jpiego vslydia tirweshobwa 2021 tzhcld 57 10 machi 2021
Applicant failed to prove valid reason for termination and did not follow fair procedure; evidence was insufficient to substantiate allegations against respondent. Compensation for unfair termination is warranted.
Source-derived case information.
- Citation
- jpiego vslydia tirweshobwa 2021 tzhcld 57 10 machi 2021
- Parties
- Applicant: Jhpiego; Respondent: Lydia Tirweshobwa
- Court
- TANZLII
- Jurisdiction
- Tanzania
- Judgment Date
- 1 January 2021
- Procedural Posture
- Application for Revision / Final Judgment
- Outcome
- application dismissed
- Legal Topics
- Unfair Termination, Compensation, Burden of Proof, Procedural Fairness
- Source Language
- en
Source-derived case record
Summary, issues, holding and outcome
More case intelligence is available
Unlock the full research layer for this judgment.
Parties
Jhpiego
Applicant
Lydia Tirweshobwa
Respondent
Procedural Posture
Application for Revision / Final Judgment
Legal Issues
- 1 whether the applicant had valid reason and followed procedure in terminating the respondent
- 2 entitlement to compensation for unfair termination
Ratio Decidendi
Applicant failed to prove valid reason for termination and did not follow fair procedure; evidence was insufficient to substantiate allegations against respondent. Compensation for unfair termination is warranted.
Court Disposition
application dismissed
Orders
- application for revision is dismissed for lack of merit
Full Case Text
Judgment text and source record
1 paragraphs
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA YA TANZANIA MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA KAZI DAR ES SALAAM. MAOMBI YA MAREJEO NA. 545/2019 BAINAYA JHPIEGO APPLICANT, NA LYDIA TIRWESHOBWA RESPONDENT HUKUMU Tarehe ya mwisho ya Amri:22/02/2021 Tarehe ya Hukumu:10/03/2021 Z.G.Muruke, J. na muombaji katika cheo cha am) mnamo tarehe 16/04/201^ sababu ya~ zipaonyesha^^amBa, mnamo mwezi february, 2013 Bi. Lydia alisafiri kikazi kwen^^agauoyo ambako alifikia katika hoteli iitwayo Bagamoyo Town Lodge.- Ihaslmekana kwamba katika hoteli hiyo alikaa katika chumba cha gharama ya shilingi 35,000/= lakini katika stakabadhi ya malipo ya gharama hizo ziliaandikwa kiasi cha shilingi 60,000/= Kughushi huko, kuligundulika baada ya mjibu maombi kuwasilisha stakabadhi hizo kwa muombaji na zikatiliwa shaka na muajiri ambaye aliagiza Meneja kwenda i kufanya uchunguzi juu ya gharama hizo katika hoteli hiyo. Tuhumu hizo zilipelekea Mjibu maombi kuachishwa kazi jambo ambalo hakuridhika nalo hivyo kupeleka mgogoro huo katika Tume ya Usuluhishi na Uamauzi (CMA) ambako maamuzi yalikuwa upande wake. Tume iliamuru alipwe fidia ya mishahara ya miezi kumi na mbili(12) kwa kuachishwa kazi isivyo halaii. Muombaji hakuridhika na uamuzi huo wa tume, aliwa^yfehJ^^oml^haya kuomba kutenguliwa kwa uamuzi huo wa tume kwa saoaiau zilizo^tnishwa katika aya ya 7,8,9,10 na 11 ya hati ya kiapo cfiWMashaklrNyenza Afisa Rasilimali Watu wa muombaji. Maombi hayo yaljfinQwa.na kiapo cha mjibu maombi. Kwa ridhaa ya mahakama^rpaq^b^fya^'liwasilishwa kwa