lugaumuza r lutakoibwa vs fnb t ltd 2021 tzhcld 48 19 machi 2021
The applicant failed to discharge his duty of care by not properly reporting the signature discrepancy, which constituted gross negligence. The respondent had valid and fair reasons for termination and followed proper procedures. The CMA's decision was correct and there was no basis to overturn it.
Source-derived case information.
- Citation
- lugaumuza r lutakoibwa vs fnb t ltd 2021 tzhcld 48 19 machi 2021
- Parties
- Applicant: Lugaumuza R. Lutakoibwa; Respondent: FNB TZ. Ltd
- Court
- TANZLII
- Jurisdiction
- Tanzania
- Judgment Date
- 1 January 2021
- Procedural Posture
- Labour Revision Application / Judgment
- Outcome
- Application dismissed
- Legal Topics
- Unfair Termination, Gross Negligence, Employment Procedure, Employee Misconduct
- Source Language
- en
Source-derived case record
Summary, issues, holding and outcome
More case intelligence is available
Unlock the full research layer for this judgment.
Parties
Lugaumuza R. Lutakoibwa
Applicant
FNB TZ. Ltd
Respondent
Procedural Posture
Labour Revision Application / Judgment
Legal Issues
- 1 Whether the applicant was unfairly terminated from employment
- 2 Whether the reasons for termination were valid and fair
- 3 Whether the Commission for Mediation and Arbitration (CMA) properly evaluated the evidence
Ratio Decidendi
The applicant failed to discharge his duty of care by not properly reporting the signature discrepancy, which constituted gross negligence. The respondent had valid and fair reasons for termination and followed proper procedures. The CMA's decision was correct and there was no basis to overturn it.
Court Disposition
Application dismissed
Orders
- Application for revision is dismissed for lack of merit
- No reliefs are granted to the applicant
Full Case Text
Judgment text and source record
1 paragraphs
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA YA TANZANIA MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA KAZI DAR ES SALAAM. MAOMBI YA MAREJEO NA.558/2019 BAINA YA LUGAUMUZA R.LUTAKOIBWA MLETA MAOMBI NA FNB TZ.LTD r...MJIBU MAOMBI HUKUMU Tarehe ya mwisho ya Amri:11/02/2021 Tarehe ya Hukumu:19/03/2021 Z. G. Muruke, J. Ipo katika kumbukumbu^kuWa mnamo tarehe 2/01/2013 mleta maombi Lugaumuza R.YutE^uibwa aliajiriwa na mjibu maombi katika nafasi ya Menejapmahlisiario. Alidumu katika ajira hiyo mpaka tarehe 14/02/2018^jrpoachishwa kazi, kwa kosa la uzembe uliokithiri na uvunjifi^wa^ia’minlfu, ambao ungeweza kumsababishia mjibu maombi hasara ^KshHingi milioni mia tano (500,000,000/=). Mleta maombi hakuridnishwa na kuachishwa huko kazi, hivyo alipeleka mgogoro wake katika Tume ya usuluhishi na uamuzi itajulikana (CMA) ambako maamuzi yalikuwa upande wa mjibu maombi. Baada ya kutoridhika na tuzo iliyotolewa na Tume, mleta maombi aliwasilisha maombi katika mahakama hii kuiomba mahakama iweze kutengua uamuzi wa tume kwa sababu zifuatazo; i. Iwapo mjibu maombi alimuachisha kazi mleta maombi isivyo halaii, 1 ii. Iwapo sababu za maamuzi zilikuwa za msingi na haki. iii. Iwapo muamuzi alizingatia ushahidt uliotolewa mbele ya tume. Maombi hayo yaliungwa mkono na kiapo cha mleta maombi mwenyewe. Mjibu maombi alipinga maombi haya kupitia kiapo cha David Sarakikya ambaye ni Katibu wa kampuni na mkuu wa kitengo cha sheria. Kwa ridhaa ya mahakama, maombi haya yaliwasilishwa kwa njia ya maandishi. Wadaawa wote waliwakilishwa na mawakilFambapo, Bwana Ambroce Menance Nkwera alimuwakilisha mleta maombi, wakati Bwana Inocent Felix na Bwana Evod P. Mushi^yvalimuwakilisha Mjibu maombi. *0^^ Katika sababu ya kwanza, wakili wa mletemaombi alieleza kuwa, % kuachishwa kazi kwa mleta maombi