tanzania electric supply company limited vs ramadhani m mgaya 2021 tzhcld 326 20 agosti 2021
The court found that the applicant had valid grounds for termination based on the respondent's submission of a forged certificate, and that proper procedures were followed as required by law. The Commission's order for reinstatement was set aside because the respondent's dismissal was lawful and justified.
Source-derived case information.
- Citation
- tanzania electric supply company limited vs ramadhani m mgaya 2021 tzhcld 326 20 agosti 2021
- Parties
- Applicant: Tanzania Electric Supply Company Limited; Respondent: Ramadhani M. Mgaya
- Court
- TANZLII
- Jurisdiction
- Tanzania
- Judgment Date
- 1 January 2021
- Procedural Posture
- Labour Revision / Final Judgment
- Outcome
- Application allowed; Commission's award set aside; reinstatement order revoked.
- Legal Topics
- Unfair Termination, Employment Certificate Forgery, Reinstatement, Procedural Fairness in Dismissal
- Source Language
- en
Source-derived case record
Summary, issues, holding and outcome
More case intelligence is available
Unlock the full research layer for this judgment.
Parties
Tanzania Electric Supply Company Limited
Applicant
Ramadhani M. Mgaya
Respondent
Procedural Posture
Labour Revision / Final Judgment
Legal Issues
- 1 Whether the respondent was unfairly terminated
- 2 Whether proper procedures were followed in termination
- 3 Whether the respondent submitted a forged certificate
Ratio Decidendi
The court found that the applicant had valid grounds for termination based on the respondent's submission of a forged certificate, and that proper procedures were followed as required by law. The Commission's order for reinstatement was set aside because the respondent's dismissal was lawful and justified.
Court Disposition
Application allowed; Commission's award set aside; reinstatement order revoked.
Orders
- Commission's award is quashed.
- Order for reinstatement of respondent is revoked.
Full Case Text
Judgment text and source record
1 paragraphs
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA DIVISHENI YA KAZI PAR ES SALAAM MAOMBI YA MAREJEO NA. 827 YA 2019 KATI YA TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED MLETA MAOMBI DHIDI YA RAMADHANI M. MGAYA MJIBU;MAOMBI HUKUMU Tarehe ya Amri ya Mwisho: 02/08/2021 Tarehe ya Hukumu: 20/08/2021 I, Arufani, J. Katika shauri hili mi^^mam^i aliiomba Mahakama hii ifanye marejeo na kutenguatuzo^iliyotolewa na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi ya Kinondoni, JDak e^Safaam (itakayokuwa inarejewa kama Tume) katika mgogoto wa ajira namba CMA/KIN/R1047/17/1013, ambao ulifflcjshwa finb<pe ya tume na mjibu maombi baada ya kutoridhishwa na kusitisttiw^jira yake. Baada ya kusikiliza mgogoro huo Tume iliamua kuwa, mjibu maombi aliachishwa kazi isivyo halali na kutoa amri ya kuwa arejeshwe kazini chini ya kifungu cha 40 (1) (a) ya Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, Sura ya 366 marejeo ya 2019 (itakayokuwa inarejewa kama Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini). i Mleta maombi hakuridhishwa na uamuzi wa Tume na hivyo akafungua maombi haya kuiomba mahakama hii ifanye marejeo ya tuzo hiyo kwa sababu zifuatazo:- /. Kwamba mwamuzi alikosea kisheria na kiuhalisia kwa kusikiiiza malalamiko ambayo hayako ndani ya mamiaka yake. ii. Kwamba mwamuzi alikosea kisheria na^Kihaiisi^alip^amua kwamba, sababu za kumuachisha&kazi mjibu maombi hazikuwa na mashiko. HL Kwamba mwamuzi aiikosea kislfexffina kiuhalisia aiipoamua kwamba, mleta mombi^Ai^^a wajibu wa kufanya ST uchunguzi Hi kuha^Hu uhala^^ chetL //. Nafuu zozote Mahakama^^akavyoona inafaa. Maombi haya yalialh^tanishwa na kiapo cha Farida Adam Sued, Afisa Mwandamiz^^^e^^maombi, wakati kwa upande wake mjibu maombi ^^a^maombi haya kwa kuwasilisha mahakamani kiapo kiqz^i ^^^ywa na Stanley Kalanje, mwakilishi binafsi wa mjibu maornok Maelezo mafupi ya shauri hili ni kwamba, mleta maombi alimwajiri mjibu maombi toka mwaka 1991 kama mlinzi na baadaye mwaka 2000 alibadilishiwa kazi na kuwa msoma mita. Mahusiano yao ya kiajira yalidumu mpaka tarehe 15 Agosti, 2017 ambapo mjibu maombi 2 alisitishiwa ajira yake baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuwasilisha kwa mwajiri wake ambaye ni mleta maombi cheti cha kidato cha nne (form four) kilichoghushiwa. Ilielezwa kuwa kosa hilo liligundulika baada ya zoezi la uhakiki wa vyeti vya kitaaluma vya watumishi wote wa umma nchini, lililoendeshwa na Serikali kupitia Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala^B^^^^^^elekea kusitishwa kwa ajira za watumishi wote walipcjhushi v^ti akiwemo mjibu maombi. Shauri hili lilisikilizwa kwa r^^h^hndishi ambapo mleta maombi aliwakilishwa na Wak^Farida^Adam Sued, Afisa Mwandamizi kutoka idara ya sheria ya maombi. Kwa upande wa mjibu maombi aliwakilishwa na Stanl^^^JKalanje, mwakilishi binafsi. Kwa kuwa wawakilishi wa pa^^^^^Sili walileta mawasilisho yao kwa lugha ya Kiswahili na k^^^^kanuni ya 4 (1) na (2) ya Kanunu za Mahakama ya^azi, Tang^zo la Serikali Na. 106 la 2007 inaruhusu mahakama kutumilRly^iia ya Kiswahili au Kiingereza katika kuandika hukumu zake basi nimeona ni vyema nitumie Kiswahili katika kuandika hukumu hii ili kuwawezesha wadaawa kuisoma na kuielewa hukumu hii kwa ufasaha zaidi. 3 Katika mawasilisho yake mwakilishi wa mleta maombi aliachana na sababu ya kwanza ya marejeo na kuwasilisha katika sababu zilizobaki. Alieleza kuhusiana na sababu ya pili kwamba, mwamuzi alikosea kisheria na kiuhalisia kwa kuamua kuwa, mleta maombi hakuwa na sababu za msingi za kumwachisha kazi mjibu maombi kwa sababu mjibu maombi hakuhitaji cheti cha kidato cha nne kupata ajira^Ce. A^Jeza zaidi kuwa, mwamuzi alikosea kuamua kwamba chetithicho cha* kidato cha nne hakikuwasilishwa na mjibu maombi^m^kuzihgatia kwamba, mfanyakazi anaweza kujiendeleza wakati^omte na kuwasilisha cheti chake kwa mwajiri. 