KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE (MAREKEBISHO YA NYONGEZA YA NANE) ZA MWAKA 2023
These rules are to be known by the stated title and read together with the June 2020 Standing Orders, which are referred to here as the “main rules.”
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE (MAREKEBISHO YA NYONGEZA YA NANE) ZA MWAKA 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These rules are to be known by the stated title and read together with the June 2020 Standing Orders, which are referred to here as the “main rules.” This section amends the main rules by deleting the Eighth Schedule and replacing it with a new Eighth Schedule. This section lists the non-sectoral standing committees: the Steering Committee, the Parliamentary Standing Orders Committee, and the Parliamentary Rights, Ethics and Powers Committee. The Steering Committee advises the Speaker on Parliament’s efficient operations and may set deadlines for matters referred to it. Section 3 sets the membership, chairing, duties, and quorum rules for the Parliamentary Rules Committee.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE (MAREKEBISHO YA NYONGEZA YA NANE) ZA MWAKA 2023
Showing 17 of 17
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Kudumu
AI-assisted research summary: These rules are to be known by the stated title and read together with the June 2020 Standing Orders, which are referred to here as the “main rules.”
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Kudumu za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) za Mwaka 2023 na yatasomwa pamoja na Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Juni, 2020, ambazo katika Kanuni hizi zitarejewa kama “Kanuni kuu”. Marekebisho ya Nyongeza ya Nane - 2 Verify source ↗
Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Nyongeza
AI-assisted research summary: This section amends the main rules by deleting the Eighth Schedule and replacing it with a new Eighth Schedule.
2. Kanuni kuu zinarekebishwa kwa kufuta Nyongeza ya Nane na badala yake kuweka Nyongeza ya Nane mpya ifuatayo: 1 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) “______ NYONGEZA YA NANE ______ KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ________ (Chini ya Kanuni ya 137) ________ SEHEMU YA KWANZA KAMATI ZA KUDUMU ZISIZO ZA SEKTA Kamati za Kudumu zisizo za kisekta Muundo na majukumu ya Kamati ya Uongozi
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Kamati za Kudumu zisizo za
AI-assisted research summary: This section lists the non-sectoral standing committees: the Steering Committee, the Parliamentary Standing Orders Committee, and the Parliamentary Rights, Ethics and Powers Committee.
1. Kamati za Kudumu zisizo za Kisekta zitakuwa zifuatazo: (a) Kamati ya Uongozi; (b) Kamati ya Kanuni za Bunge; na (c) Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. - 2 Verify source ↗
(1) Kamati ya Uongozi itakuwa na
AI-assisted research summary: The Steering Committee advises the Speaker on Parliament’s efficient operations and may set deadlines for matters referred to it.
2.-(1) Kamati ya Uongozi itakuwa na Wajumbe wafuatao: (a) Spika, ambaye atakuwa Mwenyekiti; (b) Naibu Spika, ambaye atakuwa Makamu Mwenyekiti; (c) Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni au Mwakilishi wake; (d) Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Walio Wachache Bungeni au Mwakilishi wake; (e) Mwanasheria Mkuu wa Serikali; na (f) Wenyeviti wa Kamati Kudumu au Makamu wao. Katibu atakuwa Katibu wa (2) za Kamati. 2 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) (3) Majukumu ya Kamati ya Uongozi yatakuwa ni kujadili na kumshauri Spika kuhusu mambo yote yanayohusu uendeshaji bora wa Shughuli za Bunge, na utaratibu wa kurahisisha uendeshaji wa Shughuli za Bunge au za Kamati yoyote. (4) Katika kutekeleza kazi zilizotajwa katika fasili ya (3), Kamati ya Uongozi itakuwa na uwezo wa kuweka muda ambao shughuli yoyote iliyopelekwa katika Kamati inayohusika sharti ikamilike, na iwapo shughuli iliyopelekwa imewekewa muda kama huo, basi baada ya kuisha muda huo au baada ya kuisha muda wowote inayohusika Kamati ulioongezwa, itahesabiwa kuwa imemaliza shughuli hiyo, na shughuli hiyo itaendelea kwenye hatua nyingine kana kwamba Mwenyekiti wa Kamati hiyo amemuarifu Spika kumalizika kwa shughuli hiyo. Muundo na Majukumu ya Kamati ya Kanuni za Bunge - 3 Verify source ↗
(1) Kamati ya Kanuni za Bunge
AI-assisted research summary: Section 3 sets the membership, chairing, duties, and quorum rules for the Parliamentary Rules Committee.