njia ya maandishi. Muombaji aliwakilishjwa na^va^ Blandina Kihampa, wakati Mjibu maombi aliwakiiishwa^na^l^adjraka Ngwije muwakilishi kutoka CHODAWU. Katika mawasilishc' yake,wakili wa mleta maombi alieleza kwa pamoja sababu ^^^^Mwamba, muamuzi katika kuamua kwake ameshindv^k^m^^l^kipimo cha uzito wa ushahidi katika kesi za madai ambachc^kifto^bk^ urari wa uwezekano. Katika ushahidi wao DW1 na Dw^vote^^lithibitisha kuwa mjibu maombi alikuwa na hatia ya kughushiWstiakabadhi ya malazi,kwa kumuomba maneja wa hoteli ya Bagamoyo Town Lodge kumuandikia stakabadhi ya shilingi 60,000/=ilhali gharama sahihi ya chumba alicholala ni shilingi 35,000/=. Walitoa kielelezo A2 (stakabadhi iliyoghushiwa) lakini muamuzi alitaka risiti iliyoonyesha gharama sahihi na mashahidi walioshuhudia kughushi hukojambo ambalo 2 si sahihi kwasababu risiti iliyotolewa ni hiyo iliyokuwa na gharama zisizo sahihi iliyotolewa kwa maelekezo ya mjibu maombi. Wakili alieleza zaidi kuwa katika urari wa uwezekano, kuna uwezekano mkubwa kuwa mjibu maombi alifanya kosa hilo lakini muamuzi alishindwa kutumia kipimo hicho na kufikia maamuzi yasiyo sahihi. Katika sababu ya 10 na 11 kwa pamoja, WakiiKBIandina Kifiampa alieleza kuwa, fidia ya kuachishawa kazi hutolewa tu pa^Wunapokua na uachishwaji kazi usio halali. Muombaji alikuwa l^sababu ya msingi ya kumuachisha kazi mjibu maombi hivyo hakustaffiji fidih^a miezi kumi na mbili (12) iliyotolewa na Muamuzi. Pia ni mis^Lyc^isheria kwamba, mtu anapoachishwa kazi kwa makosa^ya utovtj^a<0iahamu, hastahili kulipwa kiinua mgongo. Kutokana nal sabamKJ/al muombaji, mjibu maombi hakustahili kulipwa kiinua mgongojgy^ia alivyoamrisha muamuzi. Wakili alimalizia kwa kueleza ku^^jjibu maombi aliachishwa kazi kihalali kabisa, hivyo uamuzi wa tume^i^naJriciritiki hivyo aliomba ufanyiwe marejeo na kutenguliwa. Kwc^p^dlwaSirijibu maombi Bwana Madaraka katika sababu ya 7,8 na ^f^|yy^^pamoja alieleza kwamba, tume ilizingatia ushahidi uliOTOfewa neLgande zote mbili na kuzingatia uzito wa ushahidi katika kufikia uamdazi wake huo. Kuhusiana na sababu ya 10 na 11 muwakilishi wa mjibu maombi alieleza kwamba, tume ilikuwa sahihi kumuamuru muombaji kumlipa mjibu maombi fidia ya miezi kumi na mbili pamoja na kiinua mgongo kwasababu, Muombaji ameshindwa kuthibitisha sababu ya kumuachisha kazi mjibu 3 maombi, alirejea kifungu cha 40(1) cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, Sura ya 366 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 (hapa itajulikana kama Sura ya 366 Marejeo ya 2019 ) Baada ya kupitia maelezo ya pande zote mbili, Mahakama ina hoja zifuatazo za kujiuliza: i. Iwapo Muombaji alikuwa na sababu ya msingigya®kumuachisha kazi mjibu maombi na kama taratibu zilifuatwa. ii. Zipi ni stahiki za wadaawa. kuachishwa kazi kuwe halaii, ni lazima^p^iiri athibitishe kuwa sababu ni halaii na ya haki na pia uachishwaji nuo um^ata taratibu zilizoainishwa kisheria, kama ilivyoelezwa katifea kifungu^ha 37(2) cha Sura ya 366 Marejeo ya 2019. Kifungu hicho kimeeleza: 'Section 37 (2) A term^tign ofyemployment by an employer is unfair if the fli^ased (^^operational