4 Ilielezwa zaidi na wa mleta maombi kwamba, mwamuzi hakuzingatia ushahj^Qil^^^^a na DW1 ambao ni kielelezo D2, barua ya mjibu 9^^n^%kjo^iba kubadilishiwa kazi toka kuwa miinzi kuwa fundi umeme/'na>kujibiwa kuwa ni lazima awe na elimu ya kidato cha nne7l<felelezQaK3 ambacho ni cheti cha usomaji mita na cheti cha kidato cha nne ambavyo vyote viiihakikiwa na kupokelewa na Afisa Rasilimali Watu kwa mujibu wa utaratibu uliokuwepo katika ofisi ya mleta maombi. Alieleza pia kuwa kielelezo hicho D3 kilikuwa na namba ya ajira R. 955 ambayo mjibu maombi alikiri kuwa ni namba yake. 4 Katika sababu ya tatu ilielezwa na mwakiiishi wa mieta maombi kwamba, muamuzi alikosea kisheria na kiuhalisia kuamua kuwa mieta maombi alikuwa na wajibu wa kufanya uchunguzi wa uhalali wa cheti cha mjibu maombi. Kama ilivyoelezwa na DW1 katika ushahidi wake, kuwa zoezi la kutambua uhalali wa vyeti lilifanywa na mamlaka husika kama ilivyoagizwa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya^dFumK5hi^ra Qmma na Utawaia Bora. Baada ya kurejesha majina^ya wenye vyeti vya kughushi akiwemo mjibu maombi alikata rufaa bila^mafanikio kama inavyoonekana katika vielelezo D5 na Aliendelea kuwasilisha kuwa, jukumj^? *a kuchunguza uhalisia wa cheti hicho halikuwa la mieta rnabm^ kwa kuwa hana utalamu wala mamlaka ya kuchunguza%^i^yya kitaaluma. Kwamba, kwa kuamuru mjibu maombi ar^S^^kazini, ni kama mwamuzi alithibitisha kuwa Kwa upande wake mjibu maombi, mwakiiishi wake aliiomba mahakama ikubali kiapo kinzani alichoapa yeye kiwe sehemu ya mawasilisho yake. Alieleza katika sababu ya pili ya marejeo kwamba, mwamuzi alikuwa sahihi katika kuamua kwamba mjibu maombi 5 aliachishwa kazi isivyo halali. Alieleza kuwa mwamuzi alizingatia ushahidi uliotolewa mbele ya Tume na aliamua shauri lake kwa mujibu wa sheria. Katika hoja ya tatu mwakilishi wa mjibu maombi alieleza kwamba sababu hiyo haina mashiko kwa sababu, mleta maombi alikuwa na wajibu wa kuchunguza nyaraka zote za mjibu maqmbukwa wakati. Alieleza pia kuwa uamuzi wa kumrejesha kazini mjitxnm^nd^ulitolewa na mwamuzi kwa mujibu wa sheria na sio ving|j|vyo. Mwfeho aliiomba mahakama itupilie mbali maombi haya kwa Baada ya kupitia maelezo ya^lS^Wote mbili pamoja na kumbukumbu za shauri toka tume, manakama imeona kuwa hoja za kuamuliwa katika maomb^T^cKii kama zifuatavyo:- i. Endapo/fn&ambzj^iizingatia ushahidi uliotolewa na wadaawa iklajuamuzi kuwa mjibu maombi hakuachishwa kazi 11k Nipi nafuu ya kila upande. Katika kujibu hoja ya kwanza, mahakama imeona Tume iliamua kuwa mleta maombi hakuwa na sababu za msingi za kumuachisha kazi mjibu maombi na mleta maombi hakufuata taratibu za kisheria katika kumwachisha kazi mjibu maombi. Mwakilishi wa mleta maombi 6 ameeleza kwamba, uamuzi huo haukuwa wa haki kwa kuwa mwamuzi Railways Limited V. Mvyinjuma^Said Semkiwa, [2015] LCCD 3. hakuzingatia ushahidi uliotolewa na DW1 hasa vielelezo D2 na D3. Madai haya yalikanushwa na mjibu maombi kwa kueleza kwamba, uamuzi ulikuwa ni wa haki na maamuzi ya tume yalizingatia misingi ya kisheria. Ni msingi wa kisheria kwamba, ili uachishwaji