3.-(1) Kamati ya Kanuni za Bunge itakuwa na Wajumbe wafuatao: ambaye (a) Spika atakuwa Mwenyekiti; (b) Naibu Spika ambaye atakuwa Makamu Mwenyekiti; (c) Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Walio Wachache Bungeni au Mwakilishi wake; (d) Wenyeviti wa Bunge; (e) Mwanasheria Mkuu wa Serikali; na (f) Wajumbe wengine watakaoteuliwa na Spika. (2) Vikao vya Kamati ya Kanuni za Bunge vitaongozwa na Spika, na kama Spika hayupo, vitaongozwa na Naibu Spika. 3 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) (3) Majukumu ya Kamati ya Kanuni za Bunge yatakuwa ni- (a) kujadili na kutoa mapendekezo juu ya kufanya marekebisho au mabadiliko katika Kanuni; lolote pendekezo (b) kuchunguza na kutoa taarifa juu ya la mabadiliko katika Kanuni za Kudumu ambalo za Bunge limepelekwa kwa Kamati hiyo na Spika au na Mbunge yeyote; (c) kuchunguza na kutoa taarifa kuhusu malalamiko dhidi ya Uamuzi wa Spika ambayo yamepelekwa kwenye Kamati hiyo na Spika; (d) kwa kushauriana na Spika, kuzifanyia marekebisho au mabadiliko Nyongeza za Kanuni; (e) kumshauri Spika kuhusu masuala ya ukiukwaji wa Kanuni au suala lolote linalohusu utaratibu; na (f) kushughulikia malalamiko dhidi ya matokeo uchaguzi unaofanyika kwa mujibu wa Nyongeza ya Pili ya Kanuni hizi. (4) Akidi ya kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge itakuwa ni nusu ya wajumbe waliotajwa katika Kifungu cha 3(1) (c), (d), (e) na (f). ya - 4 Verify source ↗
(1) Kamati ya Haki, Maadili na
AI-assisted research summary: The committee must handle specified ethics, privileges, and powers matters, and the Speaker must be informed in writing when the committee finishes.
4.-(1) Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge itatekeleza majukumu yafuatayo: (a) kuchunguza na kutoa mapendekezo kuhusu masuala yote ya haki, kinga na madaraka ya Bunge yatakayopelekwa na Spika; 4 Majukumu ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) (b) kushughulikia mambo yanayohusu maadili ya Wabunge yatakayopelekwa na Spika; na (c) kushughulikia shauri linalomhusu Mbunge anayewakilisha Bunge kwenye chombo kingine cha uwakilishi au Mjumbe wa Bunge la Afrika Mashariki. (2) Kamati itakapokamilisha kushughulikia jambo husika, Mwenyekiti wa Kamati atamjulisha Spika kwa maandishi kwamba, Kamati imemaliza kujadili jambo husika. (3) Spika baada ya kupokea taarifa hiyo, ataagiza iwekwe kwenye orodha ya Shughuli ya za Bunge kuwasilishwa na kujadiliwa Bungeni. kwa ajili SEHEMU YA PILI KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA KISEKTA Kamati za Kudumu za kisekta
Part
SEHEMU YA PILI
- 5 Verify source ↗
Kamati za Kudumu za Bunge za
AI-assisted research summary: This provision lists the standing sectoral committees of Parliament.