hakukuwa kwa halali kutokana na sababu za kumuachisha kazi kuwa siojza msingi na haki, pia ilikuwa kinyume na matakwa ya kishjeria jiasa hasa kanuni ya 12 ya Sheria ya ajira na mahusiano kazini <(kahuni>za utendaji bora), Tangazo la Serikali namba 42/2007. <KwambaXl^tika uamuzi wake muamuzi ameshindwa kuzingatia matakwa yaliypainishwa katika kanuni ya 12(l)(a)(b) i,ii,iii,iv,v na (2) ya Kapuni^yajutendaji bora. Mleta maombi ni mkosaji wa mara ya kwanza, kdmuachisha kazi haikuwa adhabu sahihi, ukizingatia kwamba hajawahi^kupewa onyo lolote. Wakili wa mleta maombi alieleza zaidi kwafr^^hata shitaka hilo halikuthibitika katika kikao cha nidhamu kwasababu, mleta maombi alitoa taarifa ya mdomo kwa msimamizi wake juu ya utofauti wa sahihi. Katika sababu ya pili Wakili Nkwera alieleza kwamba, muamuzi ameshindwa kuzingatia kwamba hakukuwa na uzembe uliokithiri kwa kushindwa kumtaariifu kiongozi wake juu ya tofauti ya sahihi. Swala la kuthibistisha tofauti ya sahihi halikuwa miongoni mwa majukumu 2 yalioainishwa katika muongozo wa kazi wa mleta maombi. Mjibu maombi alitoa taarifa hiyo kwa msimamizi wake kwa njia ya mdomo, na zaidi mkopo huo hupita katika katika idara tano (5) kabla ya kutolewa kwa mteja. Alieleza zaidi kwamba, muamuzi alishindwa kuzingatia kwamba uwezekano wa kupata hasara ya shilingi milioni mia tano(500,000,000/=) kama alivyoeleza mjibu maombi ni wazo lililokuja baadae. Mjibu maombi ameshindwa kuthibitisha karna mteja 'huyo hakulipa deni hilo au alikana kuwa na sahihi mbili. Ku/aignbTmjibu maombi ................................... ameshindwa kuthibitisha iwapo " ....................... alimua'chisha kazi mjibu maombi kihalali, alirejea shauri la National Microfirfance Bank v. Victor Modest Banda, Civil Case No. 297201§^Wakili alieleza zaidi kuwa mjibu maombi ameshindwa kutliibisha ni jinsi gani kosa la mleta maombi limekua ni uzembe uliokithifi^a^irnepelekeaje mahusiano yao kuwa yasiyovumilika kupelekea iSachishwa.huko kazi, alirejea kanuni ya ft 12(2) ya Kanuni za Utendaii^Bpra^na shauri la Multichoice Tanzania Ltd v Felix Nyari, Marejeo--No$ 09/2018, Mahakama Kuu ya Kazi. Wakili wa^muombaji katika sababu ya tatu alieleza kwamba, muamuzi ^ameshindwa kuchambua vema ushahidi uliotolewa na wadaa^a, a|ibbpo shahidi wa mjibu maombi Urassa Sarakikya alipojibu ho^a^^ta maombi alieleza kwamba hakuna utaratibu rasmi wa utoaji taarifa. Kwamba taarifa inaweza kutolewa kwa njia ya mdomo au maandishi. Katika ushahidi wake mleta maombi ameeleza kuwa alitoa taarifa kwa msimamizi wake Urassa Sarakikya juu ya tofauti ya sahihi hizo, hivyo muamuzi alikosea kuamua kwamba mleta maomba alikua na hatia ya uzembe uliokithiri wakati alitimiza wajibu wake inavyotakiwa. Alimalizia kwa kuiomba mahakama impe fidia ya kuachiswa kazi isivyo 3 halali mishahara ya miezi 36 kiasi cha shilingi 139,000,000/=kiinua mgongo na madhara ya jumla shilingi 5,842,500/=. Kwa upande wake wakili wa mjibu maombi alieleza katika sababu ya kwanza kwamba, sababu ya kumuachisha kazi mleta maombi ilikuwa ni ya halali. Mleta maombi alituhumiwa kwa kosa la uzembe uliokithiri na kuvunja uaminifu ni makosa ambayo adhabu yake nblcufukuzwakazi hii ni kwa mujibu wa kielezo D7 na D4. Shitaka lilithj.bitika’kwa rnaelezo ya mleta maombi mwenyewe kukubali kosa katika^ifca^cha nidhamu na katika rnaelezo yake (kielelezo D5). Katika kdmuactysha kazi mjibu maombi alifuata taratibu zote zinazotakiwa^kishpriarf Katika sababu ya pili Bwana^usjii alieleza kwamba uamuzi ulikuwa ni wa haki kwasababu rmleta maombi mwenyewe alikubali kosa hivyo hakukua na haja ya usnahidi^wingine. Mleta maombi kama afisa wa benki anawajibu waxkujali/'kuwa makini, na muaminifu kwa