kazkuwe ni wa halali na haki, mwajiri anapaswa kuthibitisha kuwa'alikuwa na,<sababu halali na ya haki ya kumuachisha kazi muajiriwa^na pia awe amefuata 4V taratibu zilizoainishwa kisheria. Hii ni kwa njyjibjj wa^kifungu cha 37(2) cha sheria ya Ajira na Mahusiano Kazihi^na}|kama ilivyosisitizwa na mahakama hii katika mashauri|mba!imb^Jjkiwemo shauri la Tanzania Pamoja na mambo <mengih^mahakama ilieleza katika shauri hilo kwamba, ni msingKwa^kisheria kuwa ili usitishwaji wa ajira uwe halali, ni lazima kuw^na%ababu halali na taratibu za usitishaji wa ajira zilizgwekwafnajsheria lazima zizingatiwe. Kama ilivyoeiezwa mwanzoni mwa hukumu hii ni kwamba mjibu maombi alisitishiwa ajira yake kwa sababu ya kutenda kosa la kuwasilisha kwa mwajiri wake ambaye ni mleta maombi cheti cha kidato cha nne kilichoghushiwa. Mwakilishi wa mleta maombi alieleza ili kuthibitisha kosa hilo, shahidi wa mleta maombi aliyetoa ushahidi mbele 7 ya Tume kama DW1 alitoa kielelezo D2 ambacho ni barua ya mjibu maombi akiomba kubadilishiwa kada na kuwa fundi umeme, iliyoandikwa tarehe 15 Desemba, 1995. Alitoa pia kielelezo D3 ambavyo ni nakala ya cheti cha kidato cha nne kinachodaiwa kughushiwa kinachoonyesha kilitolewa mwaka 2007 pamoja na cheti cha Msoma Mita (meter Reader) kilichotolewa tarehe 28 Februari, 2QO;1C % Vi Mwakiiishi wa mieta maombi alieleza katika mawasilisho yake kuwa, ushahidi huo wa mieta maombi hajflzingativta na mwamuzi katika uamuzi alioutoa. Baada ya kupitia^b^^a Tume ambayo mieta maombi anaomba ifanyiwe t^^jeo^n^^mahakama hii, mahakama imeona kuwa mwamuzi alieleza saba'^i ziiizomfanya afikie uamuzi wa kuona kuwa mieta maon^halbjwa na sababu halali ya kusitisha ajira ya mjibu maombi nilkuwLrhlieta maombi alishindwa kuthibitisha ni jinsi gani mjibu ma^^^alivyowasilisha cheti kinachodaiwa kughushiwa kwa mieta mao^t^a kama mpokeaji alihakiki uhalali wa cheti hicho kwa kutumia^cheti halisi. Baada ya kupitia vielelezo hivyo mahakama imeona kuwa vielelezo hivyo ambavyo ni nakala za cheti cha kidato cha nne na cheti cha Msoma Mita vilipokelewa, kusainiwa na kugongwa muhuri na Afisa Rasilimali Watu wa mieta maombi mnamo tarehe 3 Januari, 2011 na 8 kuandikwa juu yake namba R.955 ambayo mjibu maombi alikiri katika ushahidi wake kuwa ni namba yake ya ajira akiwa kwa mleta maombi. Kwa hiyo mwamuzi alijipotosha kwa kueleza kuwa mleta maombi hakueleza ni kwa namna gani cheti hicho kinachodaiwa kughushiwa kuliwasilishwa na kupokelewa na mleta maombi na kuwa hakikuhakikiwa. Mahakama imeona shahidi wa qn|e|a n^mbj,^DWl alieleza katika ushihidi wake alioutoa mbele^ya Twne^uwa mjibu maombi ndiye aliyewasilisha cheti hicho ^^^jlnjgta maombi na kilipokelewa tarehe 3 Januari, 2011 na kifgc>ng^mhuri na kusainiwa na Afisa Rasilimali Watu wa mlet^mao^^^ithibitisha ni nakala ya cheti halisi. Kwa hiyo kama alivypel^a^my^kilishi wa mleta maombi katika mawasilisho yake ni kwelkmwamuzi hakuzingatia ushahidi uliotolewa na DWl mbele ya Ma^^^^^^eona sababu nyinglne aliyoitumia