati na uhuishaji wa mifumo ya usimamizi wa barabara; (d) marekebisho ya dharura, uboreshaji wa viraka, ukarabati, uongezaji wa hadhi na ujenzi wa barabara; (e) uboreshaji wa usalama wa barabara na usimamizi wa madhara ya mazingira katika mtandao wa barabara; (f) uanzishaji na uendeshaji wa mizani na udhibiti wa uzito wa gari katika mtandao wa barabara vijijini na mijini; (g) utoaji wa msaada wa kitaalam, usimamizi, uhakiki wa ubora na udhibiti kuhusiana na mtandao wa barabara vijijini na mijini; (h) utengaji na ulinzi wa maeneo ya akiba ya barabara; (i) ufanyaji wa utafiti kwa madhumuni ya kusaidia mpango wa Wakala wa shughuli za maendeleo na ukarabati; na 3 Amri ya Uanzishaji wa Mfuko wa Wakala wa Barabara Vijijini Na Mijini Tanzania Tangazo la serikali na 428 (linaendelea) (j) shughuli za usimamizi, ufuatiliaji na shughuli nyingine zinazohusiana na kazi za barabara. Usimamizi na uongozaji wa Mfuko TS Na. 211 ya 2017 Vyanzo vya fedha za Mfuko TS Na. 211 ya 2017 Sura. 220 - 6 Verify source ↗
Mfuko utasimamiwa na kuongozwa na Mtendaji
AI-assisted research summary: Mfuko utasimamiwa na kuongozwa na Mtendaji Mkuu, ambaye pia atakuwa afisa masuuli wa Mfuko.
6. Mfuko utasimamiwa na kuongozwa na Mtendaji Mkuu ambaye atakuwa ni afisa masuuli wa Mfuko na idadi ya watumishi watakaoteuliwa au kupangiwa katika makundi mbalimbali kwa mujibu wa Amri ya Uanzishaji Wakala za Serikali (Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania), 2017. - 7 Verify source ↗
Vyanzo vya fedha za Mfuko, vitakuwa ni pamoja
AI-assisted research summary: The Fund’s money comes from the listed sources, including Parliamentary allocations, the road and fuel levy on petrol and diesel, and other amounts received by the Fund.
7. Vyanzo vya fedha za Mfuko, vitakuwa ni pamoja na vyanzo vilivyoainishwa chini ya Amri ya Wakala za Serikali (Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini Tanzania) 2017, vikijumuisha- (a) fedha kama zitakavyotengwa na Bunge kwa madhumuni ya Mfuko; (b) ushuru wa barabara na mafuta uliowekwa kwenye petroli na dizeli na zilizotengwa kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini kwa mujibu wa kifungu cha 4A cha Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta; na (c) kiasi kingine kutoka vyanzo vingine kama kitavyopokelewa na Mfuko. Mgawanyo wa fedha - 8 Verify source ↗
(1) Fedha zilizowekwa katika Mfuko zitatumika
AI-assisted research summary: Fedha zilizowekwa katika Mfuko lazima zitumike kwa miradi ya kipaumbele ya barabara, na kugawanywa kwa sehemu zilizoainishwa kwa ujenzi wa barabara, ujenzi wa dharura, na shughuli za kiutawala na ufuatiliaji.
8.-(1) Fedha zilizowekwa katika Mfuko zitatumika katika kulipia miradi stahiki ya kipaumbele ya barabara. 4 Amri ya Uanzishaji wa Mfuko wa Wakala wa Barabara Vijijini Na Mijini Tanzania Tangazo la serikali na 428 (linaendelea) Matumizi ya fedha (2) Bila kuathiri aya ndogo ya (1) fedha zitatengwa kwa namna ifuatayo- (a) angalau asilimia tisini ya fedha zilizowekwa katika Mfuko zitatumika kwenye ujenzi wa barabara; (b) sio zaidi ya asilimia tano ya fedha zilizowekwa katika Mfuko zitatumika kwa ujenzi wa dharura au haraka wa barabara kwa kibali cha Katibu Mkuu; na (c) sio zaidi ya asilimia tano ya fedha zilizowekwa katika Mfuko zitatumika kwa ajili ya shughuli za kiutawala, ufuatiliaji na shughuli nyingine zinazohusiana na kazi za barabara. - 9 Verify source ↗
(1) Katibu Mkuu atawajibika kuidhinisha
AI-assisted research summary: Katibu Mkuu lazima aidhinishe Mpango Mkakati, Mpango wa Biashara na Bajeti ya Mwaka ya TARURA.