5. Kamati za Kudumu za Bunge za Kisekta zitakuwa zifuatazo: (a) Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo, Mifugo; (b) Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria; (c) Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama; (d) Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; (e) Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii; (f) Kamati ya Maji na Mazingira; (g) Kamati ya Elimu, Utamaduni na Michezo; (h) Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii; (i) Kamati ya Afya na Masuala ya 5 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) UKIMWI; (j) Kamatiya Miundombinu; na (k) Kamatiya Nishati na Madini. Kamati na shughuli za Wizara - 6 Verify source ↗
(1) Kamati ya Viwanda, Biashara,
AI-assisted research summary: Hii kipengele kinaweka kamati za Bunge zenye wajibu wa kusimamia shughuli za wizara na ofisi mbalimbali za serikali.
6.-(1) Kamati ya Viwanda, Biashara, itasimamia Wizara Kilimo na Mifugo zifuatazo: (a) Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara; (b) Wizara ya Kilimo; na (c) Wizara ya Mifugo na Uvuvi. (2) Kamati ya Utawala, Katiba na itasimamia shughuli za Wizara Sheria zifuatazo: (a) Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora; (b) Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano; (c) Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Uratibu na Bunge; na (d) Wizara ya Katiba na Sheria. (3) Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama itasimamia shughuli za Wizara zifuatazo: (a) Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki; la (b) Wizara yaUlinzi na Jeshi Kujenga Taifa; na (c) Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. (4) Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa itasimamia shughuli za Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. (5) Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii itasimamia shughuli za Wizara zifuatazo: 6 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) (a) Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu; na (b) Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. (6) Kamati ya Maji na Mazingira itasimamia shughuli za Wizara zifuatazo: (a) Wizara ya Maji; na (b) Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira. (7) Kamati ya Elimu, Utamaduni na Michezo itasimamia shughuli za Wizara zifuatazo: (a) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia; na (b) Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. (8) Kamati ya Ardhi, Maliasili na shughuli za Wizara itasimamia Utalii zifuatazo: (a) Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; na (b) Wizara ya Maliasili na Utalii. (9) Kamati ya Afya na Masuala ya UKIMWI itasimamia shughuli za: (a) Wizara ya Afya; na (b) Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania. (10) Kamati ya Miundombinu itasimamia shughuli za Wizara zifuatazo: (a) Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi; na (b) Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. (11) Kamati ya Nishati na Madini itasimamia shughuli za Wizara zifuatazo: (a) Wizara ya Nishati; na (b) Wizara ya Madini. 7 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) Majukumu ya jumla ya Kamati za Sekta - 7 Verify source ↗
(1) Majukumu ya Kamati ya
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaeleza majukumu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge za Sekta, ikiwemo kushughulikia bajeti, miswada na mikataba, taarifa za utendaji, na kufuatilia utekelezaji wa wizara zinazosimamia.
7.-(1) Majukumu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge za Sekta yatakuwa yafuatayo: (a) kushughulikia bajeti ya Wizara inazozisimamia; (b) kushughulikia Miswada ya Sheria na Mikataba inayopendekezwa kuridhiwa na Bunge iliyo chini ya Wizara inazozisimamia; (c) kushughulikia Taarifa za utendaji za kila mwaka za Wizara hizo; na (d) kufuatilia utekelezaji unaofanywa na Wizara hizo (2) Bila kuathiri majukumu ya jumla ya Kamati za kisekta kama yalivyoainishwa katika fasili ya (1) Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama itatekeleza pia majukumu yafuatayo:- (a) kuimarisha ushirikiano kati ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mabunge ya nchi nyingine; taarifa (b) kufuatilia mwenendo na hali ya mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika; (c) kushughulikia za wawakilishi wa Tanzania katika la Jumuiya ya Afrika Bunge Mashariki, ya Jumuiya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika na Bunge la Afrika; (d) kushughulikia Taarifa zote za wawakilishi Vyama mbalimbali vya kibunge ambapo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanachama; na (e) kushughulikia taarifa za hali ya katika 8 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi na usalama wa raia na mali zao. SEHEMU YA TATU KAMATI ZA SEKTA MTAMBUKA Kamati za Sekta Mtambuka
Part
SEHEMU YA TATU
- 8 Verify source ↗
Kamati za Sekta Mtambuka
AI-assisted research summary: This section lists the cross-sector committees and begins the description of the Budget Committee’s duties.