mwamuzi kufikia uaf^^unac^baniwa mbele ya mahakama hii ni kuwa mjibu maombi hakutumi^lieti hicho cha kidato cha nne kujipatia ajira aliyokuwa nayo. Mahakama hii inakubaliana na mwamuzi kuwa ni dhahiri kwamba mjibu maombi hakujipatia ajira aliyokuwa nayo kwa kutumia cheti hicho kinachodaiwa kughushiwa. Hii ni kwa sababu mjibu maombi aliajiriwa 9 mwaka 1991 kwa sifa ya kuwa na elimu ya darasa la saba na cheti kilichoghushiwa kinaonyesha ni cha mwaka 2007. Kama mwamuzi alivyoeleza kwa usahihi katika tuzo ya Tume, mjibu maombi haiingii katika kundi la watumishi waliopaswa kuwa na elimu ya kidato cha nne ndipo waajiriwe kwa sabau yeye aliaiiriwa kabla ya Waraka namba 1 wa mwaka 2004 uliotolewana^eriib^kupitia Menejiment ya Utumishi wa Umma uliotaka wafedmishi wote wa umma wawe na elimu ya kuanzia kidato cha nnez^na^ufafanuliwa kwa barua iliyotolewa na Menejimenti ya Utumishis^^mma ya tarehe 10 Aprili, 2006. Hata hivyo Mahafe^ inaona kuwa Mwamuzi hakuwa sahihi kueleza katika uamu^v^Jkuwa mjibu maombi aliachishwa kazi kwa sababu yax kutumia^c^eti kilichoghushiwa kujipatia ajira kwa mleta maombi.j®adala^y§ke Mahakama imeona kuwa, Pamoja na kuwa ni kweBmjibu^maombi alishitakiwa kwa kosa la kughushi cheti cha kidato cha nne na kukitumia kujipatia ajira kwa mleta maombi iakini mhutasari wa kikao cha kamati ya nidhamu kilichosikiiiza shauri lake pamoja na barua ya kusitisha ajira yake ya tarehe 15 Agosti, 2017 zinaonyesha mjibu maombi aliachishwa kazi baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuwasilisha cheti cha kughushi kwa mleta maombi. io Kwa hiyo mjibu maombi hakuachishwa kazi kwa sababu ya kujipatia ajira kwa kutumia chetu kilichoghushiwa kama alivyoeleza mwamuzi bali kwa sababu ya kuwasilisha kwa mwajiri wake cheti kilichagundulika kuwa kimeghushiwa. Kosa hilo la kughushi linaangukia katika makosa yaliyoainishwa katika kanuni ya 12 (3) (a) ya Tangazo la Serikali Na. 42 la 2007 kuwa ni sababu ya haki in|^^^^^toSitisha ajira ya mtumishi. Ikiwa hivyo ndivyo Hivyo na kwa kuwaWnjibiPmaombi alieleza katika ushahidi wake na katika mawasilisho. yake kuwa hakuwasilisha cheti kinachodaiwa kughushiwalkwa mletafnaombi, mahakama imeona suala la kuamua hapa ni ^^a CT^i£mcho ni cha mjibu maombi na ni yeye aliyekiwasilisha k^^^^jifi wake. Baada ya Mahakama hii kupitia mwenendo wa sh^jrhktume pamoja na kumbukumbu zake, imekuwa na maoni tofauti ha ya mwamuzi kwamba, sio kweli kwamba hakuna usfiahjdi ui||yyesha kuwa mjibu maombi ndiye aliyewasilisha kwa mieta maombi cheti hicho kinachodaiwa kughushiwa. Mahakama imekuwa na maoni hayo baada ya kuona kuwa hakuna ubishi wowote kutoka kwa mjibu maombi kuwa majina yaliyopo katika cheti hicho ya Ramadhani M. Mgaya ni majina yake. Aidha mahakama imeona pia kuwa hakuna ubishi wowote kuwa namba R.955 iliyoandikwa 11 juu ya cheti hicho ni namba ya utambulisho ya ajira ya mjibu maombi alipokuwa anaajiriwa na mleta maombi, Hayo yote pamoja na niiiyoeleza hapo awali yanaifanya mahakama hii ione kuwa, pamoja na