mjibu maombi. Mleta maombitameshindwa kutimiza wajibu wake ingawa ... . . .. ahkuwa anajua kuw^mkopaji ahkuwa na sahihi tofauti kati ya mkataba wa mkopo nai. hatiiriiliki, na zaidi alimshauri mkopaji kuweka sahihi ya kwenyeXhatWmihki katika hati ya dhamana ya mkopo na hakutoa taarifa hi^c^mjibu maombi ili iweze kumuaamuru mkopaji alete kiapo cha kuthibitisha sahihi hizo na kuepuka hatari ya mkopaji kukana sahihi. Zaidi Wakili wa mjibu maombi alieleza kwamba, mleta maombi alituhumiwa kwa kosa la uzembe uliokithiri na sio kusababisha hasara. Suala la kwamba mkopaji halipi mkopo huo haikuwa hoja mbele ya tume 4 na mleta maombi hajatoa ushahidi wowote kuthibitisha kuwa mkopaji ameanza kulipa deni hilo. Katika sababu ya tatu wakili wa mjibu maombi alieleza kwamba, muamuzi alichambua vizuri ushahidi huo uliotolewa na wadaawa na kufikia katika maamuzi ya haki. Suala la kutotoa taarifa lilikubaliwa na mleta maombi mwenyewe katika maelezo yake ya maandishi na katika kikao cha nidhamu. % Katika maelezo ya ziada mleta maombi alirudia maelezo yake ya awali na kuomba mahakama itengue uamuzi huo <yva tume na kumpa nafuu alizoomba. Baada ya kupitia maelezcf^ayp/ya wadaawa, mahakama hii ilikuwa na hoja zifuatazo za 1. Je mleta maombi aliachishwa kazi kihalali? 2. Nini nafuu ya wadaawa? Katika kifungu cha 37(2^chS^eria ya Ajira na Mahusiano kazini Sura ya 366 kama ilivyoriejewa mwaka 2019(hapa itajulikana kama Sura ya 366 marejeo ya^2pi9)Oimeeleza kuwa ili uachishaji kazi uwe halali, muajiri anapaswa ktiwa^na sababu halali na ya haki na pia anapaswa kufuata taratibu^zilizoainishwa kisheria katika kuachisha kazi. Kifungu hicho cha azfe), kimeeleza: 37 (2) A termination of employment by an employer is funfair if the employer fails to prove:- (a) that the reason for the termination is valid; (b) that the reason is a fair reason:- (i) related to the employee's conduct, capacity or compatibility; or (ii)based on the operational requirements of the employer, and (c) that the employment was terminated in accordance with a fair procedure.' 5 Pia katika shauri la Tanzania Revenue Authority V. Andrew Mapunda, Labour Rev. No. 104 of 2014/iliamriwa kwamba; '(i) It is the established principle that for the termination of employment to be considered fair it should be based on valid reason and fair procedure. In other words there must be substantive fairness and procedural fairness of termination of employment, Section 37(2) of the Act. xf (ii) I have no doubt that the intention of the leglslatureJs to require employers to terminate employees only basing on vaiid^feasons and not their will or whims. Katika shauri hili mleta maombi aliachishwa kazi kwa kosa la uzembe uliokithiri na kuvunja uaminifut|lC^kana na kitendo cha kutotoa taarifa juu ya tofauti iliyokuwepo katika sahihi za mteja aliyekuwa akichukua mkopo. Ni uamuzi jwa tufne kwamba mjibu maombi alikuwa na sababu ya msingi ya kumuachisha kazi mleta maombi. oft Kabla ya Mahakama^Ciendelea, naona ni vema tukaangalia nini maana ya .uzembe .ulipkithiri kama ilivyotafsiriwa katika shauri la Twiga Bancorp(X)^td^David Kanyika, Revision No. 346/2013, that Gross .. negligence to mean: carelessness, a person is gross negligent if he falls far below the ordinary standard of care that one can expect. It differs from ordinary negligence in terms of degree'. The general principles of law on negligence, liability arises where:- i. There is a duty of care, and a person breaches that duty as result of which the other person suffers loss or injury. 