requirements of the employer, and (c) that the>employment was terminated in accordance with a fair procedure." Mahakama hii katika shauri la National Microfinance Bank V. Japhet Machumu, Rev. No. 710/2018 (unreported) iliamua kwamba:- 4 "Termination of employment must be first substantively fair with fair and valid reasons putting in regard that the concept of right to work as a component of human rights, is so fundamental...' Mleta maombi alieleza kuwa kosa aliloshtakiwa nalo mjibu maombi ni kughushi gharama za malazi na kuwa, muamuzi ameshindwa kuangalia uzito wa ushahidi uliotolewa na DW1 na DW2 ambao^filitoshaikuthi^tisha shtaka dhidi ya mjibu maombi. Tume iliona kwamba^gnleq^maombi alishindwa kuthibitisha shtaka dhidi ya mjibu maomb> Baada ya kupitia kumbukumbu za shaurWi, niwazi kuwa ushahid pekee uliopo ni wa DW1 ambaye ndiye aliy^ariya^ichunguzi wa tuhuma hizo ambayealitoa vielelezo viv^Hj^hatKgl^ranra za usafiri (kielelezo DI) na stakabadhi! iliyoghushiwa (kielelezo^2)FKatika kumbukumbu, hakuna ushahidi uliotolewa na mtu kutoka^katika hoteli hiyo aidha katika tume au kikao cha nidhamu. Kilich^ie^Ma ni maneno ambayo DW1 anaiaminisha mahakama kuwa yalitoka^^^maelezo ya meneja wa hoteli hiyo kwamba bei halisi ya chumS^Jipholala mjibu maombi ni shilingi 35,000/= na sio 60,000/=. l^lahalSm^hiiSilitegemea kwamba, baada ya yeye DW1 kwenda kufanya gehg^gu^bapo katika hoteli aliyolala mjibu maombi, angekuwa na Ki^elezof7®igine kitakacho thibitisha maelezo ya meneja wa hoteli hiyo nWuijiuma dhidi ya mjibu maombi mfano, nakala ya kitabu cha wageni ambacho kingeonyesha kwa siku za nyuma chumba alicholala mjibu maombi kililipiwa kiasi gani na wateja wengine. Ushahidi uliotolewa hauna nguvu ya kuthibitisha tuhuma dhidi ya mjibu maombi pamoja na kwamba uzani wa ushahidi katika mashauri ya madai ni katika urari wa uwezekano. Muamuzi alikuwa sahihi katika kuona kwamba mleta maombi 5 ameshindwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya mjibu maombi hivyo hana sababu halali ya kumuachisha kazi mjibu maombi. Katika hoja ya pili, mleta maombi ameeleza kwamba, muamuzi hakuwa sahihi kwa kumuamuru amlipe mjibu maombi fidia ya miezi kumi na mbili(12). Kama alivyoeleza wakili wa mleta maombkmwenyewe kwamba fidia hutolewa tu pale uachishwaji kazi urja^&:uasBjhalalh Hili limeelezwa katika kifungu cha 40(1) (c) la Sura ya 366 Marejed^ya 2019 kwamba: '40.-(1) If an arbitrator or Labour Court/finds a termination is unfair, the arbitrator or Court may ordeit^h^|mployer- (c) to pay compensation to tt® em^io^eofnot less than twelve months' remuneration. Katika shauri hili ni w,|zi kuwa mleta maombi hakuwa na sababu ya msingi ya kumuachis^^a^rnjlbu maombi kama ilivyoamuriwa hapo juu. Hivyo basi uachishwaji. wa,.,mjibu maombi ulikuwa sio wa haki, kwa hiyo maombi ^Hivy^Jpsi, kwa kuzingatia sababu zilizojadiliwa katika hukumu hii,maombi^haya ya marejeo yanatupiliwa mbali kwa kukosa mashiko. Imeamriwa hivyo. fcnn.n. . JAJI 10/03/2021 6 Hukumu imesomwa leo mbele ya Pray God Uiso, Wakili akishika mikoba ya Blandina Kihampa na Madaraka Ngwije mwakilishi wa mjibu maombi. 7