9.-(1) Katibu Mkuu atawajibika kuidhinisha Mpango Mkakati, Mpango wa Biashara na Bajeti ya Mwaka ya TARURA. (2) Kwa madhumuni ya aya ndogo ya (1), matumizi hayataweza kufanyika isipokuwa chini ya mamlaka ya hati iliyotolewa na Katibu Mkuu mwenyewe kwenda kwa Mtendaji Mkuu. (3) Hati chini ya aya hii haitatolewa kuhusiana na mwaka wowote wa fedha isipokuwa makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko kwa mwaka wa fedha yaliyoidhinishwa na Waziri yamewasilishwa mbele ya Bunge: Isipokuwa kwamba, makadirio mengine ya mapato na matumizi ya Mfuko yaliyoidhinishwa na Katibu Mkuu na kuridhiwa na Waziri, ambayo mgao wake hauhitaji hati ya malipo, hautawasilishwa mbele ya Bunge. Salio la ziada - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Money, accumulated balances, and other funds at the end of the financial year remain in the Fund for its establishment purpose.
10. Mapato, malimbikizo na fedha nyingine mwishoni wa mwaka wa fedha zitabaki katika Mfuko kwa madhumuni ya uanzishwaji wake. Mwaka wa fedha wa Mfuko Hesabu, - 11 Verify source ↗
Mwaka wa fedha wa Mfuko utakuwa ni kipindi
AI-assisted research summary: The Fund’s financial year is a one-year period ending on 30 June.
11. Mwaka wa fedha wa Mfuko utakuwa ni kipindi cha mwaka mmoja unaoishia tarehe 30 Juni. - 12 Verify source ↗
(1) Mtendaji Mkuu ndani ya miezi mitatu ya
AI-assisted research summary: Mtendaji Mkuu must prepare annual financial statements within three months, follow approved accounting standards, sign them, and send them to the Controller and Auditor General with a copy to the Secretary General.
12.-(1) Mtendaji Mkuu ndani ya miezi mitatu ya 5 Amri ya Uanzishaji wa Mfuko wa Wakala wa Barabara Vijijini Na Mijini Tanzania Tangazo la serikali na 428 (linaendelea) ukaguzi na taarifa ya mwaka mwisho wa kila mwaka wa fedha, ataandaa taarifa za fedha kwa kuzingatia Viwango vya Hesabu vya Kimataifa na Kanuni za Jumla za Hesabu zinazokubalika na kuridhiwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi. (2) Hesabu zitaandaliwa kwa mujibu wa viwango vilivyotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakuguzi na zitasainiwa na Mtendaji Mkuu na kuwasilishwa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na nakala kwa Katibu Mkuu. Dodoma, 10 Juni, 2022 MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU Waziri wa Fedha na Mipango 6
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Uanzishaji wa
AI-assisted research summary: This provision states the name of the order.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Uanzishaji wa Mfuko wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania, 2022. Tafsiri Sura. 348 TS Na. 211 ya 2017 TS Na. 211 ya 2017 - 2 Verify source ↗
Katika Amri hii isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza maana ya baadhi ya maneno yaliyotumika katika Amri hii.
2. Katika Amri hii isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Sheria” maana yake ni Sheria ya Fedha za Umma; “Wakala” maana yake ni Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania iliyoanzishwa chini ya Amri ya Uanzishaji Wakala za Serikali (Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania), 2017; “Mtendaji Mkuu” maana yake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania aliyeteuliwa kwa mujibu wa Amri ya Uanziahaji wa Wakala za Serikali (Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania), 2017; “Mfuko” maana yake ni Mfuko wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania ulioanzishwa chini ya aya ya 3; “Waziri” maana yake ni Waziri mwenye dhamana na masuala ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini Tanzania; na “Katibu Mkuu” maana yake ni Katibu Mkuu mwenye dhamana na masuala ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini Tanzania. 2 Amri ya Uanzishaji wa Mfuko wa Wakala wa Barabara Vijijini Na Mijini Tanzania Tangazo la serikali na 428 (linaendelea) Uanzishaji Madhumuni ya Mfuko SEHEMU YA PILI UANZISHAJI WA MFUKO MAALUM
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
AMRI YA UANZISHAJI WA MFUKO WA WAKALA WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA, 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in