6 //. A person acts negligently, when he fails to exercise that degree of care which a reasonable man /person of ordinary prudence would exercise under the same circumstances. Hi. Negligence is opposite of being careful or diligence. Kwa tafsiri rahisi ni kwamba ni kitendo cha kutojali au kukosa umakini kupita kiasi. Na ili ithibitike kuwa kulikuwa na uzembe, ni lazima kuwe na mtu aliyekuwa na wajibu wa kujali na akashindwa kutimiza wajibu huo na kusababisha atha^i kwa mtu mwingine. Mtu anahesabika kuwa ni^rhzembe pale anaposhindwa kutekeleza wajibu ambao. haita^nitu wa kawaida angeweza kutekeleza katika mazingira hayo.-^ Baada ya kupitia kumbukumbu za^sjjauri nili, mahakama imeona kuwa hakuna ubishi kwamba mkopaji^huyo alikuwa na sahihi mbili tofauti. Na sahihi hizo ziligunduliwal^na mfeta maombi mwenyewe. Hoja bishaniwa hapa ni iwapo mleta, maombi alitoa taarifa kwa mjibu maombi kutokana na tofauti hiyoFKatika^maeiezo yake mleta maombi ameeleza % %" V kwamba, yeye alitoa^taarifaskwa msimamizi wake juu ya utofauti huo wa sahihi. Lakini mafelezo^naya yamekinzana na maelezo yake mwenyewe kama yanay^ponekana katika kielelezo D5, ukurasa wa 7 alipoulizwa swali jdu^yaycutoa taarifa hiyo kwa watumishi wengine. Nina nukuu sehe^^a kielelezo D5 kwa manufaa ya haki; 7 asked Luga the issue with signature has been documented anywhere or if he has made other staff aware of it. Answer: No. Hii ni sehemu ya maelezo ya mleta maombi ambayo yalisainiwa na mleta maombi mwenyewe kuwa ni maelezo yake na hakuna sehemu 7 alipoyatilia shaka rnaelezo haya,hivyo rnaelezo haya yanatengua rnaelezo yake kuwa alitoa taarifa kwa njia ya mdomo kwasababu hakuna ushahidi unaothibitisha kuwa alitoa taarifa hiyo ya tofauti ya sahihi. Kwa sababu hiyo basi mahakama imeona kwamba ni kweli mleta maombi hakutoa taarifa kwa wenzake kama anavyodai. Ni wazi kwamba mleta maombi kama afisa wa zmjibu< maombi aiikuwa na wajibu wa kujali na kufanya kazi kwa umakini mkubwa. Kitendo cha yeye kuona kwamba mkopaji anasaRifn mtSili tofauti alipaswa kufuata taratibu inayotumika ya kinntak^mtopaji huyo aape kiapo kuthibitisha kuwa, sahihi zote mbili nt^zB?kwaI$eJili kuepusha athari ambayo ingeweza kutokea na kumuingizia mjibu maombi hasara ya mkopo huo, na kutoa taarifa kwa wenzake.JPwaweze kuzingatia jambo hilo katika mchakato wa mkopo;huo. Eakini mleta maombi hakufanya wajibu wake huo na kuamua^kumuelekeza mkopaji aweke saini ya kwenye hati miliki katika ' hati ya dhamana ya mkopo huku akijua si utaratibu wa ofisi. Hoja ya kwamba mkopo huo unapita mchakato wa ^idara tbfauti tofauti haiondoi ukweli kwamba yeye hakutimizaMvajibu wake wa kujali, kuwa makini na muaminifu|kwa mjibu maombi kama afisa wa mjibu maombi h^a^Jcama^ jukumu hilo halikuwa miongoni mwa yale yaliyoainishwa katika muongozo wa majukumu yake(job description), ukizingatia kuwa yeye ndie muanzilishi wa mchakato mzima wa taratibu za mkopo. Na ni wazi kuwa uzembe huo ungeweza kusababisha hasara kwa mjibu maombi. Hiyo basi, mahakama imeona hakuna sababu ya msingi ya kutengua maamuzi ya tume juu ya uhalali wa sababu ya uachishwaji kazi wa mleta maombi. 8 Kuhusiana na hoja ya pili, mleta maombi katika aliomba fidia ya kuachiswa kazi isivyo halali mishahara ya miezi 36 kiasi cha shilingi 139,000,000/=kiinua mgongo na madhara ya jumla shilingi 5,842,500/=. Nafuu hizo hazikutolewa na tume kutokana na sababu kuwa mleta maombi aliachishwa kazi kihalali. Mahakama hii haioni sababu za msingi za kutofautiana na uamuzi wa tume ukizingatia kwamba^na^o imeona kwamba kuachishwa kazi kwa mleta maombi kulikuwa ni kwa halali, Kwasababu hiyo basi, maombi haya yanatugjl^vafnbali kwa kukosa mashiko. Imeamriwa hivyo. Z.G.ylurufe JUDGE A -J 19703/2021 VW Uamuzi huu^njiesomwa^mbele ya mleta maombi mwenyewe na Linda Mafuru, WakiliVa^OjilJu maombi Z.G.Muruke JUDGE 19/03/2021 9