8. Kamati za Sekta Mtambuka zitakuwa zifuatazo: (a) Kamati ya Bajeti; (b) Kamati ya Sheria Ndogo; na (c) Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma. Majukumu ya Kamati ya Bajeti - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Kamati ya Bajeti lazima itekeleze majukumu ya kusimamia, kuchambua, kujadili, kutoa maoni na ushauri kuhusu masuala ya bajeti ya Serikali.
9. Isipokuwa kama imeelekezwa vinginevyo katika Kanuni hizi, Kamati ya Bajeti itatekeleza majukumu yafuatayo: (a) kusimamia shughuli za Wizara ya Fedha na Mipango; (b) kujadili na kutoa maoni na ushauri kuhusu uandaaji wa mwongozo wa kutayarisha Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa kila mwaka; na ya Mapato (c) kutathmini kuchambua na Makadirio Matumizi ya Serikali ya kila mwaka yatokanayo na vyanzo vya kodi na vyanzo vingine visivyo vya kodi; kusimamia na utekelezaji wa Bajeti ya Serikali; (e) kuchambua na kushauri kuhusu Sheria Miswada inayowasilishwa Bungeni yenye madhumuni ya kuongeza au kupunguza mapato na Bajeti ya Serikali; (d) kufuatilia ya (f) kufanya utafiti na uchambuzi 9 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) kuhusu sera za kodi, sera za fedha, na sera za kiuhasibu zilizopendekezwa na Serikali; (g) kujadili na kutoa maoni na ushauri kuhusu vyanzo vya na mapato ya za mapendekezo wa kupunguza kibajeti; utegemezi Serikali hatua ya Majukumu ya Kamati ya Sheria Ndogo (h) kutoa ushauri wa jumla kuhusu Bajeti ya Serikali kwa Bunge na Kamati za Kudumu za Bunge; (i) kuchambua na kutoa maoni na ushauri kuhusu Mpango wa Taifa Maendeleo unaopendekezwa na Serikali; na (j) kuchambua hoja zitakazojitokeza kwenye Kamati za Bunge za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa ajili ya kuishauri Serikali. wa - 10 Verify source ↗
(1) Kamati ya Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: The Committee for Standing Orders reviews by-laws for compliance, and the Speaker may then direct the committee’s analysis report to be scheduled for Parliament’s business list.
10.-(1) Kamati ya Sheria Ndogo itakuwa na majukumu ya kuchambua Sheria Ndogo iwapo zimekidhi matakwa na masharti ya Katiba, sheria inayotekelezwa na sheria ndogo husika pamoja na sheria nyingine za nchi. ili kujiridhisha (2) Kamati itakapokamilisha kazi kwa mujibu wa fasili ya (1), Mwenyekiti atamjulisha Spika kwa maandishi. (3) Spika, baada ya kupokea taarifa chini ya fasili ya (2), anaweza kuelekeza Taarifa ya Uchambuzi wa Kamati iwekwe kwenye orodha ya Shughuli za Bunge kwa ajili ya kuwasilishwa na kujadiliwa Bungeni. Majukumu ya Kamati ya - 11 Verify source ↗
(1) Majukumu ya Kamati ya
AI-assisted research summary: Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma lazima ichambue utekelezaji wa miradi ya uwekezaji wa umma na ijadili taarifa za uwekezaji katika mashirika ya umma na kampuni zenye hisa za Serikali.