kuwa mjibu maombi alieleza kuwa cheti hicho sio chake na hajawahi kuandika barua ya kuwasilisha cheti hicho kwa mleta maombi lakini hakuna ushahidi wowote unaonyesha ni kwa vipi cheti hicho chen^maf^a yake na namba yake ya ajira kiliweza kufika kwa mwajirj wake^ha kuingizwa katika jalada lake la ajira tofauti na ilivyoelezw^^D^l katika ushahidi wake kuwa mjibu maombi ndiye aliyekiwasilisha/cheti hicho kwa mleta maombi. Aidha pamoja na kuy^^umbukumbu za Tume zinaonyesha mjibu maombi alieleza katika utetezi wake kuwa kulikuwa na mtumishi mwenzake aliyekiiva^^ majina kama ya kwake katika ofisi yao lakini huyo mtumishi. hakuitwa kutoa ushahidi mbele ya Tume kuthibitisha ha^^liyoy^^a mjibu maombi. Kwa maoni ya mahakama hii mjibu maombNalipaswa kuthibitisha mbele ya tume hayo aliyoyasema kama inavyoelezwa katika kifungu cha 110 cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6, Marejeo ya Mwaka 2019, Kwa kushindwa kufanya hivyo kunaifanya mahakama ione kuwa mjibu maombi hakuweza kuthibitisha mbele ya Tume kuwa cheti hicho sio cha kwake na kuwa kiliwasilishwa kwa mleta 12 maombi na mtu mwingine na kuweka katika jalada lake la ajira kwa makosa kama alivyoeleza. Hayo yote yanaifanya mahakama hii ione kwamba, ushahidi uliotolewa mbele ya Tume na shahidi wa mleta maombi, DW1 na kuungwa mkono na vielelezo vilivyotajwa hapo juu vilitosha.kuonyesha kwamba mleta maombi alitimiza jukumu lake la kutnibjsha wa sababu ya kusitisha ajira ya mjibu maombi, l^zani^uwezekano kama alivyoelezwa katika kifungu cha 3<^%^^sraia ya Ajira na Mahusiano Kazini kikisomwa pampja|na^n^|^ya 9 (3) ya Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini (kanlr^ za ute^ji bora), Tangazo la Serikali Na. 42 la 2007. Kuhusu k^in^^^j^au kutokuzingatiwa kwa utaratibu wa kusitisha aji^ya^^jbjbnaombi, mahakama imeona mwamuzi alieleza katika tuzo^jnayobishaniwa mbele ya mahakama hii kwamba, utaratibu ya Tangazo la Serikali Na. 42 la 2007 haukuzingatiwa na mleta maombi katika kusitisha ajira ya mjibu maombi. Mwamuzi alieleza kwamba mleta maombi alishindwa kufanya uchunguzi kuona kama cheti kinachodaiwa kughushiwa kilikuwa cha mtumishi wao mwingine mwenye majina sawa na ya mjibu maombi na kiliwekwa katika jalada la mjibu maombi kwa 13 makosa au la na taarifa ya uchunguzi huo apewe mjibu maombi kabla shauri lake kuanza kusikilizwa na kamati ya nidhamu. Mahakama imejaribu kutafakari hoja ya mwamuzi katika kufikia uamuzi wake na kuona alijipotosha kwa kueleza kuwa kanuni ya 13 (1) ya Tangazo la Serikali Na.42 la 2007 haikuzingatiwa kablaj\ya kusitisha ajira ya mjibu maombi. Mahakama imeona hivyo baada^a kuoqajkanuni hiyo inataka mwajiri afanye uchunguzi na Icu'jiridhishcPkama kuna sababu ya haki ya kuanzisha usikilizaji wa^sf^rMeH^dhamu dhidi ya mtumishi anayetakiwa kusitishiwa afe^y^keHylahakarna imeona kama ilivyoelezwa na mwakiiishi waCrrtetarmaorribi katika maombi haya, ni kwamba uchunguzi wa kqc^aushiwa^kwa cheti kilichosababisha ajira ya mjibu maombi isitishw^^^^j/a na Tume ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na ^^^^yake kuwasilishwa kwa mieta maombi na mjibu maombi alipa^^^kala yake ndiyo sababu alikata rufaa dhidi ya ucfiunguzi InMjapo rufaa yake haikufanikiwa. Kwa mazingira hayo mahakama imeona sababu ya kuanzishwa usikilizwaji wa shauri la nidhamu dhidi ya mjibu maombi ilikuwa inajulikana na hakukuwa na sababu ya kufanya uchunguzi mwingine ili kuona kama kulikuwa na sababu ya kuanzisha usikilizaji wa shauri lake kwa sababu uchunguzi wake ulikuwa tayari umeshafanywa na Tume ya 14 Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mahakama imeona hoja ya mwamuzi kwamba mleta maombi alipaswa kufanya uchunguzi kujiridhisha kama cheti hicho sio cha mtumishi mwingine aliyekuwa na majina yanayofanana na majina ya mjibu maombi haikuwa na mashiko kwa sababu hoja hiyo ilipaswa kuthibitishwa kwa kutolewa ushahidi mbele ya kamati ya nidhamu na sio kufanyiwa .uchun^k na %ileta maombi kabla ya usikilizwaji wa shauri lake haujaanza. Kuhusu mashauri aliyoyatumia mwanii^i^kufikiF uamuzi aliufikia mahakama hii haikuweza kupata na^la^^eJjMweze kuyapitia kuona kama kilichakuwa kinazungumCya katikayjiashauri hayo kinafanana na kinachozungumziwa katik^shaun^hil^ Aidha mahakama imeona pia kuwa haifungwi na kili^^^^bmziwa katika maamuzi hayo kwa sababu ni maamuzi ya na mazingira ya kesi hizo ni tofauti na mazingira^^^^^jnyoko mbele ya mahakama hii. Kwa kusema hivyo mah^ma^^ona hakuna uthibitisho wa kuwa utaratibu wa kisheria uliopo Ratil<a kanuni ya 13 (1) ya Tangazo la Serikali Na. 42 la 2007 kuhusu usikilizaji wa shauri la nidhamu na usitishaji wa ajiri ya mjibu maombi ulikiukwa na mleta maombi. Kuhusiana na nafuu ambazo wadaawa wanastahili katika shauri hili mahakama imeona kwamba mjibu maombi aliomba katika CHA Fl 15 kuwa arejeshwa kazini na alipwe malimbikizo ya mishahara ya mwezi Mei hadi Agosti, 2017 pamoja na likizo za mwaka 2016 na 2017 na Tume ilimkubalia ombi lake la kurejeshwa kazini. Kwa kuwa mahakama imejiridhisha kuwa usitishwaji wa ajira ya mjibu maombi ulikuwa kwa sababu inayokubalika kisheria na taratibu za kisheria zilizingatiwa katika kusitisha ajira yake, mahakama inaona kuwa amri ya kuwa mjibu maombi arejeshwa kazini haiwezi kuwa tena nafuu ya haki anayostahili Kwa sababu hizo tajwa hapo juu, mahakama imeridhika kuwa maombi ya mleta maombi yana mashiko na yanastahili kukubaliwa. Kwa hiyo tuzo iliyotolewa na Tume inatenguliwa na amri ya kuwa mjibu maombi arejeshwe kazini inatenguliwa. Mahakama hii anaagiza kama mjibu maombi hakulipwa malimbikizo ya mishahara yake ya mwezi Mei hadi Agosti, 2017 na likizo za mwaka 2016 na 2017 aliyodai kwenye Imasainiwa hapa Dar es salaam leo tarehe 20 mwezi Agosti, 2021. I. ARUFANI JAJI 20/08/2021 16 Mahakama: Hukumu hii imesomwa leo tarehe 20 mwezi wa Agosti, 2021 akiwepo Luciana Benedict, Mwakiiishi wa Mieta Maombi ni akiwepo Mjibu Maombi mwenyewe. Haki ya kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufani imeelezwa kwa wawakilishi wa wadaawa. 17