11.-(1) Majukumu ya Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma yatakuwa 10 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) Uwekezaji wa Mitaji ya Umma kama ifuatavyo: (a) kuchambua na kubaini iwapo utekelezaji wa miradi ya uwekezaji wa umma una ufanisi na kuwa umezingatia taratibu na sheria na miongozo mujarabu ya biashara; na (b) kuchambua na kujadili uwekezaji taarifa zinazohusu katika mashirika ya umma na kampuni ambazo Serikali ina hisa. (2) Msingi wa kazi za Kamati utatokana na taarifa zinazohusu uwekezaji katika mashirika ya umma na kampuni ambazo Serikali ina hisa. SEHEMU YA NNE KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZINAZOSIMAMIA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA Kamati za Kudumu za Bunge zinazosimamia matumizi ya fedha za umma
Part
SEHEMU YA NNE
- 12 Verify source ↗
Kamati za Kudumu za Bunge
AI-assisted research summary: Bunge inaweka kamati mbili za kudumu zinazohusiana na usimamizi wa matumizi ya fedha za umma: Kamati ya Hesabu za Serikali na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa.
12. Kamati za Kudumu za Bunge zinazosimamia matumizi ya fedha za umma zitakuwa zifuatazo: (a) Kamati ya Hesabu za Serikali; na (b) Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa. Majukumu ya Kamati ya Hesabu za Serikali - 13 Verify source ↗
Majukumu ya Kamati za Hesabu
AI-assisted research summary: Kamati za Hesabu za Serikali lazima zichunguze maeneo ya matumizi mabaya ya fedha za umma, zifuatilie utekelezaji wa mapendekezo yao, na zitoe mapendekezo na ushauri kwa wizara na mashirika ya umma kuhusu matumizi mazuri ya fedha.
13. Majukumu ya Kamati za Hesabu za Serikali yatakuwa yafuatayo: (a) kushughulikia maeneo yenye matumizi mabaya ya fedha za umma katika Wizara za Serikali na mashirika umma yaliyoainishwa katika Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali; ya (b) kufuatilia utekelezaji wa mapendekezo yaliyokwishatolewa na Kamati ili kuondoa matatizo 11 Kanuni Za Kudumu Za Bunge (Marekebisho ya Nyongeza ya Nane) Tangazo la Serikali Na. 37A (Linaendelea.) yaliyobainika kwa mujibu wa kanuni hii; na (c) kutoa mapendekezo na ushauri kwa Wizara za Serikali na Mashirika ya Umma kuhusu matumizi mazuri ya fedha ili kupunguza matumizi mabaya ya fedha za Umma. za Umma - 14 Verify source ↗
Majukumu ya Kamati ya Hesabu za
AI-assisted research summary: The Local Government Accounts Committee must address misuse of local government funds, follow up on its recommendations, and advise local governments on proper spending.
14. Majukumu ya Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa yatakuwa kama ifuatavyo: (a) kushughulikia maeneo yenye matumizi mabaya ya fedha za Serikali za Mitaa yaliyoainishwa katika Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali; (b) kufuatilia utekelezaji wa mapendekezo yaliyokwishatolewa na Kamati ili kuondoa matatizo hayo; na (c) kutoa mapendekezo na ushauri kwa Serikali za Mitaa kuhusu matumizi mazuri ya ili kuhakikisha kwamba, tatizo la matumizi mabaya ya fedha za Umma linapungua. fedha - 15 Verify source ↗
Msingi wa kazi za Kamati ya Hesabu
AI-assisted research summary: Heading about the basis of the work of the Government Accounts Committee and the Local Government Accounts Committee.
15. Msingi wa kazi za Kamati ya Hesabu za Serikali na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa za Hesabu zilizokaguliwa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.”. na Taarifa utatokana Majukumu ya Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Msingi wa kazi za Kamati ya Hesabu za Serikali na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Dodoma, 7 Februari, 2023 TULIA ACKSON, Spika wa Bunge 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE (MAREKEBISHO YA NYONGEZA YA NANE) ZA MWAKA 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in